Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yoda kwenye ubora wake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 

Wangekua wale shoga CIA mpaka leo wangekua wanahangaika[emoji23]
 
Umechambua zako Geopolitics
 
Tazama live hili group la wanajeshi wakitusi walivyo angamizwa kwenye mahandaki yao lazima waishe kwa hali hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazama picha za Satellite imegundulika wanavusha silaha kwa pantoon baada ya daraja kuvunjwa juzi sasa siku chache zijazo tutashambulia hizo pantoon hawatamini.

 
Tunazidi kuwakimbiza warusi hawawezi kusonga mbele
 
Vita ya drone hamtaiweza tuna silaha nyingi za kuziangusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunazidi kuwakimbiza warusi hawawezi kusonga mbeleView attachment 2337886
Katika hizo sehemu,
tuambie sehemu waliyofanikiwa Wakirene kufanya hiyo counter offensive.

Huku south Kherison wameliwa vichwa.

Kule Donbass wamechemka

Hapo Avdiviika Kuna trench battle inaendelea.
Ila dalili zote zinaonyesha majeshi ya Ukraine kuanza kuachia na kurudi nyuma.

ila uisahau kuwa Nikolaev offensive kwa Warusi imeanza na kuangamiza makao yenu pale.

N.B huu mji hauwezi kupambaniwa zaidi ya wiki mbili, utakuwa tayari umeangukia mikononi mwa Warusi.
 
Hakuna Silaha za NATO, kuna vikosi vya NATO ambavyo kila nchi mwanachama inakuja na sila zake vinapokuwa deployed. Kila nchi mwanachama wa NATO anazo silaha zake.
Wanajifanya hawajui, ovious hawajui maana wanaropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…