Hebu kua serious Basi, ilikuaje,ulitekwa au?[emoji848]Niliomba kuwa "VERIFIED MEMBER" ... sijajibiwa ... Na kabla ya kijibiwa nimehamishwa.... Ila comment zangu bado zipo nnachoomba ... Ni usiri ... Naomba tena kuhakikishiwa ..usalama wangu... Ndio maana sichamgii sana ... Kimsingi "nimekamatwa".... Ila nimelindwa na SHERIA ndio maana..hamnioni nachangia sana... Nimehamishwa kabisa lakini sijapoteza kazi... Nimetoka Mwanza... Nahamishwa Lindi... Mdomo uliponza kichwa.... Sijutiii...
Hamjafungua shule tu we ndama au mzazi wako hajakulipia adaKweli wewe ni Mr Majanga huu muda uliyotumia kuandika huu UPUPU ungefanya jambo la msingi
Kuna TISS na Kuna GSO .. TISS mnaijua wengi lakini HAMJUI.. GSO...!!? SASA GSO Ndio hatari Kwa watumishi wa umma kuliko TISS .. unaijua GSO! nawaambiaga watoto ... Wamacheka
Nini kifanyike?Hawa walikuwa na uzi wao wa picha na video kule "jukwaa la Photo " Nilikwenda kule nikawa nawanyoosha kwa kuwapa ukweli. Walinitimua kwenye uzi huo kuwa wao hawataki uchambuzi wa ukweli wanataka picha na video za front line ya Ukraine. Bahati mbaya sana video na picha nyingi walizokuwa wanaweza kule zilikuwa zinakiuka maadili ya upashaji habari na utu pia nyingine zilikuwa za kubumba!
Hata hivyo, ni nadhani uzi huu unaweza kuwa unachafuliwa kwa makusudi kuzuia watu wengi wenye shauku ya kujua ukweli wa kinachoendelea kwenye operation demilitarization and denazification huko Ukraine. Pia kuna uwezekano wachafuaji wa uzi wanalengo la kuficha aibu ya upande Fulani wanaoutete kwenye Mgogoro huu.
Ukumbuke balozi wa nchi za Ulaya kama sijakosea aliwahi fika ofisi za JF kutembelea,,,kwa sasa Uikrane wakifanya uvamizi wanatoa na idadi ya vijiji walivyokomboa ambapo tulikua tunahoji hiyo misaada mbona haikomboi hata mtaa?Aisee uko sahihi...hata Mimi nadhani hi I no misinformation strategy ya west....Kuna Kila uwezekano taasisi za kijasusi za West zimeingilia Kati ....haiwezekani vijana baadhi wamo kwenye uzi huu for 24 hrs wakileta mipicha fake na hawachoki...why?!?! There must be something behind it, for sure...
Cha Kwanza unatakiwa kujua "RULES OF ENGAGEMENT"... ndio maana wote hao wanacheza na mchoro huo "Rules of Engagement"...Toka nje ya kanuni hii uone...Ukumbuke balozi wa nchi za Ulaya kama sijakosea aliwahi fika ofisi za JF kutembelea,,,kwa sasa Uikrane wakifanya uvamizi wanatoa na idadi ya vijiji walivyokomboa ambapo tulikua tunahoji hiyo misaada mbona haikomboi hata mtaa?
SiogopiHii ndo jamiiforum "" where we dare to talk openly ""
Umenipata bwashee?[emoji41][emoji41]
HUMU JUKWAAANI KUNA DEEEP STATE KEYBOARD WARRIORS............Cha Kwanza unatakiwa kujua "RULES OF ENGAGEMENT"... ndio maana wote hao wanacheza na mchoro huo "Rules of Engagement"...Toka nje ya kanuni hii uone...
🤣🤣,Naona kinyonge sana!Usijali mku,tuendelee kufuatilia SMO na mwisho wake Nini!
Huko Poland kwenye majumba ya Sinema,Kwa nje zimefungwa baiskeli za mota nyingi na watu wanalipwa kupiga pedeli kuzalisha nishati ya kuendesha Sinema!
Fursa hiyo!
Msimu huu hakuna rangi tutaacha ona!
Kwa kama umesahau subiri tukukumbushe
1) marekani soko lake la bidhaa Kwa asilimia kubwa ni ulaya, sasa kutokana vikwazo pamoja na kukosa nishati viwanda vya ulaya vinaenda kufungwa, kinachofata ni raia kukosa kazi na umasikini, uchumi wa ulaya utaanguka maana yake nchi za ulaya hazitaweza kununua bidhaa za marekani, kutokana na umasikini
Sasa kufatia bidhaa za marekani kukosa soko litasababisha viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji kutokana na bidhaa wanazozalisha hazina wanunuzi, hii itasababisha kupunguza wafanyakazi, wafanyakazi wakianza kupunguzwa ndiyo mwanzo wa raia wa marekani kupunguza matumizi ambapo ndipo uchumi wa marekani ulipo
Kwa hiyo hii itapelekea demand ya dolla kupungua, kitendo kitakachosababisha dolla kuanza kushuka thamani wakati pesa yuan na rubo zikichukua nafasi kutokana na ndiyo sehemu ambayo nchi nyingi duniani wanategemea kupata bidhaa kutoka Asia
Ila haya yote yanaweza yasitokee kama ulaya itatii matakwa ya urusi na kumalizika Kwa Vita ya Ukraine,
Au waanzishe Vita na urusi na washinde Ila kinyume na hapo ulaya inaenda kuwa masikini
Kama Russia wangekuwa na Bunge lenye sauti hakika, hii vita isingekuwepo.