Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya tunatoa nuke tunaweka pembeni, Russia vs US waingie field nani atashindaa??
Siombi vita lakni nakuambia urusi atachapwa mapema sana.

Kwanini urusi anayoyasema hayasimamii.

Urusi alisema atampiga kwa yoyote ambaye atamsaidia Ukraine silaha nchi nyingi wamemsaidia lakni ameshindwa ni kufanya aliloliongea. Sababu ni ipi?
 
Kama ni hivyo hamna tofauti yoyote kiufupi kila mmoja asimamie anachokiamini. Anaetakakuandika 'Jugment day' , 'No log off Z', na 'Taifa teule' yote ni sawa utofauti ni uasilishaji tu.
 
Yaani huyu jamaa amepelekwa Chaka kuanzia ushauri, siraha hadi lugha. Hahaaaa...
Eti because of poor English.
 
Unachowasifia ni nini, wametufanya tujione wajinga na hatuwezi kitu chochote si ndio, you think that you can't make what do they make.
Tusiwatukane wakati hatuna uwezo wakufanya hata kiberiti.

Siwasifu lakni na kuwadharau tusiwadharau mpka tutakapojiweza kwa kila kitu kinyume chake usimtukane mamba wakati hujavuka mto.

Na hutuna ujanja wakuweza kutotumia vya kwao.
 
Hay ni mawazo yako.
 
Siombi vita lakni nakuambia urusi atachapwa mapema sana.

Kwanini urusi anayoyasema hayasimamii.

Urusi alisema atampiga kwa yoyote ambaye atamsaidia Ukraine silaha nchi nyingi wamemsaidia lakni ameshindwa ni kufanya aliloliongea. Sababu ni ipi?

Acha kuleta assumptions kwenye medani za vita haya tunaanza

Marekani na Russia wamekutana Syria Uyo supapawa wako wa mchongo akakimbia. Wakakutana tena Venezuela akakimbia tena. Marekani hana ubavu wa kupambana na Russia atapewa kichapo cha historia.

Kwanz wenyewe wanakwambia hatutaki vita ya moja kwa moja na Russia kama unaakili jiongeze. Alichomfanyia China unafikiri ataweza kufanya mbele ya Russia??

Marekani anapeleka silaha Ukraine ni kweli je ametangaza kupeleka jeshi?? Atangaze tu afu ndo mtajua Russia ni nani. Nakuuliza swali lingine Je hizo silaha anazopeleka zimesaidia nini pale Ukraine??

Marekani kazidiwa sana kwenye tech za kivita na Russia na matukio mengi sana ambayo Russia anayafanya kwa Marekani tena ya AIBU Anaishia kulaani na kulialia kwenye vyombo vya habari.

[emoji1371] Russia anamiliki hypersonic toka 2018. Marekani kwa kujikongoja kafanikiwa mwaka huu napo yenye spidi ya 5x ya sauti, mwenzie Russia anazo Zinazokwenda mpaka spidi ya 12x ya sauti

[emoji1371]Russia Kamwacha mbali sana US kwenye tech ya ICBM.

[emoji1371] Mifumo ya kujilinda ya anga / Airdefense missile systems. Mpaka sasa S-400 ndo best airdefense system duniani kumbuka Russia anazo S-500 na S-550 hii S-550 inadungua hypersonic missiles hadi satellite.

[emoji1371]Eloctronic warfare, nenda kaisome khibiny afu uliza alichofanyiwa Marekani kama sikosei 2014 kwenye meli yake ya kisasa USS Donald cook ambayo ilikua na Aegis combat system ambazo tuliambiwa ni hatari na balaa. Mwisho wa siku ilikutana na khibiny ilichofanyiwa ni AIBU.

Naomba niishie hapa ukija na hoja za mashiko tutaendelea kujadiliana
 
Huyu mkunya anaacha kufatilia uchaguzi wa rais wake anamfatilia Putin
 
🆕🔥🔥🔥Gazprom has started deliveries to Hungary in excess of the established contracts.
By the end of August, an additional 2.6 million cubic meters will be delivered daily via the Turkish Stream, the Hungarian Foreign Ministry said🔥🔥🔥
 
Umeongea vingi ila sijajua ulikua unataka kuongea nn kuhusiana na wakimbizi wa SYRIA na ASSAD
Kenya uchaguzi wao ulisababisha mapigano ile ilikua udikteta au demokrasia !!?
Ivor coast watu waliuana sababu ikiwa demokrasia
Kote huko kulizalisha wakimbizi wa nje na ndani
Tukija hapo UKRAINE kimesababisha wakimbizi zaidi ya 10M shida udikteta ama nini !!!??
Sasa kwako sijajua ulitaka ama unataka kuongelea nini kuhusiana na SYRIA na wakimbizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah,Orbán ni pro Russia,hana sababu ya kukosa mafuta.
 
Kama ni hivyo hamna tofauti yoyote kiufupi kila mmoja asimamie anachokiamini. Anaetakakuandika 'Jugment day' , 'No log off Z', na 'Taifa teule' yote ni sawa utofauti ni uasilishaji tu.
Lini watu walilalama kuhusiana na uwasilishaji wangu ukitoa wewe
Uwasilishaji unatofauti kubwa wakwangu na wabwana huyo
Ila kwakua hachangiwi kitu simuingilii ana uhuru wakuamua kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine 10million wameondoka..hii ni hatari sana..Zelensky mwenyewe kumbe wazazi wake kawapeleka Israel tayari....
 
Lini watu walilalama kuhusiana na uwasilishaji wangu ukitoa wewe
Uwasilishaji unatofauti kubwa wakwangu na wabwana huyo
Ila kwakua hachangiwi kitu simuingilii ana uhuru wakuamua kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijalalamika kwa uandikaji wa neno lako ulilojiamulia kuliandika na toka mwanzo angalia comments zangu.

Wanaolalamika ni hawo wanaoona kinyaa chá kuchukizwa ni comment inayosomeka 'jugment day' kwasababu zao wenyewe.

Ndio nilisema kila mmoja anaongea kwa analoliamini.


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
US and all her supporters are only interested in eating where they did not make provision for food allowance.
 
AP News: Russian shelling heavy in east; Ukraine strikes key bridge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…