Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tupe udhibitisho usioacha shaka kama NATO waliwahi kupigana Ili kumuondoa Assad madarakani
Kule Syria wapo wanajeshi wa NATO ambao walikuwa wanawasapoti waasi waliotaka kuipindua serikali urusi akaenda akawasambaratisha.udhibitisho ni uwepo wa vikosi vya NATO syria.wanataka nini Syria?tumieni akili.
 
Hii Hadith yako inatufundisha nini [emoji2][emoji2]
 
Kule Syria wapo wanajeshi wa NATO ambao walikuwa wanawasapoti waasi waliotaka kuipindua serikali urusi akaenda akawasambaratisha.udhibitisho ni uwepo wa vikosi vya NATO syria.wanataka nini Syria?tumieni akili.
Hayo ni kwa mujibu wa halimashauri ya kichwa chako..,nimekuomba utoe udhibitisho usioacha shaka kwamba ni Lini NATO alitangaza kuwa anapigana kuondoa serikali ya Assad madarakani unaruka tu

Urusi alipoingia kupigana vita huko Ukraine SI alitangaza wazi hadharani??

Naomba tu nikutoe tongotongo kwamba NATO wangetangaza Moja kwa Moja kuwa Wana Nia ya kumwondoa Assad Wala urusi asingetia pua,[emoji2][emoji2]
 
Wachunguze kwa makini hii SMO imewaibua walikozama,,,,,yaani hadi kero,,,,,,hawajui lolote mbaya zaidi,,,, oooh USA ni kinara wa demokrasia,Putin ni dikteta,hajui USA wananchi wanachagua kiongozi,Wanaojiita wenye nchi nao wanamweka wamtakae.
 
Lengo la NATO ni Russia asiendelee kusonga mbele na warudishe maeneo yaliyochukuliwa na warusi huoni yote hayo wameshindwa?huoni NATO ni weak Kwa Warusi?Acha kukaa gizani oneni ukweli
Urusi anapigana na Ukraine,acha kujisahaurisha .., urusi apambane na Ukraine kwanza kabla ya kumuwaza NATO [emoji12][emoji12]
 
Urusi imekimbia kharkiv ebu tupe ushaidi mzee baba wakati urusi imebakiza Kilometers 40 kuingia jiji la kharkiv
 
Yeah,Ili tuwavutevute zaidi,na matokeo yake vita izidi kuwa ndefu..,hili ndio lengo letu haswaa [emoji12][emoji12]
Ha ha.. br acha kujifanya wao ndo ninyi! Wao Ni wao sisi Ni sisi.. maelezo yako yanakuja vile Kama we ndo m_ Ukraine vile[emoji23][emoji23]. i'la kwa namna flani kila mtu anajaribu kusapot upande wake ..
Nb. Naomba nikujibu Kama ulivyoandika..
Sasa Kama Ni hivyo kwanini msirudi TU nyuma bila casualties ili mrudi kibabe kwa msaada wa bajeti ya miaka mitano
 
Mizinga anayotumia Russia Kwa wiki mbili ni akiba yote ya mizinga ya UK!
Mtaendelea kuongeza vifurushi ila Russia mzigo uko pale pale!
 
Shida ya Mrusi bado hajaelewa kuwa hao western including USA wanataka aendelee kupigana hata miaka 3 ili mrusi awe busy na vita visivyo isha na vinavyommaliza kiuchumi
 
Wachunguze kwa makini hii SMO imewaibua walikozama,,,,,yaani hadi kero,,,,,,hawajui lolote mbaya zaidi,,,, oooh USA ni kinara wa demokrasia,Putin ni dikteta,hajui USA wananchi wanachagua kiongozi,Wanaojiita wenye nchi nao wanamweka wamtakae.
pro-Russia naona mnateseka sana kuona dikiteta Putin anahenyeshwa na kataifa kadogo Tena jirani yake [emoji12]

Operesheni ya saa 72 imegeuka danadana zisizoisha[emoji2]
 
Huwezi kutumia akili Najua Hao NATO Syria walienda kucheza Ngoma?walienda kumtoa Rais wakashindwa kwa sababu ya urusi na walikuwa wanasema hawataki serikali ya Rais wa sasa.tumia akili hata kidogo basi.NATO hawawezi kuwatishia warusi.
 
Shida ya Mrusi bado hajaelewa kuwa hao western including USA wanataka aendelee kupigana hata miaka 3 ili mrusi awe busy na vita visivyo isha na vinavyommaliza kiuchumi
Basi watakuwa hawatumii akili Kwa sababu urusi anaendelea kufanya biashara na haohao wenyewe yaani nchi za ulaya na anaingiza faida mara nyingi zaidi huku pia akiendeleza mahusiano ya kibiashara na nchi rafiki mfano China,India NK.na sasa hivi nasikia mabenki yashaanza kurudi urusi.
 
Wachunguze kwa makini hii SMO imewaibua walikozama,,,,,yaani hadi kero,,,,,,hawajui lolote mbaya zaidi,,,, oooh USA ni kinara wa demokrasia,Putin ni dikteta,hajui USA wananchi wanachagua kiongozi,Wanaojiita wenye nchi nao wanamweka wamtakae.
Putin hajawaelewa wenzake kuwa wanataka aendelee kupigana tuu ,nguvu yake yote na mawazo yote kaweka kwa vita .Kiuchumi US anataka Mrusi asisonge mbele hata kidogo .Operation ya masaa 72 imekuwa miezi sita leo emarging Zelensky yupo .Ukraine imenifundisha somo kubwa sana kwenye maisha .Tanzania sijui tunakwama wapi hata mafuta ya bei rahisi kutoka urusi hatununui .Ukraine bei ya mafuta pamoja na vita kidogo sana na hakuna inflation .
 
The Number one threat to NATO ni Russia!
Kwanini NATO isijipanue kuja Africa au huko America ya kusini Kwa akina Argentina,Brazil NK?Akili ya US kuanzisha NATO ni kutengeneza base ulaya kumkaribia Urusi!
Russia sio wa mchezo mchezo,ninyi NATO wa kazuramimba ndio mnamchukulia poa wakati NATO halisi wanaelewa shoo!
 
Huwezi kutumia akili Najua Hao NATO Syria walienda kucheza Ngoma?walienda kumtoa Rais wakashindwa kwa sababu ya urusi na walikuwa wanasema hawataki serikali ya Rais wa sasa.tumia akili hata kidogo basi.NATO hawawezi kuwatishia warusi.
Baada ya kuona urusi anapigishwa danadana huko Ukraine..,mmeona mtafte mfano wa NATO Ili kuharalisha kipigo anachokipata urusi Sio?

[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…