Huko ni mikoani kama ilivyo Dodoma na Mwanza, ushoga haujashamiri kama huko Pwani kwa dini yenu ya waarabu.
"" jugement Day "" ni kauli iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa urusi Sergey lavrov wakati akiwachimba mkwara mzito Ukraine, kuwa wakijaribu kushambuliwa eneo la Crimea basi itakuja Ile siku ya kiama kwa taifa la Ukraine. ,Yeye mwenyewe aliita """ jugement Day""Sasa kauli nzito kama hii inapotolewa na kiongozi mwenye dhamana kama Sergey lavrov,alafu ikashindwa kutekelezeka lazima tujiulize maswali mengi sana [emoji848]Kiukweli mwamba unaboa sana,watu wasipo pendezwa na utani wako achana na hio kitu unapo lazimisha unaonekana mkorofi,Sijui kama unajifikiria marambilimbili ?
Hahahaha kuna baharia kajificha kwenye mitambo hapo naona wakati dege linapita pembeni yao...nakumbuka vizuri sana hilo tukio pia liliongelewa sana marekani nilikuwa ndio nimeingia nikiwa mgeni mgeni na all the main news channels were broadcasting and castigating their government
wacha niongezee na video hapa
Ni utetezi wenye mashiko sana hasa ukifikiria kwamba huyo mwizi wa nguruwe ndiye hakimu na jaji na wakili kwenye kesi ya kuku.Mnachofanya ni utoto wa mtuhimwa aliyefikishwa mahakamani kwa wizi wa kuku wa jirani yake halafu anajitetea mbona fulani huwa anaiba Nguruwe mara nyingi tu lakini hakamatwi.
Huo sio utetezi wa mtu mwenye kichwa kizuri.
Tatizo siyo hasa Ukraine kujiunga na NATO (ingawa ni mojawapo). Unataka kujua sababu? Ukraine amethibitisha kwa Russia time and again kwamba yeye ni donda lisiloponyeka. Dawa yake ni kuli-sever.Mimi napo shangaa ni hapo tatizo ni NATO why Ukraine?kuhusu Ukraine kujiunga NATO Russia imesababisha. kabla ya uvamizi wa Crimea Ukraine haikua na mpango wa kujiunga NATO.baada ya kuvamiwa Ukraine ilikuwa inatafuta security garanti ambapo option pekee ni U.S au NATO
Mimi sihalalishi chochote. Ukweli wenyewe ndiyo hiyo SMO inayoendelea pale Ukraine.Wewe ndo unataka kuhalalisha Russia kuivamia Ukraine kama sababu nini? why asi ivamie NATO au U.S wenyewe?hakuna taifa takatifu ila kwahili Russia imefeli
Hawezi kuleta huyo..yuko biased mno....angeweka listi ya USSR/Urusi...then akaweka USA& NATO...kweli ningemuona muungwana....haya mambo yakuonesha as if USA na west ni watakatifu ndo napinga kabisaVery nice,sasa leta list ya nchi za ulaya unazotetea zikizovamia nchi za Africa na kuzitawala na kuiba rasilimali na kuua watu,mwisho,leta list ya nchi Marekani ilizovamia toka ipate Uhuru mwaka 1776!
Nimeona mkuu. CIA mna mpango wowote wa kunusuru hali kule?Wa imani yako wanawaka kule Gaza
Huyu jamaa ni mkenya wa wapi huyu?Naongea kuhusu sisi Waafrika, ya Ulaya hayanihusu, ila kwa sisi Waafrika maeneo yanayo ongoza kwa ushoga ni huko huko Pwani, ukitaja hicho kitu mikoani unaweza ukafa.
Nasikia ni Mkongo, ila alizaliwa Naijeria, akakulia Somalia na kusomea (hadi level ya PhD) kule South Sudan. Sasa ni mkimbizi wa kudumu hapa Bongo.Huyu jamaa ni mkenya wa wapi huyu?
Ukiangalia mtililiko wa hoja zake, anataja Kenya kijumlajumla tu.
Hili songo ni la hapa hapa Ushokora Kaliua.
