Zelensky alitoa zake,akisema kila siku wanajeshi wake zaidi ya 300 hufa kwenye vita,Leo tu wamekufa 300 walipojaribu kufanya counter offensive,sasa ww Lete za kwako.Wewe ni famba tena wa mwisho hivi Statistics zilizotolewa miezi 2 imepita ndio itakuwa hivyo mpaka sasa waliongelea current situation ya wakati huo famba wewe.
Alafu tunaambiwa eti huyu ni super pawer [emoji848]Mbona huongelei?hiyo ntansformer walikufa Wana Ibia umemeView attachment 2326579
Sasa anachukua wafungwa wa nini kutoka Korea kaskazini famba weweWw pumbaf Sana, Urusi ina wanajeshi zaidi ya 1.5 million,walipo Ukraine ni 250,000. Endelea kupiga punyeto.
Mtaongea sana nyie mashabiki wa super pawer wa mchongo Ili kujifariji.. , comedian anazidi kuwapelekea moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Zelensky alitoa zake,akisema kila siku wanajeshi wake zaidi ya 300 hufa kwenye vita,Leo tu wamekufa 300 walipojaribu kufanya counter offensive,sasa ww Lete za kwako.
Kipigo anachopewa super pawer wa mchongo kinawachanganya pro-Russia,Sasa hivi wako kama kuku aliyekatwa kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa anachukua wafungwa wa nini kutoka Korea kaskazini famba wewe
yani bado Red army wako moscow wanakunywa vodka wanajeshi unaowaona apo ukraine ni kama wale vijana wa jkt kwa apa tz Jeshi kamili la Russia lipo moscow linasubiri putin siku atakayotangaza vita kamili ndio watajua Russia ni kitu ganiZaidi ya nusu wanajeshi wamekufa mpaka anaomba wafungwa korea na Irani unasema ni opereshi sema mnashindwa kuomba poo ni aibu super power kupigwa na ka nchi kadogo
Kwahiyo wale Ma General waliokufa pia ni wa jkt[emoji28][emoji28][emoji28]yani bado Red army wako moscow wanakunywa vodka wanajeshi unaowaona apo ukraine ni kama wale vijana wa jkt kwa apa tz Jeshi kamili la Russia lipo moscow linasubiri putin siku atakayotangaza vita kamili ndio watajua Russia ni kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete source ya hao wanajeshi 300 waliokufa leo maana update ya mwenzenu ina sema kombora limejeruhi watu 4 tena raia.Zelensky alitoa zake,akisema kila siku wanajeshi wake zaidi ya 300 hufa kwenye vita,Leo tu wamekufa 300 walipojaribu kufanya counter offensive,sasa ww Lete za kwako.
Na wale majenerali wanaochinjwa kama kuku kule Ukraine kumbe sio red armyyani bado Red army wako moscow wanakunywa vodka wanajeshi unaowaona apo ukraine ni kama wale vijana wa jkt kwa apa tz Jeshi kamili la Russia lipo moscow linasubiri putin siku atakayotangaza vita kamili ndio watajua Russia ni kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa kwa kujifariji hawajambo.., dikiteta Putin mwenyewe pamoja na mikwara yake kaamua kuwa mpole tu ,Ile mikwara ya kutishia nyukria haisikiki Tena, [emoji41] kapima kina Cha maji na kuona ni kirefu mnoKwahiyo wale Ma General waliokufa pia ni wa jkt[emoji28][emoji28][emoji28]
Kumuomba huyo jamaa source ya hiyo habari ni sawa na kuuliza bikra kwenye wodi wa wajawazito[emoji848][emoji848]Lete source ya hao wanajeshi 300 waliokufa leo maana update ya mwenzenu ina sema kombora limejeruhi watu 4 tena raia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawana souce wanaleta story za kutunga nawaletea video ya hilo shambulio la rusia kwenye makazi ya watu leoKumuomba huyo jamaa source ya hiyo habari ni sawa na kuuliza bikra kwenye wodi wa wajawazito[emoji848][emoji848]
Umeambiwa majengo mawili..,sio jengo Moja..,alafu fikiria lile Jengo la bunge pale Dodoma wanakaa wabunge wangapi.., fikiria jengo la ikulu.., fikiria jengo la makao makuu ya TRA..,kwa hiyo linapooongelewa jengo usianze kufikiria nyumba yako uliyojengaYani wanajeshi 100 wakae kwenye jengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine wanalia nakusaga meno mda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia Tu 22 imemwaga mabomu mazito ya motoView attachment 2326498View attachment 2326499
Kwahiyo miaka 20 ilikuwa wanapigana vita tu bila ya kupumzika na wamarekani wakazidiwa kwa kipigo?Sisi tunajua mmekimbia AFGHANISTAN wala hakuna kisingizio kuwa mmekaa sijui miaka 20.ulivyokaa iyo miaka 20 mlikuwa mmestarehe wala hamkuwa mnakufa.mmepoteza wanajeshi wenu pamoja na silaha.mmekimbia kwa aibu kubwa sana