Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sasa ndo aelewe dunia ya sasa sio ya vita vya kijingaHakuishia hapo tu,alienda mbali na kuwataka wanajeshi wa Ukraine waweke siraha chini na kujisalimisha..,
Mwanajeshi unawekaje silaha chini na kuisalimisha nchi uliyoapa kuilinda?
Kwa ufupi yule dikiteta ana mikwara mbuzi ya kitoto sana
Mzee baba kayakanyaga, sasa hvi kaambiwa aondeke auachei mtambo wa nyukilia huru - sasa kama akikaidi UN hao mgongoni kwake - bi balaa kuchezea maamuzi ya UN chezea na wengine Putin.Sasa ndo aelewe dunia ya sasa sio ya vita vya kijinga
baba goma limewaka - kuna mtu anakwenda kuumbuka !!Crimea inawaka kila siku, hakuna kinachoizuia
Kichapo kinaendelea.. mpaka dikiteta shetani aombe poo[emoji12][emoji12]Tazama ndege ya kisasa ya kivita ya Russia ilivyotunguliwa jana Su-30SM huko Kharkiv ina thamani ya dola milioni 50.Ni mwendo wa kipigo.Nimeweka source mbili
Its technological war .... sasa kama ndege mpya kabisa inatunguliwa kirahisi it means uwezo wake wa kujificha angani ni mdogo !!Kichapo kinaendelea.. mpaka dikiteta shetani aombe poo[emoji12][emoji12]
Russia alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kumaliza vita ndani ya saa 72,huo ndo ukweli mchungu,Russia anatengeneza vilipuzi ammunitions .Ukilipua ammunition depot maana yake ni kujisumbua maana ana stock kubwa .Ukraine ategemee kipigo kikali hapo Kharkiv , Summy na Chemihiv . Russia anasonga mbele taratibu kwa sababu maalumu. Ikumbukwe watu wa NATO walishasema UKISHINDA DONBAS VITA IMEISHA . DONBASS iliandaliwa miaka mingi ni complete fortified na askari wengi . Russia anachofanya ni kupaki basi na kusubiri waje anawakaanga wakiisha anasonga kidogo .Hao Ukraine wanashambulia depot's lakini hawasogei watarudishaje maeneo
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hii aibu sijui huyu dikiteta atajisafisha kivipiIts technological war .... sasa kama ndege mpya kabisa inatunguliwa kirahisi it means uwezo wake wa kujificha angani ni mdogo !!
bil 113 TZS zimechikichia dadadeq.
Najua humu Kuna wanajeshi. Tusaidie kwa hili. Mnaweza mkawa kwenye uwanja wa vita halafu mkaacha ndége yenye garama kubwa kiasi hicho idunguliwe kizembe kwa sababu mnazo nyingi. Hii inaingia akilin kweli. Au Ile meli iliyozamishwa Hadi Putin katoa machozi ambayo ilikua ni muhimu sana kwa Russia. Kwa sababu unazo nyingi uwe unaziacha kizembe hivyo.Russia anatengeneza vilipuzi ammunitions .Ukilipua ammunition depot maana yake ni kujisumbua maana ana stock kubwa .Ukraine ategemee kipigo kikali hapo Kharkiv , Summy na Chemihiv . Russia anasonga mbele taratibu kwa sababu maalumu. Ikumbukwe watu wa NATO walishasema UKISHINDA DONBAS VITA IMEISHA . DONBASS iliandaliwa miaka mingi ni complete fortified na askari wengi . Russia anachofanya ni kupaki basi na kusubiri waje anawakaanga wakiisha anasonga kidogo .Hao Ukraine wanashambulia depot's lakini hawasogei watarudishaje maeneo
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
technological war !!Najua humu Kuna wanajeshi. Tusaidie kwa hili. Mnaweza mkawa kwenye uwanja wa vita halafu mkaacha ndége yenye garama kubwa kiasi hicho idunguliwe kizembe kwa sababu mnazo nyingi. Hii inaingia akilin kweli. Au Ile meli iliyozamishwa Hadi Putin katoa machozi ambayo ilikua ni muhimu sana kwa Russia. Kwa sababu unazo nyingi uwe unaziacha kizembe hivyo.
Hapa ukweli ni kwamba unazidiwa kwenye uwanja wa vita ndo maana unatandikwa
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Nchi ngumu sana hii yani wewe mzaramo upo ikwiriri una mu address putin eti aondoke asicheze na UN[emoji23][emoji23][emoji23] uyo gueterez mchumba tu tulipiga kombola karibu na hotel aliyofikia uko kiev na hakufanya chochote yani kwa ufupi siyo UN wala NATO wanaoweza kumpa order ya aina yoyote putin.UN chief repeats call for military withdrawals from Zaporizhzhia
Antonio Guterres warns potential damage to facility in southern Ukraine would be ‘suicide’ as Zelenskyy agrees to terms for IAEA visit.
Putin ondoka mzee, usijitakie makubwa zaidi - uachie mtambo wa wenyewe bila masharti yatakukumba mazito kujaribu kucheza na UN.
UN chief Antonio Guterres has warned any potential damage to the Zaporizhzhia nuclear power station, Europe’s biggest, would be “suicide” as he and the presidents of Turkey and Ukraine discussed ways to secure the plant, and Ukraine’s president agreed to parameters for a potential visit to the facility.
sawa Putin, time !!Nchi ngumu sana hii yani wewe mzaramo upo ikwiriri una mu address putin eti aondoke asicheze na UN[emoji23][emoji23][emoji23] uyo gueterez mchumba tu tulipiga kombola karibu na hotel aliyofikia uko kiev na hakufanya chochote yani kwa ufupi siyo UN wala NATO wanaoweza kumpa order ya aina yoyote putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignoreNaomba unielekeze mkuu namna ya kumuweka mtu kwenye ignore list....kuna watu humu wanaandika comments kama tuko vijiweno...hawajui humu watu wanaingia na kusoma kujifunza na kupata uelewa na kushare baadhi ya mambo...wao wanaandika vitu vya kishabiki sana...
Unapaswa kuwaelewa.Japo hayanihusu ningependa kufahamu maeneo yaliyokombolewa?