Comrade DD
Senior Member
- Apr 27, 2020
- 179
- 320
Umeambiwa majengo mawili..,sio jengo Moja..,alafu fikiria lile Jengo la bunge pale Dodoma wanakaa wabunge wangapi.., fikiria jengo la ikulu.., fikiria jengo la makao makuu ya TRA..,kwa hiyo linapooongelewa jengo usianze kufikiria nyumba yako uliyojenga
Fashisti Putin na wadhulumaji wenzake lazima wapelekewe moto mpaka waombe poo,
Kwahiyo miaka 20 ilikuwa wanapigana vita tu bila ya kupumzika na wamarekani wakazidiwa kwa kipigo?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Haya nimerudisha tena ile video ya majengo mawili yaliyopigwa na Himmars na kuua wanajeshi wa Russia zaidi ya 100.Pro Russia Naomba leteni source hata ya maandishi ya wanajeshi 300 wa Ukraine waliokufa leo
Nakuletea na picha zao sio majina tuNitajie majina ya hao mageneral bhs hata wa5 tu
Najua story zao wanatunga hawana source yoyote ya habari ya uhakika.Mkuu vunjo unawapiga sana spana pro russia.
Naona umewaomba source wapo kimya sijui wanatafuta Library ya wapi?[emoji23]
Wakaandika urusi badala ya UkraineKichapo alicho pewa Ukraine leo mpaka bbc imechapia katika kutoa taarifa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Tazama video: Urusi yatekeleza shambulio baya zaidi katika kambi ya wanajeshi wa Urusi
Hajafa yupo hai wako busy kufanya recruitment, yupo kwenye bond ya $ 10 million ya Marekani taarifa zake zikipatikana. Kwa sasa group lao sio la siri tena na wanakubali hadi watu wenye rekodi mbaya mahakamani kujiungaKama amekufa ni sawa
Kufa vitani ni kawaida.
Boss baadhi yao hawaapa waliopokea kicgapo cha mbwa koko wakafa.View attachment 2326774View attachment 2326777View attachment 2326776View attachment 2326775Nitajie majina ya hao mageneral bhs hata wa5 tu
Ukraine 🇺🇦 bana 😂😂😂😂Sisi Ukraine tumelipua Crimea,tunaendelea kusonga mbele,kesho tunaichukua Moscow.👇👇👇🤣🤣
Near Bakhmut, fighting continues on its outskirts. Wagner's PMC units are approaching the city from the north and south to storm it from several directions.
▪️ DPR People’s Militia units advance in the direction of Pervomais'ke and Vodyane. Artillery and missile strikes are launched against AFU strongholds in Nevel's'ke and Netailove.
Mkuu wale sio JKT wale ni wanamgambo wa manispaa ikifika kipindi cha JKT ujue Ukraine inachukuliwa Nusu na wakiingia wazee wa kazi wa MOSCOW ujue mchezo umeisha.yani bado Red army wako moscow wanakunywa vodka wanajeshi unaowaona apo ukraine ni kama wale vijana wa jkt kwa apa tz Jeshi kamili la Russia lipo moscow linasubiri putin siku atakayotangaza vita kamili ndio watajua Russia ni kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakuwekea na video kabisa jinsi kichapo kinavyotembezwa[emoji12][emoji12]Acha propaganda hakuna jeshi zembe kiasi hiko wanajeshi 100 kukaa sehem moja. Achana na Propaganda aseee zinakuharibu kijana
Duh we jamaa unawapa tabu pro-Russia kwa kweli.., punguza spaner.., jamaa Wana stress za kipigo Cha mbwa KokoNakuletea na picha zao sio majina tu
Lete vitu [emoji3059]Boss baadhi yao hawaapa waliopokea kicgapo cha mbwa koko wakafa.View attachment 2326774View attachment 2326777View attachment 2326776View attachment 2326775View attachment 2326778