Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sioni sababu ya kubishana na wewe kwenye hii ishu.Cheki ushahidi uwo.hata moscava Russia walikanusha cheki jam hiyo warusi wakirudi bara mapemaView attachment 2320627View attachment 2320633
kwahiyo Urus waliposhambulia kinu cha nyuklia cha ukraine , wao walikuwa wana akili sio ? mahaba yakizid mtaolewa kbsKuna watu hawastahili upendo kama hawa wanajeshi wa Ukraine. Ijapokuwa nchi yao ina mapambano motomoto ila maamuzi wanayoyachukua ni ya kishetani kabisa! Unashambulia kinu cha nuclear ili iweje?!
Hawa kweli ni Ma-NAZI.
Hizi zote ni ngonjera tu..tunahitaji UKRAINE irudishe maeneo yake....kama inashindwa mambo yote yanayofanyika ni ubatili tuAir defence system gani? Wewe lini uliwahi ona superpower inashambuliwa kienyeji hiviView attachment 2320639View attachment 2320638 Hapo unahesabu craters tatu zote direct hit na ndege kadhaa zilizopotezwa juzi pale Crimea. Air defence ya uhakika hata kwenye air base hakuna. Watakwambia ni ajari ya mishandling, ila si umeona foleni ya Warusi waliokuwa wanaondoka Crimea kuogopa 'mishandling'
Mimi ni jinsia Me.kwahiyo Urus waliposhambulia kinu cha nyuklia cha ukraine , wao walikuwa wana akili sio ? mahaba yakizid mtaolewa kbs
Jinsi USA wanavyojiona wanahaki na kila kitu..ni kama CCM inavojiona inahaki na Tz...Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayesapoti vita na kumwaga damu. Nchi pekee inayojulikana kufurahia na kuchochea vita kwa manufaa yake ni huyo self-styled kiranja wenu wa dunia.
You must understand that even the UN itself recognizes (even more openly) the validity of Russian SMO. Russia aliiwasilishia NATO concerns zake (kwa amani) kuhusu usalama wake unaotishiwa na harakati mbaya za Ukraine. Then, mkamwona mbwakoko na mwendawazimu.
Alitumia njia ya mapatano, mkamdharau na kumwona kabwela asiye na madhara. Sasa ameamua kuvua sura ya huruma na kuvaa mwonekano mnaoweza kuelewa lugha yake, kusudi apiganie haki na usalama wa raia wake.
Usidhani Putin anafurahia kupoteza rasilimali zake (vitu na watu) vitani. Mmemlazimisha wenyewe na hivyo hana option nyingineyo.
Funny enough, hata Ukraine inavyoendelea kumegwa deile, uongozi wa Ukraine unazidi kuomba upewe silaha zaidi ili vita viendelee, licha ya tahadhari za mara kwa mara za Russia dhidi ya hatua hiyo isiyo na manufaa. Sasa nani kichaa hapo?
Lastly, msisahau kwamba since 2014 Ukraine imekuwa ikifanya vitendo vya mauaji ya raia (Russians and Russian-oriented) wasio na hatia nchini mwake mwenyewe.
Kama hamtaki kashikashi, basi kubalini kujisalimisha na kuwa wastaarabu. Otherwise, endeleeni kumsikiliza Mmagharibi wenu na kuifurahia show nzito ya Putin.
#TukutaneWintani!
Athari hasi ya mfano ulioutoa hauendani na athari ya kilichofanywa na Ukraine. Haijalishi kama wanaonewa ama laa iwe sababu ya kuwashika mkono hatakama wamekosea.Kwani urusi kaenda kutalii huko Ukraine?? Kuna mdau mmoja aliwahi kusema kuwa ukitaka kumuua nyoka aliyekuingilia ndani kwako huna haja ya kujari chochote wakati unamuua,hata kama huyo nyoka kajichanganya kwenye flat - screen unayoipenda au chochote kingine Cha thamani wewe bonda tu, mengine yatajulikana mbele ya safari,
Mkuu waturuki sio waarabu..Uturuki si wa kula naye dili, mwarabu haeleweki huyo !!