Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Your browser is not able to display this video.

It is reported that three Bayraktar TB2 UAVs purchased under the People's Bayraktar program have already arrived in Ukraine. They were called "Kovinka", "Khalepa" and "Shaking". The logo of the Ukrainian vyshyvanka is also applied to the fuselage.
 
Jibu SWALI.
siraha zinazoeleweka ziko kazini vitani, apeleke siraha vitani, vita sio maneno wewe.

na hapa nasoma taarifa kwamba baadhi ya masiraha yake yanakamatwa huko yakiwa yamefungwa ma CHIPS yanayotumika kwenye ma dishwashers na ma fridge.

alafu unakuja kuongea upuuzi wa eti RUSIA PEKEE.
 
Maeneo yanakombolewa wanajeshi wa Ukraine wanazidi kusonga mbele anayebisha Himars hazijabadili upepo wa hii vita basi atakuwa na ugomjwa wa akili

Porojo kwetu hazina nafasi,ni kuwaletea ushaidi kutoka front line
 
Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.
Hata Mimi nimemshangaa sana,Yaani Isarel imvimbie Urusi!
Ama kweli duniani Kuna mambo.
 
Taja nchi yenye hypersonic missile bro, Acha ujinga
 
Kuna watu bado mpaka Leo wanaamini urusi ni super pawer? Bas watakuwa na mtindio wa ubongo [emoji848]
 
Hizi nchi ni kama zimegeuka kua mikoa ya EU. Hazina maamuzi yao wao kama wao kwa Raia wao.
 

Naomba Ni comment hapo ulipoandika "Hakuna pipeline ya kupeleka gas China"

Mwanzoni nilidhani wewe ni mtu ni msomaji na mtu wa kufuatilia vitu. Kumbe nilikuwa najidanganya.

Nilichogundua wewe Mara nyingi unaandika hapa Kama "opinion" na Wala sio kwamba Kuna reference unafanyaga.

Naomba leo nikujuze kwamba kuna pipeline inaitwa "Power of Siberia I" hii pipe inapeleka gas China

Power of Siberia I

This is a Gazprom - operated pipeline in Eastern Siberia that transports natural gas from Yakutia to Primorsky Krai and China. It is a part of the eastern gas route from Siberia to China. Hii project imeanza kupeleka Gas huko China since 2019.

Pia kuna Power of Siberia II

Hii pipeline inatarajiwa kuanza kujengwa early 2024. Hii pipeline itapitia Mongolia. Dhumuni la hii pipeline ni divert Europe bound gas to China.

Sasa nakushangaa Sana unapokuwa unapotosha hapa. Next time jitahidi uwe unatumia kidogo akili.
 
Mimi nakuambia hivi!
Hata hizi paragraph ulizompa antazikataa,atakuambia umejitungia TU.
Subiri Sasa.
 
Hata Marekani ananunua silaha toka ufaransa,sweden,Norway na kwingineko.Hiyo ni biashara ni kuuziana na kununuliana.Hiki ni kipindi ambacho washirika wake nao wanataka kujaribu ubora wa silaha zao.
 
Hata Mimi nimemshangaa sana,Yaani Isarel imvimbie Urusi!
Ama kweli duniani Kuna mambo.
Ndio Mkuu Kama unakumbuk nafikiri Iran aliwahi kuweka oda ya s300 kwa dola bilion 10 nafikiri Ni between 2010 na 2013 ambapo isreali chini ya waziri aliyepita Benjamin netanyau alilalamika sana. Nakupinga kwa nguvu zote urusi kuwapa Iran huo mfumo, tena akishirikiana na marekani na nchi za umoja wa ulaya hasa uingereza,ufaransa na ujerumani.

Sababu ety ooh Irani atazidi kupata kiburi katika kuendeleza mpango wake wa nyuklia usio na amani, wenye lengo la kuishambulia kijeshi Israel. Hapa simu kutoka kwa netanyau kwenda Kremlin kuimbeleza urusi zilikua za mfululizo mpaka Iran wakacheleweshewa kupokea mfumo wa s300 nakubidi kuingia kiwandani kuunda mfumo unaendana na huo wa urusi.

Kwanini Kama yeye isreal anavyojinadi kuwa akitishiwa usalama wake lazma ckuzote anakabiliana na kitisho hicho kukwepa hatari iliyombele yake mfano alishapiga vinu vya nyuklia vilivyokua Iraq chini ya uangalizi wa ufaransa. Kwanini ashindwe Irani mpaka amlilie urusi kutowapa s300, wakati urusi yeye alipotishiwa usalama wake wa kiuchumi huko Syria alienda kuondoa tishio Hilo bila kusahau Ukraine ambae now ananyooshwa na urusi ili kuakikisha usalama wake.

Afu Leo mtu anakuambia Israel amuogopi urusi cjui na blaa blaa nyingi. Hilo taifa la wayahudi feki limalizane kwanza na Irani nakwakua Hilo Ni gumu kwao wameona watumie assassination kwa Iranian nuclear scientist, huu si uoga wa waziwazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…