Umeeleweka vyema kabisa mkuu.Dah Asante kiongozi kwa kunipa sifa.nami nazipokea,kwa sababu wewe ni moja ya vichwa makini sana humu jamvini.kupewa heshima hiyo na kichwa kama wewe ni heshima kubwa sana kwangu.
Nyongeza kwa Nini sisi wengine tunaiunga mkono Urusi kwa "baadhi" ya mambo yake.
Wakati wa ukoloni USA ilikua ndio rafiki mkubwa wa wakoloni,watesi wetu.
Viongozi wa Afrika wa wakati huo akina Nyerere,kwame Nkuruma,Patrice Lumumba,Keneth Kaunda,Robert Mugabe,Govan Mbeki,Nelson Mandela,Sam nujoma,Augustine Neto,Samora Machel,Jose Eduardo Dos Santos na wengi wengineo walianzisha harakati za kujikomboa kutoka makucha ya wakoloni.
USA Alikua alizisapoti nchi wakoloni kwa Hali na Mali,mbali na wakoloni aliwasapoti watawala wa Afrika ya kusini na Namibia ambao walikua ni makaburu.hawa walikua na mkono wa chuma zaidi hata kuishinda wakoloni wenyewe.
Walikua makatili,kwa kuua watu weusi,kubaka,kupiga,kufunga,kuwabagua na Kila aina ya mateso ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba zao.
Weusi wakaanzisha vikundi vya kujilinda na kudai uhuru na haki zao.
Nguvu za Urusi kijeshi,silaha na mafunzo.
Hakika nakuambia kama sio Urusi Hadi Leo Makaburu na wakoloni wangeendelea kutawala kwa mukono ya chuma.
Weusi waligundua kuwa Makaburu na wakoloni hawaelewi kabisa lugha za diplomasia na majadiliano ya kudai haki na uhuru wa mtu mweusi.
Lugha pekee ambayo wakoloni na Makaburu wangeielewa na kweli waliielewa sana,ni mtutu wa bunduki,vita,mapigano na ubabe.
Makaburu waliwahi kuua wanafunzi weusi wa shule kwa risasi.
Kilichofuata ni ukiua mtu mweusi na mweusi anaua mweupe.
Makaburu wakwa wanatumia uwezo wao wote wa kijeshi silaha na ujasusi na msaada kutoka UK,Israel,USA na France na German,.weusi wakawa wanazidiwa.
Hapa ndipo Urusi ikaingilia kati kwa kutoa misaada ya mafunzo,silaha,fedha,elimu,hifadhi na Kila kitu kwa wapiganaji wa kiafrika kutoka nchi yoyote ya Afrika iliyohitaji msaada wa namna hiyo.
Sio TU Urusi Bali Cuba,china na nchi nyingi za kisoshalist na kikomunisti ziliwasaidia watu.weusi kutoka na madhira ya Makaburu na wakoloni na hatimae Makaburu na wakoloni walishindwa kwa msaada wa Warusi.
Urusi pia ilisimama kidete huko umoja wa mataifa kuweka maazimio,mashinikizo na mapingamizi ili kuhakikisha wakoloni na Makaburu wanashindwa na walishindwa kweli.
Urusi ilijenga vyuo vya ufundi Tanzania mfano huko mbeya Kuna chuo matata sana Cha ufundi, na nchi nyingine za Afrika,
Ilisaidia kuyajenga majeshi ya Tanzania kisilaha na miundombinu ya kijeshi,mafunzo na mengi mengineyo.
Rubani mmoja matata sana na WA kipekee wa Kitanzania aliejifunza Urusi na kupata mafanikio makubwa sana ,alielisambaratisha jeshi la nduli Amini na baadae kuwezesha kujengwa kwa chuo imara kabisa Cha jeshi la anga Bora kabisa la Tanzania ni CDF (RTD)Robert Philemon Mbona,huyu mwamba pamoja na kusomea nchi nyingine Alipata kusomea Urusi.
(Kama Kuna makosa hapa Naridhia kusahihiswa)
Urusi hua Haina misaada yenye masharti kama wengine.
Urusi ni rafiki wa kweli kwa Waafrika.
