Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tayari huko Crimea dakika chache zilizopita more updates zinakuja cheki video mosh mweusi

 
Haya tazameni mateka wa super power wa mchongo hawa tuna kazi nao leo.Inakuaje mnakamatwa ******* na mnasilaha za kutisha dunia nzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Masikini Putin. ,Hiki kibabu kimedhalilishwa sana kwa kweli [emoji848]
 
Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored
maana naona kama utoto umekua mwingi.
Hiyo ignore naona hukuikamilisha ..,ikamilishe haraka sana kabla presha haijapanda

Sisi tutaendelea kuwapelekea moto mpaka fashisti Putin na wadhulumaji wenzake wafurushwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…