Kiukweli mwamba unaboa sana,watu wasipo pendezwa na utani wako achana na hio kitu unapo lazimisha unaonekana mkorofi,Sijui kama unajifikiria marambilimbili ?
Ni ajabu Hawa watu kutwa wasifia silaha za NATO na hasa kutoka Us lakini Bado vitani hawasogei Bali wanarudi nyuma huku wakiacha ardhi yao ikikaribia kuitwa Russian Federation hata wasipotakaVinu vimetua Ukraine kutoka UK - unajua hii balaa inaitwaje??
M270 MLRS - Kitamchungulia Putin kwa umbali wa Km 31.8
857 systems
Army ACAT IC ProgramTotal program cost (TY$) $1,969.1M Average unit cost (TY$) $2.3M Full-rate Production 4QFY99 Prime Contractor Lockheed Martin Vought Systems Crew 3 man Cruise Range 483 km On Board Fire Control and Position Determining System 12 Rockets; 644 M-77 Shaped Charges per Rocket Reload Time 9 minutes Rocket Range 31.8 km REFERENCES
- TM 9-1450-646-10 Carrier Vehicle, MLRS, M993
- TM 9-1425-646-10 Launcher- Loader Module (LLM), M269
View attachment 2321922
UK promised, UK delivered!More M270 MLRS arrived in Ukraine. Thanks to
@BWallaceMP
and all thepeople! Your support is amazing and so important for Ukraine. Our #UAarmy will skillfully use this "replenishment" at the battlefield. P.S. More “gifts” will arrive soon.
Sasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?Waukrein wasemavyo kuhusuvita
[emoji845] [emoji1255] [emoji2526] Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine: the Russian army is advancing in many directions
[emoji3502] In the Slavyansk direction, the Russian army is conducting offensive battles in the directions of Apiary — Bogorodichnoye and Tikhoe — Dolina
[emoji3502]In the Kramatorsk direction, the Armed Forces of the Russian Federation conducted a reconnaissance in the direction of Belogorovka — Grigorovka.
[emoji3502]In the Bakhmut direction, Allied troops are advancing in the directions of Sporniye, Ivano-Darievka, Vyemka, Yakovlevka, Kodema, Vershki and Zaitsevo. In the direction of Pokrovskoye — Artemovsk, Russian troops are having success and are trying to gain a foothold.
[emoji3502] In the Avdiivka direction, fighting in the areas of Spartak, Peskov and Maryinka.
[emoji3502]In the Novopavlovsky and Zaporizhia directions, the Armed Forces of the Russian Federation fired and advanced in the direction of Egorovka — Pavlovka.
: the Russian army is advancing in many directions
[emoji3502] In the Slavyansk direction, the Russian army is conducting offensive battles in the directions of Apiary — Bogorodichnoye and Tikhoe — Dolina
[emoji3502]In the Kramatorsk direction, the Armed Forces of the Russian Federation conducted a reconnaissance in the direction of Belogorovka — Grigorovka.
[emoji3502]In the Bakhmut direction, Allied troops are advancing in the directions of Sporniye, Ivano-Darievka, Vyemka, Yakovlevka, Kodema, Vershki and Zaitsevo. In the direction of Pokrovskoye — Artemovsk, Russian troops are having success and are trying to gain a foothold.
[emoji3502] In the Avdiivka direction, fighting in the areas of Spartak, Peskov and Maryinka.
[emoji3502]In the Novopavlovsky and Zaporizhia directions, the Armed Forces of the Russian Federation fired and advanced in the direction of Egorovka — Pavlovka.
Ni ajabu Hawa watu kutwa wasifia silaha za NATO na hasa kutoka Us lakini Bado vitani hawasogei Bali wanarudi nyuma huku wakiacha ardhi yao ikikaribia kuitwa Russian Federation hata wasipotaka
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Usishangae sana sasa hivi, Sela Son . Bado kuna mengi ya kushangaa zaidi hapo baadaye. Hifadhi hiyo mishangao kwanza kwa sasa. Ni wazi Zelensky anataka vita viendelee hadi tone la mwisho la askari wa Ukraine.Sasa mbona Ni Kama wanasifia kupoteza ardhi yao kwa Urusi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app