MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Usifikirie kamuungano kako la mchongo na kule aisee.Wanapoteza mibomu Yao bure
Eti lisa mwanamke mmarekani katembelea Taiwani ni sawa na Sisi angetembelea Zanzibar halafu tujitie kurusha mikombora hewani .Taiwani na China ni.kama zzanzibar na Tanzania bara.Sioni sababu ya mchina ku.panick kwa kiwango kikubwa hivyo
Ewaaa!Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.
Kama mnafatilia haya mambo vizuri niwape swali lingine mlitafakari.
Kwanini US hapendi direct war (military) with Russia (Simsemei kalisema mara nyingi tu) hapo hapo anakwepa vita ya kiuchumi dhidi ya China (mkumbuke alimpa vitisho vingi dhidi ya mahusiano yake na Russia yet hadi sasa hajafanya chochote na China anaendelea kufanya biashara zake na Russia).
Kwanza inabidi tuelewe kua China ni Superior in term of economy, anampa challenge US kwenye huu upande. US anaweza kupigana na huyu kivita ila sio kiuchumi.
Russia ni superior in term of military, huyu anampa challenge US ukurasa huu. Nae US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
Ukimya wa China jana ni ushindi kwa East no matter nyie mnalitizama vipi. Jana Marekani kanyimwa kile alichokua anakitaka, ambayo ni vita kati yake yeye na China. Vita ambavyo again ingemsaidia kupiga ndege wawili kwa pa1. (China en Russia)
Sasa tubaki tunazungumzia issue ya vikwazo na kivipi US hawezi hiyo league kwa China.
🔸Mosi China ni World largest producer, kampiku US miaka kadhaa iliyopita. Asilimia 28 ya vitu vyote duniani vinatengenezwa China. China ni world largest manufacturing hub kuliko US tena kwa tofauti karibu 10%
Ukitaka kujua litaiathri vipi dunia, angalia GERMANY hapo EU ambayo ni third largest manufacturing hub duniani kuyumba kwake kulivyo haribu uchumi wa ulaya kwa pa1.
Hiyo situation ya Germany izidishe mara 6 ndio itakuwa hali ya China kwa "Chumi" zingine duniani.
🔸US na China wanafanya biashara kwa kiasi kikubwa, ila hii biashara kati yao ni kua US anaagiza vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka US. Kufupisha maelezo ni kua US ana trade deficit with China.
Hapa kati mlisikia hadi "baby formula" za US zatoka China, So umewaza nini kitajiri kwenye vita ya kiuchumi dhidi yake?
🔸 Main Supplier wa industries za US ni China. Kuipiga vikwazo china ni kuharibu industry sector ya kwake mwenyewe US. Lugha nzuri hapa niseme itakuwa ni self destruction.
All giants US companies zaitegemea China na mwanae Taiwan kwa mambo mengi, mfano wengi hapa hukimbilia final products ya bidhaa tunazotumia bila kujua au kuangalia imetengenezwa kwa kipi na kipi kutoka kwa nani na nani.
🔸Again china anashikilia deni la US zaidi ya Dollar trillion 1.
Akiamua kuliuza hili deni kwa speed ata trigger inflation US zaidi ya ilivyo sasa je nini kitajiri?
🔸Ukitizama sectors muhim za uchumi wa China zipo balanced. Industries, Agriculture, Services zina almost uwiano sawa. Lakini kwa US Sector kubwa ni "Services" ambayo inachangia zaidi ya 80% ya pato la taifa (GDP).
Uchumi ambao uko vulnerable kuharibika ni wa US ambao unategemea maisha mazuri ya Raia wake. (Spending ndio key ya Services Economy), hali ngumu kwa Raia inapelekea Spending kua kidogo, hivyo kuathiri hii sector. Na hili ndio jibu la kwanini quarter zote hizi mbili uchumi wa US unaonesha negative growth wakati hayupo kwenye vita na yoyote (kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari 😅).
🔸China ni largest creditor duniani kuliko hata hizi taasisi za fedha za kimataifa mnazozijua. Hapa tusiweke maelezo mengi kwani kila mmoja anajua mikopo ni utumwa. Mkopeshaji ana sauti juu yako, Mzinguane akutie default. Je US ataweza kumshawishi nani asijihusishe na China?
