Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na China ataungana na Russia,Iran,NK na kadhalika Kwa hiyo itakuwa world war 3 ambayo haina mshindi.
 
Hammaz ni mpole sana ila ni balaa na nusu ujue!

Kuna siku walijichanganya bhana walinichukulia poa kisa ni white halafu nina muonekano wa ki-brother man ebhana eeh!

Nisiharibu Uzi wa watu.
Ha ha ha hawakukupiga Iskander kweli jomba πŸ˜‚... Huh sio kuharibu uzi ni sehem ya story tu na vijambo tukisubiri updates za wajomba.
 
Ha ha ha hawakukupiga Iskander kweli jomba πŸ˜‚... Huh sio kuharibu uzi ni sehem ya story tu na vijambo tukisubiri updates za wajomba.
Niliwaambia tu kujaribu ni bure!

Hawakujua mi ni yule bondia ninaepambana na kundi πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Niliwavuruga Mzee! Na niliogopa sana sikujua kama nikitibuliwa nakuwa na kiwango kile cha hasira! Ila nilijipongeza kuwa najua.

Miguu yangu ina wepesi wa kupiga kick na mikono ina wepesi wa kurusha ngumi za kushutukiza.

Ila ni hatari sana! Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anaefanya mazoezi na ambae hafanyi mazoezi. Unaweza ukampiga mtu akazima kabisa hata wewe haukutarajia kama matokeo yangekua hayo!

Matokeo hayo yanatufanya tunakuwa na wisdom kwa sababu unajigundua wewe ni silaha tosha. Tunakuwa wapole, hasira zetu zipo mbali sana. Tupo radhi utuone wajinga.

Ila kuna mwanangu mmoja anatembea na kisu chake anacho-train nacho aah huyu jamaa ni hatari Mzee! Huyu mwamba wahuni walitaka kumpiga kisu akakizuia kwa kukishika kwa mkono damu zinachuruzika halafu akamwamwangalia jamaa machoni.
 
Yaani itangazwe tu jeshi la akibaaaa!
Siku PK anafanya maujinga jinga yake kwa Tz aisee! Mapema sana naenda.

Yaani leo tunapiga, kesho tunarudi tunakunywa chai.
Umenikumbusha mshkaji mmoja. Yeye alienda kwa mujibu. Kipindi kile cha sintofahamu ya Kibiti. Alitamani jeshi lifanye recruiting ili aende. Nikamuuliza kwanini akasema anafeel yuko responsible. Haikuwa sababu ya ajira.

Nafkiri hii ya Kagame wengi wata volunteer including myself.
 
Ila kuna mwanangu mmoja anatembea na kisu chake anacho-train nacho aah huyu jamaa ni hatari Mzee! Huyu mwamba wahuni walitaka kumpiga kisu akakizuia kwa kukishika kwa mkono damu zinachuruzika halafu akamwamwangalia jamaa machoni.
Hahaa anafaa kua rafiki yangu huyu, nahisi ana attitude kama zangu πŸ˜‚πŸ€—
 
Eti Slava rainbow [emoji304] wakati Leo Urusi kachukukua maeneo matatu[emoji1787][emoji1787]
Sisi kwa kuwa tumeshaufyeka ule msafara wa km 64 wenye magari ya kivita na vifaru vya ghalama..,huyo fashsti dikiteta shetani wa urusi ngoja aendelee kupigishwa danadana huko mipakani[emoji12][emoji12]
 
Sio Germany pekee.

Kuna nchi zikiamua kukinukisha humu duniani hakutakalika.
 
Hammaz ni mpole sana ila ni balaa na nusu ujue!

Kuna siku walijichanganya bhana walinichukulia poa kisa ni white halafu nina muonekano wa ki-brother man ebhana eeh!

Nisiharibu Uzi wa watu.
Go jo rhou karate hii inachezwa zaidi nchini Tanzania, hasa na vyombo vya ulinzi.

Mfumo wake wa mapigano unahusisha hard and soft kwenye Matumizi ya nguvu.

Huu mchezo una kata 12 ila wengi huishia kufundishwa kata zisizozidi nne.

Kumbuka huku mtaani tunajifunza Shotokan karate ili ukija na stance zako za kigojorhuu tunakupiga kama Mandonga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Raha ni pale ushapigwa mabapa ya upanga mgongoni halafu unatakiwa usema alkatogo the master.

Tunaanza kuspot wajeshi na wale tusio wapenda sisi mitaani policcm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…