Fashisti Putin na wadhulumaji wenzake mpaka Waite maji mmaa [emoji12][emoji12][emoji12]Himars imeendelea kugawa kipigo cha mbwa koko usiku wa kuamkua leo huko crimea
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123]View attachment 2331144
Coordinate ishasoma Mzee achia kitu kikasomee CRIMEA.... alisikika mjeda wa Ukraine akiteta na mwenzake kwenye uwanja wa vita Front line.
Kazi ni nzito kwa PUTIN.
Uzuri wa HIMARS inapiga pale pale, usahihi ni 99%. Shughuli ni pevuHimars imeendelea kugawa kipigo cha mbwa koko usiku wa kuamkua leo huko crimea
Kuna siku urusi alikiri mojakwamoja kwamba anapigwa na kuharibiwa vifaa vyake pia?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kuna siku urusi alikiri mojakwamoja kwamba anapigwa na kuharibiwa vifaa vyake pia?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwa Sababu aliwagusa warusiHitler aliiteka Poland yote plus maeneo ya Urusi ila hatima ya uvamiz ni aibu na fedheha tu
Its only a matter of time...Endeleeni kuleta tu video kutoka YouTube,Sisi tunaumiza kimya kimya [emoji635][emoji635]
Achana na utoto wa Youtube wwHimars imeendelea kugawa kipigo cha mbwa koko usiku wa kuamkua leo huko crimea
US kununua silaha ya adui sio ajabu. Mbona alinunua Atlas Cheetah za South Africa? Kwahiyo nao waamini ndege zao ni hatari sana ndio maana US alizinunua. US aliwahi ipata Mig-25 Foxbat iliyokuwa inasifiwa mno na Soviets ila akaja gundua ni kubwa jinga na halina tishio lolote ndio maana hata SR-72 Blackbird haikuziweza. Ndege haikuwa hata na look down-shoot down.
US ana HIMARS zaidi ya 400 ila kapeleka jumla ya 16 kwa nyakati tofauti na Warusi wanateseka nazo. Su-27 ni 3rd generation, Mig 29 ndio fourth ila tafuta kill to loss ratio ya hizo ndege uone. Unajua kuwa McDonnell Douglas F-15 ina air to air kill ratio ya 108 to zero, yani kwenye engagement ambazo imekutana na ndege za adui angani na most of them ni Russian imedungua ndege 108 bila kudunguliwa hata mara moja. Tafuta ndege ya Urusi inayokaribia rekodi hiyo.
Kwani hizo ndege si walikuwa nazo Iraq, Syria, Egypt na wengine. Hata sasa si tunaziona hazipati air superiority kwenye anga la Ukraine.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Himars imeendelea kugawa kipigo cha mbwa koko usiku wa kuamkua leo huko crimea
Wamejichanganya kushambulia Crimea,Sasa Iskander zitakuwa zinashuka Kiev!Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers "Work from Home starting Monday"
WORLD HAL TURNER 21 AUGUST 2022
Videos have emerged showing utterly massive traffic jams leading OUT of Kiev, Ukraine Sunday. Residents are FLEEING by the tens-of-thousands.
In addition, the Ukrainian government told all government workers in the Kiev Region to work-from-home beginning Monday.
Here is one such video showing the traffic jam OUT of Kiev Sunday night:
So what prompted this sudden evacuation?
RUMOR has it that when Turkish President Recypt Erdogan and UN Secretary General Gutierrez visited with Ukrainian President Volodymyr Zelensky this week, they delivered an "Ultimatum" from Russia:
1) Agree to all the terms set out before the start of the Special Military Operation, OR;
2) On August 24, Ukraine will suffer a massive air and missile barrage destroying all the bridges across the Dnieper River, "Key Decision-Making centers", several electric generating stations, and the loss of Nikolaev and Odessa.
While this is RUMOR, clearly something has "spooked" residents of Kiev and they aren't taking any chances; they're fleeing.
Nadhani kitendo cha kumuua mtoto wa ally mkubwa wa Putin Alexander Dugin,pia kitawa-cost sana Ukraine,ngoja tusubiri.Wamejichanganya kushambulia Crimea,Sasa Iskander zitakuwa zinashuka Kiev!
Wamefulilza lakini wapi ha ha haNi AIBU kwakweli wamelipua mpaka wamechoka ila ngoma bado ipo imara[emoji23][emoji23]
Sasa hivi mtu anapigwa na kitu kizito kukichwaWakazi wa mji WA mykolaiv wamenza kukimbia mji huo
Ni vyemaTazama video leo asubuhi ammunition depot huko Horlivka imewaka moto.Kipigo cha mbwa koko bado kinaendelea.[emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2330443View attachment 2330444
Ukraine wamejitakia wenyewe kwa kukubali kutumika na NATO, West na USA kwa lengo la kutaka 'kuiangamiza' Russia kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kijeshi. Wajilaumu wenyewe. Russia ilijiandaa kwa 'shughuli' hii na Ukraine will never be the same again.Hitler aliiteka Poland yote plus maeneo ya Urusi ila hatima ya uvamiz ni aibu na fedheha tu
Kama ni hivyo NATO waingie basi kumaliza kazi.....Siyo kupiga kelele tu sijui eti Russia anakabiliwa na uhaba wa askari kwani hao NATO na Uingereza inawahusu hii???!!!Tazama hii kumbe ndio maana anaomba wafungwa kwa kiduku jeshi limeisha.Hiki kipigo ni cha kihistoria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2331283View attachment 2331284