Natamani kuendelea kukuonesha namna gani vita ya kiuchumi kwa US na China ilivyo ya kufikirika kama ilivyo vita ya Silaha kati ya Russia na US sema asubuhi hii nitachelewa kufanya mambo mengine.
Hapo kwa China vs US wakisema walianzishe (Vita ya silaha) atakaye athirika haraka ni China ambae adui yupo mlangoni mwake. Hatopata nafasi ya kutoka nje kwenda kutafuta nyumba ya adui ilipo.
Kuna njia nyingi za China kuiadhibu marekani kuliko kuuwana kwasababu ya hicho kibibi kinachoelekea kutia "nanga".
Mfano ka chini fikiria vipi China akiamua kufanya just one Move, yani "act 1" tu kama ya Russia ya kusettle payment za bidhaa zake kwa fedha yake. Nini kitatokea kweye dollar? Kupotea kwa dollar kuna maana gani kwa taifa la US?
😀
Tuishie hapo nikipata mda nitarudi, nakazia kile kile tusim'overestimate China wala kum'underestimate. Sie tutulie kati kwa kati tuenjoy show!
Maana now mpira upo kwa China, ana kila sababu za ku'retaliate against US bila kunyooshewa kidole. Kwetu sie warusi wa machame ni burudani tu 🤗.
Muhtasari wa maelezo yote ni kua US anaweza kupigana kivita na China ila sio kiuchumi, US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
Kwa bahati mbaya nipo kambini.Chukua na kashata ya Nazi pale Kwa mpemba....
Yaani jinsi unavyoshushaga nondo za maana kumbe kazi yako ni Mjeda tu. Na ujanja wote huoKwa bahati mbaya nipo kambini.
(Natania bhana!)
Ngoja niagize mtu hapa!
Sisi mabosi kuishi bila kuwa na wasaidizi tunaona bado hatuishi.
Nashukuru bro kwa hiyo Compliment, Shukran Mucho ha ha eti kama Mapacha 😂😂😂Jasmoni Tegga
Huyu ndugu Qibsyl ana kitu kikubwa sana! Ni shehena ya hazina!
Sijui hata jina lake linatamkwa vipi!
Na ndugu mwengine Galip Vrl yupo vizuri sana! Ni kama mapacha!
Hahaha!
Ngoja nipate kikombe cha kahawa kwanza.
Ndugu comrade, mimi siyo mjeda!Yaani jinsi unavyoshushaga nondo za maana kumbe kazi yako ni Mjeda tu. Na ujanja wote huo
"...We've got nuclear superiority of ten to one if push comes to shove the Chinese are gonna blink." Kutoka 24 live another dayF*** China
[emoji95] China raised fighter jets over the Taiwan strait in hopes of scaring Pelosi & making the US aircraft change its course. But US didn’t blink. That was the only action we saw today from the “China will act militarily” threats from Xi.
Wewe ni hatari sana!Nashukuru bro kwa hiyo Compliment, Shukran Mucho ha ha eti kama Mapacha 😂😂😂
Nasikia hawa wote Qibsyl na Galip Vrl ni mtu mmoko 🤔😊. Anyway tuliache hilo.
Issue yetu ya China kwa Taiwan naona kidogo natofautiana na wengi including yeye mwenyewe bro Galip Vrl
Najua kidogo kwenye Geopolitics ni all about "Uvumilivu na subra", kisha hekima na Busara nyingi.
China (Of course na mwenzie Russia) kua threat kwa yule ambae tunamzania na amekua akituaminisha hivyo kua yeye ni Superpower (US) sio kwa bahati mbaya. Inside wanajuana zaidi ya vile sisi tunavyowasoma kwenye mitandao.
Ile chess Move ya jana mie naiunga mkono kwa analysis zangu binafsi. Na kwa details chache nilizonazo juu yao.
US anapenda vita sana ambazo zinapiganwa mbali na mipaka yake. Na Historia yaonesha haisogelei kichwa kichwa nchi ambayo anaona inaweza kupeleka madhara kwenye ardhi yake. Kwa wakati mfupi, hapa sina maana kama China hawezi fikisha madhara kwenye ardhi ya US ila swali nani atamtangulia mwenzie?
Kuna nukta ukizitizama vizuri bado inanishawishi kuuamini mtizamo wangu nilio nao kwenye hili swala. Juu ya kufunga bakuli langu 😂 nisubiri dakika ya mwisho nitapata la kuzungumza.
