Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Update frontline Ukraine Tazama video chini ni Translation.

English translation
Ukrainian soldiers reduced the enemy army The situation in the South
-------------------------------------
Ukrainian soldiers reduced the enemy's army by 5 Rashisti. It was reported in the operational command of the South. Our missile and artillery units also destroyed the Russian Legend-2 satellite communication station complex and an anti-tank missile complex. In Blagodatny, in the Kherson region, the Russians will no longer be able to replenish their ammunition, as the warehouse has been destroyed. At the same time, the enemy is trying to collect data by air reconnaissance. And in the tactics of action, the invaders continue to give priority to battery combat and airstrikes.

 
Yule wanayemwita comedian anaweza kutembelea majeruhi hapo yupo Lviv Hospital je Putin anaweza kutoka Moscow kuja Crimea kuona majeruhi wa vita[emoji38][emoji38][emoji38]

 
Picha zinatisha mkuu, napenda sana kueshimu ubinadamu wa wenzangu,

Picha kama hii haifai kuwepo hapa jamii forum lakini ndo hivyo,hakuna namna,

Uvamizi haufai

Uvamizi haufai [emoji17][emoji17]
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123]

Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123]
 
Huuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
 
Huuu uzi unaharibu na hawa wanakata makini ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
Sio kwamba Uzi unaharibika kwa kuwa unaletewa usichopenda kusikia??

Umeletewa video ikionyesha asikari mateka wa urusi hata hiyo huamini?[emoji848]

Jifunze kuvumilia msichopenda kusikia,
 
Huuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
Ni kama mtu hakuwepo online kwa mda mrefu sasa amerudi kila anachokiona yeye
ni kupakua na kujaza server.
 
Tazama msafara wa military equipment mrusi analeta Crimea wanavuka daraja la Crimea aisee huyu jamaa hasikii kama kenge.Ila acha alete tumuoneshe

 
Sasa kweli mkuu wanajeshi tena walioko frontline WATAKAAJE KWENYE JENGO KAMA WAPO BUNGENI?




Hapa kwenye bungeni style umepuyanga
 
Sio kwamba Uzi unaharibika kwa kuwa unaletewa usichopenda kusikia??

Umeletewa video ikionyesha asikari mateka wa urusi hata hiyo huamini?[emoji848]

Jifunze kuvumilia msichopenda kusik

Hamna upande wowote naobenefit non of my interest is saved na hii vita. Kuna watu tumeipa thaman jamii forum kama reliable ya information zenye source. Sasa wewe attitude yako ndo inakucost kuwaza kila mfuatiliaji humu anaupendo anaoside.
 
Sasa kweli mkuu wanajeshi tena walioko frontline WATAKAAJE KWENYE JENGO KAMA WAPO BUNGENI?




Hapa kwenye bungeni style umepuyanga
Kwa hiyo asikari wakiwa front line hawapati usingizi..,hawalali wao ni kupigana daily,sio??

Na kama wanapata mda wa kulala na kupumzika uwa wanapumzika wapi,[emoji848]
 
Umewahi kuandika kuhusu wale wanaoleta magazeti mareefu kila iitwayo siku wakielezea mafanikio ya uwanja wa vita,bila kuweka source yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…