Ule ugeni wa Rais wa USA wa wakati ule, George Bush ulipo kwenda kutembelea nchi moja ya Afrika kwa mbwembwe,walifanikiwa kuzima rada zote, wakati ndege ya Bush ilipoingia katika anga la nchi ile,lakini rada moja walishindwa kuizima, ambayo kwa kweli ni rada iliyotengenezwa Urusi.(made in Russia)
Naomba niishie hapa kwa Leo.
Wewe ni mtu mzima nadhani utakua umeielewa nchi hiyo.
Dah link nahisi itakuwa ishapigwa na HIMARS kitambo imepotea.Hiyo link ya Washington Post walikotoa taarifa iko wapi. Mbona taarifa ilitolewa na redio ya Russia. Washington Post ndio primary source? Aliyesema hayo yote ni Russia, na US hakutolea taarifa za uchochoroni kama hiyo.
Naomba hiyo link ya taarifa yako nione maajabu. Nakusisitiza ndege zenye Khibiny zinapigwa pale Ukraine kwa kutumia Buk na MANPADS. Russia inayodaiwa kufanya electronic countermeasures kwa USS warship isingeshindwa kufanya kwa silaha nyingine ndogo na zamani vile. Hata satellites na mfumo mzima wa Starlink umewashinda Warusi. Sasa unashindwa kazi ya mhuni Elon Musk uje uweze kazi za kina DARPA, Lockheed Martin, Raytheon
Katika medani za vita, hawa wanapitia situation inaitwa TACTICAL DEPRESSION. Ni hali ya kawaida sana, wala si jambo geni. Sema tu wao wamelikuza na kulipa umaarufu kupita kiasi.
Uchina imecheza nao kwa stepKiufupi mpaka sasa mmarekani ameshajua wakati wa kuanguka kiuchumi, kijeshi na kiushawishi umekaribia, sasa alichotaka kukifanya ni kuhakikisha dunia nzima inaanguka kiuchumi na Siyo peke yake, lakini wenzake wamemkwepa wanasuburia kipindi cha baridi wakati ulaya unahaha kujiokoa na baridi, huku viwanda vikifungwa, na watu wakikosa Ajira mfumuko wa bei ukiwa juu kiasi kwamba hawawezi kununua vitu vya bei kubwa kutoka marekani kutokana na wananchi kuanguka kiuchumi hapo, anguko linahamia marekani anazalisha wanunuzi hawapo, kukosa wateja wa bidhaa za marekani itasababisha makampuni kufungwa na kupunguza wafanyakazi, hapo ndipo kila mwananchi ataanza kujibana Kwa kuwa hawana pesa na ughali wa maisha matokeo yake ni kuanguka kiuchumi kibaya zaidi, kuna kitu ambacho ambacho sijui watu mmekigundua, mataifa ya ulaya yanapeleka dolla na uero kwenye benki ya urusi halafu benki inabadilisha hiyo pesa na rubo, Ile pesa iliyobadilishwa inabaki bank, toka mzozo uanze mrusi kakusanya kiasi gani cha dolla na euro?????
Vipi kama wakiamua China na urusi kuziachia hizo pesa maana yake dolla na euro inaenda kufa thamani maana kutakuwa na pesa nyingi kuliko mahitaji, hii itapelekea matajiri waliohifadhi pesa Kwa Dola wabadilishe kwenye kwenye pesa kama rubo na yuan, ushajiuliza makundi kimafia, makundi ya kuuza madawa ya kulevya yanamiliki Dola ngapi??, Kibaya zaidi makundi haya yanamiliki pesa ndefu lakini hawaweki benki kukwepa kukamatwa, Leo wakiambiwa dolla inaenda kuanguka kuna kiasi gani cha Dola kitaingia kwenye mzunguko kukwepa dolla isije ikashuka thamini????? Hii itasababisha dolla iwe toilet paper 😃😃😃😃😃😃
Angalia marekani alivyokuwa anamsindikiza pelosi Taiwan ni kama marekani walijiandaa Kwa Vita na hata majeshi mengi kuelekea NATO dhumuni hasa ilikuwa ni Vita na uchina na Siyo urusi
View attachment 2314080
Porojo tu kutoka kwa random people. WP hawawezi post pumba vile, kwanza kwa mtu anayejua electronic warfare na silaha ukimwambia hiyo kauli atakusgangaa sana. Su-24 haina powerful radar, electronics wala power ya kuzima meli ya superpower. Fuatilia systems za EW zinakula sana umeme ili ziwe effective. Kwanza Khibiny mainly ni defensive kulinda ndege, na bado zinapigwa ikiwepoDah link nahisi itakuwa ishapigwa na HIMARS kitambo imepotea.
