T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Taliban walishinda vita gani. Hawa waliopigwa Rais wao akahama mwaka 2001 hadi waliporudi 2021?Kwani we ulitegemea VIETNAM ingeshinda vita?.pia ulitegemea TALIBAN wangeshinda vita?.Acha mahaba yaliyopitiliza
Walitumia miaka 20 wakiikalia Afghanistan huku Taliban wamekimbiza chupi zao milimani. Ni sawa na kusema Tanganyika ilipigana na wazungu tangu Berlin conference iishe miaka ya 1800s mwishoni mpaka mwaka 1961 ikashinda. Utaonekana huna akiliUsa na mashost zake waitumia miaka 20 afghanistan walikuwa wanauwezo sawa na wataliban?
Urusi sio China, hajawahi kuniangusha....akiahidi, hutimiza...
Uingereza kaibipu Russia, keshapigiwa....anabaki kulialia...
View attachment 2325655View attachment 2325656
View attachment 2325661
Fyeka umbwa koko haoMarekani yalalamika kuwa mahakama ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk imewakuta na hatia wanajeshi watano toka nchi za Uingereza, Sweden na Croatia kwa kupigana vita ktk Jamuhuri hiyo kinyume na sheria. Katika wanajeshi hao, watatu wamehukumiwa kifo.
View attachment 2324855
Ufafanuz zaid hapa mkuu[emoji115][emoji44]0658154533 tapeli wa mtandaoni wewe
Kulipua transformer ndo kunyukwa..kwa hiyo unatarajia Ukraine watachukua maeneo yao kwa kufanya subotage au terrorist acts??Watu mnaushabiki wa kimaandazi sana...Wenzio wananyukwa huko Crimea unaleta picha seat za ndege
Ngoja waje Warusi wa Buza na povu mdomoni. Ukraine haiwezi kuwadhalilisha na kuwanyima raha kiasi hiki 🤔Amkeni jama wwanajeshi 100 wakirusi wamekwenda na maji kwa wakati mmoja huko Luhansk wamepigwa na kitu kizito tazama ushahidi wa video chini hapo.
Kudadadeki.., dikiteta Putin lazima ajute kwa kuanzisha vita vya kipuuzi [emoji52][emoji52]Amkeni jama wwanajeshi 100 wakirusi wamekwenda na maji kwa wakati mmoja huko Luhansk wamepigwa na kitu kizito tazama ushahidi wa video chini hapo.
Tatizo lako unadhani nakusifia kumbe nimekudharau kuliko. Nilidhani unajua kitu kumbe ni debe tupu. Huwa Sina muda wa kubishana na watu wa level yako.Ulishaanza kujitapa humu umetutuliza wakati tuna ushahidi wa matukio wa kutosha kipigo cha kibabu putin naleta zingine soon piga domo tena
Lete update za operesheni boss acha maneno machafu.Tatizo lako unadhani nakusifia kumbe nimekudharau kuliko. Nilidhani unajua kitu kumbe ni debe tupu. Huwa Sina muda wa kubishana na watu wa level yako.
Boss unataka kuona maeneo yaliyopigwa na Himmars ndani ya siku saba maghala makubwa matatu ya Urusi yamepigwa huko Crimea wenzio wanajua wamekaa kimya wewe ndio umeamka usingizi hujui kinachoendelea.Kulipua transformer ndo kunyukwa..kwa hiyo unatarajia Ukraine watachukua maeneo yao kwa kufanya subotage au terrorist acts??Watu mnaushabiki wa kimaandazi sana...
Wazo la mrusi kwa Uikrane ni lipi?Ulaya mbali sana.
sema tanzania ni kubwa kuliko ukreini
kwan tanzania ina mita za mrabalaki tisa
na ukreini wana laki sita
hii ndo vita ya supa pawa
mwezi wa sita sasa bado yupo mpakani
kwa tanzania unaweza kulinganisha na
adui mkenya na vita inapiganwa arusha na moshi,
ukija dodoma,singida iringa,mbeya,mwanza,dar
lindi, tanga hadi mtwara mikoa yote iko shwar,