Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US anakuwa ameandaa mazingira before, akiwapatia Afrika misaada bubu ili kuwahonga in case wakiwa na maslahi yao kama haya, wapate mahali pa kutoneshea kidonda.

Ndiyo maana ukitegemea sana misaada na mikopo kuijenga nchi, wakati kuna 100% njia mbadala, maendeleo utayasikia kwa jirani. Ikitokea yakaja, yanakufanya mtumwa.
 
Porojo hizo, sisi tunamwamini M7 na si wewe kwa kauli yake ya Juzi - pamoja na ahadi lukuki alizopewa na Urusi pamoja na meli ya bure ya mafuta mbona KAGOMA kupokea.

Wewe ni nani ??
 
Mifumo ya operations za Russia zilizo front line siyo za kitoto
 
Hizi ni Propaganda, haiwezi kuwajua ata angetaka kutoa
Wangekuwa ni waafrica yani ukiwaua unajua huyu sio Caucasian labda
Nashauri neno PROPAGANDA sasa lipewe Nobel Prize. Usiseme hawezi kujua, sema wewe huamini. What if amepata nikikwambia most Ukrainian officers wanashirikiana very smoothly na Russian?

Unajua kwa nini Zelenskyy alifanya mabadiliko juzi, akawaondoa maafisa wake wengi, tena wa ngazi za juu kabisa?
 
Hahaha. Huyu amepata tiba ya anguko la uchumi kwa taifa lao. They sanction Russia, but economies zao ndizo zinadorora!
 
Tatizo pia Uchumi wa Urusi hautegemei Afrika.

Ndio kwanza walianza kuwekeza kidogo hapo Misri.
Jamaa alianza kurudisha influence yake taratibu na hili litaendelea.
Kumbuka Soko lake la siraha lipo pale pale, hapa halina substitute.

Angalau Mataifa ya Central Asia, China na India ndio yatakayomtetemesha ila Afrika bado kwa muda huu.

Urafiki wa jamaa ni 50% 50% hakuchagulii marafiki na hakuwekei vikwazo.

Urusi Wana eneo lao wanaloamini ni sphere of influence ambayo ni central Asia na East European countries.

Afrika haipo na Urusi anaweza kusurvive uchumi wake bila Afrika ila Ufaransa hawezi himili kuwa na strong economy bila Afrika.

Hivyo kwa Uganda kukataa mafuta sio big deal
 
Hii ni mara ya pili eneo la Crimea linashsambuliwa , utawala wa dikiteta andunje Putin na mafashist wenzake waliwahi kutoa honyo kuwa ikiwa Crimea ingeshambuliwa basi itakuja Ile siku waliyoiita " jugement day" Sasa sijui hiyo jugement day Mpaka Sasa haijafika kweli?



Huyu fashsti dikiteta ameishiwa mazima anabaki mikwala mbuzi tu[emoji12]
 
Tukio moja mna lipa airtime with a lot of repeatation...... [emoji1787] Safi kabisa..... [emoji1787]
 
Ilikuwa dhaifu sana,na imefika apo kwa sababu ya misaada na Russia kuwa dhaifu, ni mpuuzi pekee ataedhani Ukraine inaweza mpiga Germany au ata Wingereza, au Ufaransa pekee, kama we pia umeamini hyo, we ni mpuuzi pia
We kazi yako ni kuleta misemo yenye kuhusisha matusi tu. Kiongozi jaribu kuchangia kwa lugha yenye staha. Usitoke jasho bure
 
Tukio moja mna lipa airtime with a lot of repeatation...... [emoji1787] Safi kabisa..... [emoji1787]
Lazima hili tukio tulipe airtime ya kutosha maana utawala wa fashisti andunje Putin ulitoa mkwara mbuzi kuwa siku eneo Hilo likishambuliwa basi itakuja Ile " jugement day"" tunasubiri kwa shauku kubwa kuiona hiyo siku,
 

US amepata hasara kubwa sana alimwaga pesa mingi sana pale hata kama wanaprint hela ila bado hasara sana [emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…