Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo ni kwamba tukirudisha maeneo, automatically vita itaisha, tunataka dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake waendelee kuipatapata[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kinachofanywa na Ukraine ni kukata supply ya silaha kwa sasa Crimea ndio kuna maghala ya sikaha zinazo ingizwa Ukraine wakishapiga maghala yote wanamaliza daraja then frontline ya Russia itakosa silaha hapo ndio kipigo cha mbwa koko kitakolea
 
Mh ukiwauliza kule Ukraine wameshindwa nini ku-intervene watakwambia Ukraine sio NATO member, swali... Je Kosovo ni member wa NATO? Au ndio kuangalia dogo dogo wanaemueza wakajiwekee kambi.

Umoja wa mchongo huu unataka kumfata Serbia πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ’₯NATO is ready to intervene in the situation around Kosovo if "stability is under threat."

This was stated by the Secretary General of the Alliance Stoltenberg.

The last time the situation in the region escalated was at the end of July.
 
Kinachofanywa na Ukraine ni kukata supply ya silaha kwa sasa Crimea ndio kuna maghala ya sikaha zinazo ingizwa Ukraine wakishapiga maghala yote wanamaliza daraja then frontline ya Russia itakosa silaha hapo ndio kipigo cha mbwa koko kitakolea

Yaani ww unayajua hayo,Ila Ukraine haijui,muda wote huo Ukraine ilikuwa inafanya nini imeshindwa kurudisha Crimea toka 2014,Leo ndio wairudishe overnight? Nan amekwambia silaha za Urusi ziko Crimea tu?
 
Yaani ww unayajua hayo,Ila Ukraine haijuu,muda wote huo Ukraine ilikuwa inafanya nini imeshindwa kurudisha Crimea toka 2014,Leo ndio wairudishe overnight? Nan amekwambia silaha za Urusi ziko Crimea tu?
Cheki video wanejeshi wa urusi wanavyo hangaika wameona drone inawafwatili wanajua wakitulia tu bomu linaangusho so inabidi wakimbie huku na kule wanatia huruma sana kichapo kinaendelea.

 
Mizigo ya US ni mingi na haijafanya chochote. HIMARS, javelin, Howtizers na Stinger zimerudisha Urusi nyuma?
Cha kwanza javelin ndio ilitawanyisha msafara wa vifaru wa km 64 ulikuwa unaingia kyiv mpaka mkakimbia mpakani.Sasa Himars ndio inaendelea kupiga military base na airbase na madaraja yani zikitua tu kinachobaki ni scrapers.Hatuwezi komboa mji wakati silaha zinazidi kuingia tunachofanya ni kukata supply ya silaha kuwepo na ugumu wa kuleta silaha frontline.
 
Haya kwa yule ambaye hazijui drone zinazobeba mabomu madogo madogo ambazo wamezi modify tazama video hii Pro Russia wanasema ni video game tazama zinavyorushwa na zinavyoa achia mabomu pindi zinapoona target .

 
Cheki video wanejeshi wa urusi wanavyo hangaika wameona drone inawafwatili wanajua wakitulia tu bomu linaangusho so inabidi wakimbie huku na kule wanatia huruma sana kichapo kinaendelea.

Wape vidonge vyao Hawa pro-Russia [emoji1787] siku hizi wamepoa kweli
 
Haya kwa yule ambaye hazijui drone zinazobeba mabomu madogo madogo ambazo wamezi modify tazama video hii Pro Russia wanasema ni video game tazama zinavyorushwa na zinavyoa achia mabomu pindi zinapoona target .

Duh..,nimeangalia mwanzo mwisho, urusi wanatia huruma sana kwa kweli [emoji848]
 
Wape vidonge vyao Hawa pro-Russia [emoji1787] siku hizi wamepoa kweli
Wao wanadhani vita ya sasa ni kujaza mavifaru kwa adui cheki hiyo video mpaka mwisho drone zile za laki 2 zinakwenda kuharibu kifaru cha million 500 vibomu vinavyoangushwa ni vidogo sana.Walijitapa humu wana silaha ya laser amabyo inaunguza drones sijui nayo ilienda wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…