Hahah nilimaanisha hio hio mieleka ya kina Brock leasner mkuu 😄😄😄😄😄.Ile link basi mie nimeiona nikajua wamfanyia masihara 😂, hiyo link kama ulitype kimasihara basi jua sio legesha bali genuine link ya WWE, World Wrestling Entertainment maarufu huku kwetu tumezoea kusema "Mieleka". Kuleee tuliko pata kumjua John Cena na wengineo WWE.COM
😂😂😂
Ila lakini si niliwaambia wajomba, tuna mchambuzi wetu wa US tawi la JF aliwahi zungumza hivi na vile.
Na hapo tumemtekenya kidogo tu katekenyeka bwelele 😂
That's why nawaambia huwa na enjoy sana nikiwa hapa... Ni cheko kwenda nyuma mbele kuna matope AF.
Ile counteroffensive ya jeshi la askari milioni tuliyoahidiwa kwamba ina-train-iwa Uingereza, iko wapi? Au wangali wakiendelea kupasha joto kwa ajili ya winta?Comedian analia huko::
[emoji845] [emoji1255] [emoji635] The situation in the Donbas is very difficult, also in the south and in the Kharkiv region,Zelensky's cries to the public,it looks no ''Kherson counteroffensive''
Kwa nini Russia anafanya TACTICAL PRE-WAR? Anakula chakula before hakijapikwa? Anakula silaha kabla hazijaingia field? Hivi ikifuatiliwa, hii kweli siyo violation of some international laws zinazo-deal na masuala ya vita?Majeshi ya Urusi yamezichoma na kuziangamiza tani 45,000 za silaha za Marekani + NATO kwenye mkoa wa Nikolaev, Ukraine.
View attachment 2317407
Kadi ya uanachama wa Pro-Russia tukupe?pro-russians, i salute u guys. u always reminds me of my late grandfathers. He always oozed wisdom May He Rest in Peace alinifunza mambo mingi sana kuhusu west and east asian countries. . Before he died he said to me Gorbachez alikosea dunia. africa wakati wa cold war tulikuwa mrembo wakupiganiwa na milengo yote mbili..am happy history now is repeating itself(courtesy of putin)
We kijana..unajua mkataba wa minsk?? Kwa nn ukraine ilikiuka huo mkataba hasa baada ya huo drug dealer kuwa rais wao?Mkuu umeleta mengi na habari za nyakati tofauti.
Naomba nibaki kwenye mfano wako wa kwanza, yaani roketi za Kirusi huko Kuba.
Je, unakumbuka kwamba Urusi iliondoa roketi hizi haraka baada ya kuambiwa vile na Marekani?
Kuhusu mfano wako wa ndege ya U2 ya Marekani najua historia tofauti kidogo: ndege za Marekani zilipitapita mara nyingi juu ya Kuba, hasa siku za Oktoba 1961, ziliwahi kupiga na picha na kukusanya habari za wanajeshi na roketi za Kirusi kwenye kisiwa cha Kuba. Habari hizi zilijulikana, picha zilionyeshwa tayari hadharani katika mikutano ya Umoja wa Mataifa.
Majadiliano baina Urusi na Marekani yalianza. Hatimaye tarehe 27 Oktoba 1961 ndege moja ya U2 ilipigwa na kuangushwa. Rais Kennedy aliamuru kutojibu kijeshi kwa sababu mawasiliano na serikali ya Urusi yaliendelea. Tayari siku iliyofuata 28 Oktoba Urusi ilikubali kuondoa roketi zake. Marekani ilikubali kuondoa roketi zake huko Uturuki.
Halafu Marekani iliahidi kutovamia Kuba kijeshi.
Mimi naona makosa na madhambi mengi katika siasa ya Marekani duniani. Ila ninaona wametekeleza ahadi hii, hawakuvamia Kuba kijeshi. Walijaribu kila kitu kwenye uwanja wa uchumi, lakini hawakuvamia.
Ningetamani sana hata Urusi ingetekeleza ahadi zake na mikataba kama ile ya 1994 ambako Urusi iliahidi kulinda na kutetea uzima na umoja wa Ukraine , baada ya Ukraine kukabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi.
