Jajajrcode3
New Member
- Jul 21, 2022
- 3
- 8
Soma article Fulani hapo juu sababu wala sio hiyoKwa msojua uhalisia wa hii vita ni kwamba wanaopigana hapa ni Russia vs USA(socialist vs capitalist),yaan kila mmoja anataka kuitawala dunia. Russia yupo na China na nchi nyingi za Asia huku USA akiwa na UK, France na nchi nyingi za Ulaya. Pia kuna mgogoro mpya unaenda kutokea kati China vs Taiwan na nyuma ya Taiwan yupo USA(Marekani),hivyo bas: Ukraine na Taiwan wanatumika kama War group lakin hizi ni vita kati ya USA vs Russia na hizi vita ni vita za kiuchumi wakigombea kuitawala dunia yaan kila mmoja anataka ndo awe na uchumi mkubwa kuliko mwenzie na pia kijeshi na kiushawishi. Nb:ukizungumzia NATO hapo mlengwa mkubwa ni Marekani na wengne kama Uk na France ni washirika tu
Wanaoshabikia NATO mi nawaonaga they are blindAbarikiwe sana us,bila huyu huenda Ukraine ingekuwa mikononi mwa fashisti
Ukweli ni kwamba Putin anaendeleaa kufeel joto ya jiwe kwa kuanzisha vita vya kipuuzi [emoji52][emoji52]
Na bado hajaupata. Siku akiupata wanamletea madude ZaidHii siraha ni moto wa kuotea mbali aisee
Mpaka pro-Russia humu jukwaani wameamua kwenda likizo,..wakiwa na matumaini kwamba Putin atapata mwarobaini wake,
Safi saanaHaya kwa yule ambaye hazijui drone zinazobeba mabomu madogo madogo ambazo wamezi modify tazama video hii Pro Russia wanasema ni video game tazama zinavyorushwa na zinavyoa achia mabomu pindi zinapoona target .
Nipe sababu kwanini walihamisha meli vita zote toka zilizokua mwanzo karibu na pwani na kuzipeleka mbali sana a kuzificha umbali mrefu wa makilomita toka pwan. Nijbu hili swaliHebu tuwekee hapa ushahidi wa Putin akitoa machozi.
Ukishindwa then toka hapo nje ya nyumba angalia juu na kisha jipige pige kifua Mara 3 huku ukisema hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
Ila wanaoshabikia Russia kwa kuvamia nchi huru kabisa ndo wenye akili. Yaan wavaa vipedo wanajiona wako na akili kuliko wengineWanaoshabikia NATO mi nawaonaga they are blind
Uliwahi kupita hata mgambo mbona unauliza maswali yasiyoeleweka? unadhani field za vita ni kama kuny. tu,Nipe sababu kwanini walihamisha meli vita zote toka zilizokua mwanzo karibu na pwani na kuzipeleka mbali sana a kuzificha umbali mrefu wa makilomita toka pwan. Nijbu hili swali
Baada ya kulipuliwa Ile meli kwanini Putin alifanya mabadiliko ya makomando. Nijibu haya maswali. Kama Putin alifurahia kulipuliwa kwa Ile meli
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Inauma sanaHaya tazama video ya Russia kapiga makazi ya Raia amewaua sita hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine aliyekuwepo eneo hilo.Kama kuna mwenye ushahidi mwanajeshi wa Ukraine aliyekufa kwenye hilo shambulio alete
Inauma sanaHaya tazama video ya Russia kapiga makazi ya Raia amewaua sita hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine aliyekuwepo eneo hilo.Kama kuna mwenye ushahidi mwanajeshi wa Ukraine aliyekufa kwenye hilo shambulio alete
Maneno meeeeeeeeeeeeeengi,weka hapa evidence Putin akilia.Nipe sababu kwanini walihamisha meli vita zote toka zilizokua mwanzo karibu na pwani na kuzipeleka mbali sana a kuzificha umbali mrefu wa makilomita toka pwan. Nijbu hili swali
Baada ya kulipuliwa Ile meli kwanini Putin alifanya mabadiliko ya makomando. Nijibu haya maswali. Kama Putin alifurahia kulipuliwa kwa Ile meli
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ukijua sababu kwanini yote haya yanatokea utajilaumu kwanini ulikuwa mjinga mwanzoni,nchi kubwa kama Russia haiwezi kukurupuka kuanzisha vita wakati inajua inaamadui makubwa Sana nchi strong kijeshi,kiitelingensia na kiuchumi haiwezi kukurupuka siku ukijua kwa undani kwanini yote haya yanaendelea utajua umuhimu wa maarifa na kutokushikiwa akili.Ila wanaoshabikia Russia kwa kuvamia nchi huru kabisa ndo wenye akili. Yaan wavaa vipedo wanajiona wako na akili kuliko wengine
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Watu wa rainbow mna maneno.Ila wanaoshabikia Russia kwa kuvamia nchi huru kabisa ndo wenye akili. Yaan wavaa vipedo wanajiona wako na akili kuliko wengine
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Alafu Nani kakuambia wavaa vipedo ndo wanaoshabikia urusi?ndo maana nasema team NATO mnahitaji maarifa Sana.Ila wanaoshabikia Russia kwa kuvamia nchi huru kabisa ndo wenye akili. Yaan wavaa vipedo wanajiona wako na akili kuliko wengine
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
.Tazama video FAMBA la urusi lilivyodondoshewa bomu na drone ya laki mbili tu wanajificha kuwenye mashimo kama panya tunawafumua humohumo katoa kichwa kala za uso.
Kutokujua au la simlaumu ni maoni yake,hata hivyo hakumbuki au hajui au amesahau USA huko Iraq hakupata kibali cha UN.Leo hii Urusi ndo afuate ya UN.Nchi ngumu sana hii yani wewe mzaramo upo ikwiriri una mu address putin eti aondoke asicheze na UN[emoji23][emoji23][emoji23] uyo gueterez mchumba tu tulipiga kombola karibu na hotel aliyofikia uko kiev na hakufanya chochote yani kwa ufupi siyo UN wala NATO wanaoweza kumpa order ya aina yoyote putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yakeJavelins zimshakuwa mdabwada, jamaa kajitahidi kupiga kifaru Cha kizamani Cha USSR T72B lakini kaambulia kupigwa yeye na jamaa haooo wakaenda zao.
T-72B withstood a hit from Javelin anti-tank systems.
A wonderful review video from Filatov.
Yasinovatsky district.
Kamenka.
Published 08/17/2022
The date of filming is not known.
View attachment 2327299
Kwann