Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwenyewe nimekuwa Msomaji humu nashangaa wanao Msifia Mchambuzi uchwara usikute ni Id Zilezile Yaani Anapiga Ngoma na Kuyakata mauno mwenyewe
 
Kujaribu kujifanya upo nyutro halaf una upande kazi sana kubalans hiko kitu MKUUU
Naona sasa umeamua rasmi kulivua vazi la unyutro nakuvaa vazi lako la pro fulani kama sie wengine
Kama wenyewe maseneta nawengine wanakiri kuwa Afghanistan walishindwa wewe unacheo gani pale pentagon mpaka utuaminishe kwamba hamkushindwa
Mlitaka wakimbilie Qatar kwan wao ndio waliwapiga mabomu nakuwaharibia maisha na miundo msingi yao
Kama mliwaua halaf mkategemea watakimbilia kwengine poleni sana
Huyo kiongozi kama ilivyokua kwa mliemuita osama mkasema mmemuua halaf mkamtupa baharini namara hii mmemuua mtu huyo huyo mlotangaza kumuua toka mwaka 2020
Kuhusiana na wao kutoitambua Alqaeda kuna shida gani sikila taifa lipo na mamlaka yakufanya linayoyataka
Marekani inalitambua Hizbullah kama kundi la kigaidi wakat huo huo mataifa mengi ya ulaya hayalitambui hilo
Hata hao wazungu wengi wanatambua usagaji na ushoga kwakua wanaona unafaida kwao ila wastaarabu na waungwana wanaukataa kwanguvu zote na hawapangiwi
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…