Kwa bahati mbaya Urusi imevunja ahadi yake.
Nenda kasome kwanza ndo uje ubishane na mimi kwa facts. Hatuchezi kaswida hapa bwana mdogo na kuongeza sigda. Asante kwa matusi piaMzee una mapovu?
Wewe unaona ya Zanzibar tu ila huoni mnavyolazimishwa kuwa mashoga kwa kigezo Cha kutetea haki za walio wachache[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Unaifahamu Chechnya ni sehemu ya shirikisho la Urusi ambalo ni Taifa la kikristo kindaki kindaki lakini Urusi imeruhusu Chechnya Wawe na Autonomous state yao hivyo kujitungia baadhi ya sheria.
Nipe tofauti ya Grozny na Unguja wewe mtoto wa kiabakari?
Narudia kiongozi usione watu wanapigania wawe na Autonomous.
Autonomous state raha yake ni kuweza kutunga sheria zinazoendana na Utamaduni wenu.
Kumbuka ukienda Roma ishi kama Waroma sio upange uishi kama Mmakonde.
Hata Dar ikatokea mwaka ikapata baadhi ya Mamlaka ya kujitegemea basi tambua Singeli ndio itakuwa wimbo wa Taifa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Hivyo acha kulalamika kama Malaya kapigwa bila kulipwa.
Wee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa zinapewa phrase fupi tu kua ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.Porojo tu kutoka kwa random people. WP hawawezi post pumba vile, kwanza kwa mtu anayejua electronic warfare na silaha ukimwambia hiyo kauli atakusgangaa sana. Su-24 haina powerful radar, electronics wala power ya kuzima meli ya superpower. Fuatilia systems za EW zinakula sana umeme ili ziwe effective. Kwanza Khibiny mainly ni defensive kulinda ndege, na bado zinapigwa ikiwepo
Unajichosha bure mkuu... Huyo jamaa kukuelewa ni sawa na ng'ombe kufanikiwa kutenga sehemu ya kunya na sehemu ya kulalaWee noma sana, sasa em jishtukie kidogo mzee. Hakuna asiyejua hapa kama taarifa mbovu mfano huo kwa US huwa ni "Unverified and Kremlin's propaganda". Ili aendelee kuficha aibu yake.
Kama hujaelewa nazungumza na wewe kwa style ipi ya mazungumzo utaweza kujua Intelligence ya taifa kama Russia? Walau ungejua hilo nadhani ungekoma na nahisi ungeacha kuni'qoute mda tu.
Smart people like mixx wameshashtuka toka dakika ya kwanza nilipokujibu kwamba naongea na wewe kwa style ipi.
Alichofanikiwa Uncle Sam ni kutengeneza trolls wengi duniani wa kufanya kazi kama unayoifanya ambao mazungumzo yenu yanahitaji response nayokupa.
Hata pale it's not kwamba link haipo ila jibu lile la kupigwa na HIMARS ndio lilikuwa size yako.
Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi? https://www.washingtonpost.com/news...t-history-of-russian-jets-buzzing-navy-ships/
Je hawa CBS news waliondika hiki miaka 8 iliyopita waliambiwa na nani? Au ni order kutoka Kremlin? Russian jet makes "provocative and unprofessional" pass at USS Donald Cook
Yote 9 hadi leo vipi US asharejea tena kwenye water territory za Russia?. Em fikiria hizo media za US zinaandika vile kwa kuficha ficha. Lakini wajionea something is not right, Je ukweli wa mambo ukoje?
Rekebisha dish kidogo kama channel zimekata.
Hiii kaka umetupiga... Forex kama forex haipelekei INFLATIO .... INFLATION inasababishwa na vitu/factors kama 8-10 ila MAILY NI Kuna AINA 3 na factors zake mbalimbaliforex au Foreign exchance ni kununua pesa ya nchi nyingine na kuuza pesa ya nchi nyingine, ovious, kama unanunua pesa ina maana unauza pesa nyingine
Inflation ni kuongezeka kwa bidhaa flani, kuringanisha kwa kupungua kwa thamani ya hella flan, kama hella imepungua thamani ina maana inauzwa sana, maana yake haitakiwi na mtu, so maana yake ni kuwa bidhaa humo zinapanda kulingana na hyo hella, mfano ni zimbabwe
So sikuzote Forex ndo inasababisha inflation na sio inflation inasababisha Forex