Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Akipiga kwenye mshono mashoga lazima wapige kelele[emoji16]
 
Mrusi wanammaliza taratibuu, vita si ya kuisha leo wa kesho hiyo azoee kuishi nayo.
 
Ingekuwa inapigana Directly Urusi isingekuwa nchi sahv
Na ule msafara ulifyekwa lkn

Mkuu sijui uelewa wako wa masuala haya ni wa kiwango gani-samani lakini.

Ni hivi mkuu,uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari mmoja mmoja wa miguu aliye beba Javelin na anti tank nyingine zilizo undwa Urusi ambazo Waukraine bado wanazitumia - itakacho fanikiwa ni lucky shot ya kulipuwa kifaru/APC moja au mbili hivi basi, infantry wanavizia tu wakiwahiwa wanauwawa na wanajeshi wengi wa kukodi kutoka Ulaya na Merikani wamesema hawakuwahi kukutana na wanajeshi wa Urusi wanao tembea kwa miguu, wengi wa wanajeshi wa Urusi wanatumia magari ya vita na vifaru kusafiria mpaka robot zinatumiwa na Warusi kuondoa mines etc.

Narudia kuwakumbusheni kwamba uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari watembeao kwa miguu wala artillery - uwezi, sana sana utaharibu viwili vitatu basi hata drone ina uwezo wa kulipua kifaru kimoja tu, hata hivyo kumbukeni Russia ilikuwa inatembea na Pantsir air defense system 24X7 ya ku-deal na drones zinazo undwa Utruki - ndio maana tulikuwa tunaona kifaru kimoja au viwili vikilipuliwa vikiwa barabarani wala havikuwa kwenye msafara.

Having said that, je, unaweza kutumia mbinu gani kuangamiza misafara mirefu ya magari,APC na vifaru - jibu ni: mbinu za ku-kuteketeza convoy ni kutumia Air Force specifically Chopper gunships (American Apache or Russian Mil-24) au tank busters kama(American A-10 tank buster equipped with Gantling machine gun or Russian SU-24 flying tank) ni nyenzo hizo peke yake zenye uwezo mkubwa wa kufyeka misafara ya kijeshi, mara nyingi katika operations kama hizo helicopter/ndege hizo uanza kuteketeza kifaru/gari la mwanzo kwenye msafara ili msafara usimame, wanateketeza kifaru/gari la mwisho ili msafara husirudi nyuma, wanateketeza kifaru/gari la katikati ya msafara kuwachanganya akili askari wanao endesha msafara, na mara nyingi askari hao ufungua milango na kujaribu kukimbia kwa miguu ili wajinusuru sasa hapo ndipo umalizwa na machine gun za helicopter gun ships au machine gun za A-10 au SU-24. katika hilo msafara mzima ulazimika kusimama hawana jinsi - hapo ndipo helicopters gunship uteketeza vifaru/magari moja baada ya nyingine hakuna kinacho salimika si vifaru/magari wala askari vyote vinafyekelewa mbali - Ukraine hawakuwa na uwezo kama huo kutokana na Airforce yao kuteketezwa na jeshi la Urusi mwanzoni mwa vita hii, picha nyingi na video clips zinazo onyeshwa na jeshi la Ukraine na watu wengine kwenye mitandao ni fake tu na nyingine actually ni vifaru vilivyo teketezwa na jeshi la Urusi na kwa kuwa zana nyingi za kivita Nchni Ukraine ni vya enzi za Kisoviet hivyo ni rahisi kudagayika, sisemi Warusi hawapati hasara na kupoteza maisha lakini habari nyingi zinazo tolewa na Jeshi la Ukraine niza kugushi tu ili kuonyesha Dunia kwamba wana uwezo wa ku-tame jeshi la Urusi ili waendelee kupatiwa misaada ya hali na mali.
 
Ok, verify hapa mafanikio yoyote aliyopata Zelensky kwenye uwanja wa vita kutokana na mikopo/misaada ya mabilioni ya dollar za US/NATO.
amefanikiwa kumzuia Mrusi asiangushe dola yake !! na hili ndiyo lengo kuu la kwanza. Sasa ameanza kuyarudisha maendo ambayo Mrusi alikuwa kayateka - hii ni kazi moja hadi ndani ya CRIMEA.
 
Hivi hao wanajeshi 200 kwanye hilo shambulio mmewatoa wapi sijaona chombo kingine kikubwa kimeripoti tazameni hii bbc
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kwan umeona wame destroy warus wangap? Huoni kuwa ni documentary tu maigizo!!!! Hiv lini akili zenu zitawaza kibinadamu?
Kwa hiyo Ile nyingine zinakuwa sio video game sio?[emoji57]
 
Wachambuz wa buza kwenye ubora wenu tuchambulieni kuhusu tozo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…