Em fikiria visit ya Pelosi haiku ainishwa kwenye ratiba yake na US wakatamka hadharani kua hatofika, ila kaenda means hiyo ilikuwa inapangwa kimya kimya so maandalizi walikuwa nayo ya kutosha. Ingawa hili ni jambo la kawaida kwa US kuzungumza hivi halafu wakatenda vile.
Pale China karibu kila kona kazungukwa na vibaraka wa US, Ambapo US katia base zake. So kitendo cha kuanzisha tu ingekua ni karata mbovu kwake kurudisha mashambulizi kutoka pande hizo.
First and second world war vimewapa fundisho mataifa mengi yanayojielewa namna ya kudeal na mizozo level ya International. Hawaipeleki kitoto na kimhemuko.
Mda mwingi US na China wamekua kama Master na Slave wake, US akiwa mtoa order na China akiwa mtimiza order. Ila katika hilo US akajisahau hadi sasa imefika wakati ambao Master hana uwezo tena wa kuamrisha kwa Slave wake zaidi ya kumuharibu wakose wote.
Ni kipindi kirefu China kamjengea mazingira tegemezi US ambayo ni ngumu kwake kuchomoka.
Fikiria kampuni kama Apple, 19% ya faida wanayoipata inatoka China. Investors wa hii kampuni watakua radhi China ashambuliwe? Ukiacha mbali faida wanayopata suppliers wao wa materials ni hao hao China. Je nini kitatokea vita ya Uchumi baina yao? Huo ni mfano wa kampuni moko tu.
Mfani mwingine mmesikia hapo, TACL kuhusu kusitisha mradi wao wa kiwanda cha mabetri ya Gari ya Tesla na Ford. Hii ndio Supply chain niliyokua naisemea, Last consumer huwa anabeba final products made in dash dash bila kufikiria vilivyotengeneza anachokitumia vimetoka wapi.
Kibaya zaidi China ana bidhaa za aina zote, from cheap to high expensive, from low quality to high quality means anaweza kufanya biashara na jamii yoyote taifa lolote na watu aina zote duniani wenye nacho na wasio nacho.
Hapa tutamkuta Afrika, USA, EU, South and Latin America yani kila kona ya Dunia na kila bidhaa anaipeleka kulingana na soko husika. Tofauti na mshindani wake ambae anafanya biashara kwa specific countries ambazo we all knows ni EU na pale Middle east.
Katika kipindi ambacho EU inapitia mazito hadi kwake US ana suffer kwa matukio aliyotengeneza mwenyewe.
So nje ya Vita ya Silaha, China ana kila karata ya kuiadabisha US. East hakuna magasho kiwango cha SGR kuna watu wafupi ila wako makini. Matendo yao tunaweza kuona ni kama waoga ila wana plan konki linapokuja usukwaji wa matukio.
Tuupe mda nafasi yake tuna mengi ya kuzungumza.
Utakuwa unafiki kutetea kitendo cha Russia kujiondoa KIYV licha ya ule msafara wake wote alio uweka at the same time kuiponda response ya China despite mkwara alio uonesha. Hilo sakata la Taiwan halijaisha ndio kwaaanza linaanza.
Tukaeni kati tuenjoy show, Geopolitics ni mchezo unaohitaji utulivu wa hali ya juu tuweze kuuelewa.
Askarimaji sijui kama anaukumbuka huu uzi😂😂😂nyuzi za taiwani zipo ila hapa mmmmmmhhh nisiseme sanaa ntaoekana na kijiba.ewaaa in nani nani voice.Admin kutengeneza uzi China. Tunatoka kwenye lengo
daahhh hii ndio jamiifourm kila mtu ana noti umu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] amna pangu pakavu tia mchuziNdugu comrade, mimi siyo mjeda!
Hiyo kazi siifanyi. Ila nikihitajika kulitumikia Taifa langu nipo tayari.
Ni sehemu ya maisha, ninao hao marafiki(wajeda, Tiss, police n.k)
Napenda mazoezi: Najifunza boxing, karate (shaolinji kempo), muai thai. Hivyo, kwa namna tofauti tunaonana onana na kada tofauti.
Napenda kusoma vitabu vya aina mbalimbali.
Nimetokea kwenye familia ya kibosi, naishi kibosi.
Hahaha!daahhh hii ndio jamiifourm kila mtu ana noti umu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] amna pangu pakavu tia mchuzi