Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Leta sourceLeo urusi imeyatungua makombora yote yalio elekea Crimea pia zaidi ya wanajeshi 300 wa ukraine wameuwa walipo jaribio kufanya shambulizi la kustukiza huko mykolaiv
πππHivi mnaomsifiaga huyu jamaa anajua uchambuzi wa vita ni nani? Maana namwona mweupe sana kichwani. Nilikua namchora tu anavyohangaika anavyowalisha matangopori humu ndani.
πππKUNA YULE MPIGA NYETO NILIMUONA BONGE LA MTU KUMBE AKILI ZISHAMWAGIKA KWENYE MABAO YA NYETO
Kama amekufa ni sawaBoss wa Wagner Group mbona hajaonekana tena tangu alipovisit frontline ya vijana wake pale Ukraine siku chache zilizopita, kama nne hivi. Shambulizi lililofanywa baadae anasemekana alisalimikiaView attachment 2325094
acha fix, ina maana wanajeshi wa Ukraine walikuwa ndani ya hayo makombora yaliyotunguliwa siyo !!Leo urusi imeyatungua makombora yote yalio elekea Crimea pia zaidi ya wanajeshi 300 wa ukraine wameuwa walipo jaribio kufanya shambulizi la kustukiza huko mykolaiv
πππππππ
πππ
Asee kama ni mimi nastaafu kuja jukwaani hapa!
Explain what common error in handling a microppiettor can account for pipetting too much reagent...?Leo urusi imeyatungua makombora yote yalio elekea Crimea pia zaidi ya wanajeshi 300 wa ukraine wameuwa walipo jaribio kufanya shambulizi la kustukiza huko mykolaiv
Unaleta habari ya vita kama unaingea na shemeji yako lete source acha kubwatuka kama famba.Leo urusi imeyatungua makombora yote yalio elekea Crimea pia zaidi ya wanajeshi 300 wa ukraine wameuwa walipo jaribio kufanya shambulizi la kustukiza huko mykolaiv
Leo mmepiga makazi odesa mmejeruhi watu 4 jana Ukraine kapiga majengo mawili yalikuwa na wanajeshi zaidi ya 100 wa russia wakafa hapo utaona nani ana target ya maana[emoji28][emoji28][emoji28]Ukraine wanalia nakusaga meno mda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia Tu 22 imemwaga mabomu mazito ya motoView attachment 2326498View attachment 2326499
Alisikika mang'ati mmoja baada ya fisi kupita na tako mojaNaona mzee wa articles za kubumba umerudi hivi unaziokotea wapi maana hazina kichwa wala miguu
Leta habari tujue mmeua wanajeshi wa ngapi wa Ukrane kwenye hilo shambulio la leo.Alisikika mang'ati mmoja baada ya fisi kupita na tako moja
Jua tu Ukraine ni taifa dogo na hakuna ambae alijua Russia ni dhaifu hvyo na adi Urusi inaingia nchi nyingi zikajua kabisa ndo mwisho wa Ukraine, na kama unakumbuka Zelensky mwenyewe alisema anaowapigia hawapokei maana kila mtu anaogopa, ila sasa baadae ndo wakaona kila mtu ni mchumba, mpaka Poland wanajiamini na kujipa moyo kuwa Russia walioiona sio walioidhania, na kujipa bichwa akijileta kafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Ukraine hakuwa na la ajabu ata siraha aliokuwa nazo mwanzon ni za Wasoviet mpaka alipopewa siraha, ata mwanzon Zelensky alikuwa akisema wenyewe hawaogopi ila hawana siraha, hii ni tangu wiki ya kwanza, sasa kama tangu wiki ya kwanza wanalalamika hawana siraha maana yake hawakuwa na siraha, na ata Ndege vita walizokuwa nazo zote ni mig 29
Sa unavyosema kuwa walikuwa vizuri kijeshi ni hujui na mapenzi ndo yanakuharibu akili
Ata siku ya 3 tu majeshi ya Urusi yalienda mpaka Kiev, maana yake ni kuwa walijiamini na walijua Ukraine ni weak sana na mapambano yalianzia uko pamoja na Kharkiv
Adi siku ya kwanza tu ya Russia kuvamia Donetsk pamoja na Luhansk walijitoa wakijua apa tayari baba kashatupokea, badala yake baba mpaka leo anadharaulika
Huu mwezi wa6 bado ni mputempute na tunavyobishana ni kama Urusi anapigana na nchi ya Level yake, yani kama US na Urusi ndo wanapigana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanalia nakusaga menoKichapo alicho pewa Ukraine leo mpaka bbc imechapia katika kutoa taarifa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Tazama video: Urusi yatekeleza shambulio baya zaidi katika kambi ya wanajeshi wa Urusi