Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu kweli super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji2]
 
Kwahiyo ndo maana kaenda omba msaada NKorea
 

Jamaa kashapiga bao zake mbili za nyeto unapoteza muda mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kununua silaha sio kama wewe unavofikiria inamaana kubwa sana.
Acha Propaganda, kununua siraha ni sawa na kununua pipi hamna kitu chochote intelligent wala strategic.
anaishiwa siraha, kaenda kununua drones Iran na zinatumika vitani tayari.

yaani hivi sasa anajikusanya na WAKIWA WENZAKE, IRAN, NORTH KOREA NA IRAN.
Hata Marekani ananunua silaha toka ufaransa,sweden,Norway na kwingineko.Hiyo ni biashara ni kuuziana na kununuliana.Hiki ni kipindi ambacho washirika wake nao wanataka kujaribu ubora wa silaha zao.
Bosi unanunua siraha za majaribio wakati wa vita? Kwanza lini Iran imekuwa Taifa linalouza siraha.
 
Naona mkuu umembana vibaya kamanda Amata.
Natumaini kuanzia leo ataanza kujadili Mambo kwa credible references.

Utakuta humu Kuna watu wanaleta taarifa za:

"Russia kaishiwa chakula"
"Russia kaishiwa silaha"

Source ya taarifa: "British Intelligence" au "US Intelligence"

Sasa watu wa namna hii hata kujadiliana nao Ni kupoteza muda tu.
 

Ulizia yule babu yao kama anaweza huo unyama[emoji23][emoji23]
 
Europe does not have GAS, RUSIA has Gas.

Rasia does not have the technology to process and supply its Gas, Europe has the technology to process and supply Rusian Gas.

so kinachoitwa GAS WAR, wote wawili wanaumia Rusia anaumia Europe anaumia.

Then wanakuja mashabiki njaa wanapiga kelele ohoo USA atasupply, mara ohoo Rusia kiboko.

yaani utoto utoto.
 
Putin aendelea kuweka wazi msimamo wake kuhusu Urusi.Asema anaifikiria Urusi kama nchi ya Kikristo

Putin anaendelea kuweka wazi kwamba anaifikiria Urusi kama nchi ya Kikristo. Mnamo 2014, Putin alitoa wito wa kurejeshwa kwa Chudov ya kihistoria ya Kremlin (ya Muujiza) na nyumba za watawa za Voznesensky (Ascension),ambazo zote ziliharibiwa na Wabolshevik.

Pia anataka kanisa lingine lililoharibiwa na Wabolshevik huko Kremlin lijengwe upya.  Wakati mradi huo kwa sasa umesitishwa hadi utafiti wa kisayansi ukamilike kwenye tovuti, dhamira yenyewe ni ya kiishara. Kremlin ni kituo cha kisiasa na kihistoria sio tu cha Moscow bali cha Urusi. Kwa kutoa wito wa kurejeshwa kwa majengo haya ya Kikristo, Putin alikataa urithi wa Usovieti na itikadi yake ya kutokana Mungu na rekodi yake ya kupinga Ukristo na anathibitisha tena Uorthodoksi kama moyo wa utamaduni wa Urusi.

Mtazamo wa ulimwengu wa Putin na kuunga mkono kwake Kanisa la Othodoksi la Urusi kama taasisi,na pia kuvutiwa kwake na wanafalsafa watatu wa Kikristo wa karne ya 19 na 20,Nikolai Berdyaev, Vladimir Solovyov na Ivan Ilyin, ambao mara nyingi huwanukuu huonyesha wazi kwamba Putin amebadilika na Sasa anajitambua Kama Mkristo. Hii inadhihirika wazi katika hotuba za. Magavana wa eneo la Urusi hata waliagizwa kusoma kazi za wanafalsafa hawa wakati wa likizo zao za majira ya baridi kali za 2014.

Ujumbe muhimu wa wanafalsafa hawa ni jukumu la kimasiya la Urusi katika historia ya ulimwengu na hitaji lake la kurejesha mipaka ya zaman yake ya kihistoria kwa kutumia Uothordox. Kuhusu janga la karne ya 20 ambalo Urusi ilipata, Ilyin aliandika: "Mapinduzi ya Urusi ni onyesho la shida ya kidini tunayoishi sasa, jaribio la kuanzisha mfumo wa umma na serikali unaopinga Ukristo uliofikiriwa na Friedrich Nietzsche na kutekelezwa kiuchumi na kisiasa na Karl Marx. Virusi hivi dhidi ya Ukristo vilisafirishwa kwenda Urusi kutoka Magharibi. Kwa kupoteza uhusiano wetu pamoja na Mungu na mapokeo ya Kikristo, wanadamu wamekuwa vipofu kimaadili na wameshikwa na kupenda vitu vya kimwili, kutokuwa na akili na ukafiri.”

Kwa maoni ya Ilyin, njia ya kuondokana na msukosuko huu wa kimaadili wa kimataifa ni kwamba watu Ni lazima warudi kwenye “tunu za Mungu za kimaadili,” ambazo alizifafanua kuwa “imani, upendo, uhuru, dhamiri, familia, nchi ya mama na taifa” lakini zaidi ya yote “imani na upendo. ”. "Ili kuifanya Urusi kuwa kubwa tena,watu wa Urusi wanapaswa kumwamini Mungu. Imani hii itaimarisha akili zao na nguvu zao. Itawafanya kuwa na nguvu za kutosha kujishinda wenyewe.” Ilyin aliamini katika zawadi ya kidini na talanta ya roho ya Kirusi. Kwa maneno yake, "Historia ya Urusi inahusu maadili kushinda magumu, majaribu, hatari na maadui."

Kwa upande wao Solovyov na Berdyaev walisema kwamba dhamira ya kihistoria ya Urusi ni kuongoza njia ya umoja wa wanadamu. Urusi ingevuka usekula na kutokana Mungu na kuunda ufalme wa kiroho uliounganika. "Mimba ya kimasiya ya Kirusi," Berdyaev alisema, "siku zote iliinua Urusi kama nchi ambayo ingesaidia kutatua matatizo ya wanadamu."

Katika wasifu wake wenye kichwa "Mtu wa Kwanza", Putin anasema mstari wa kwanza katika kanuni yoyote ya sheria ya Urusi unapaswa kuwa maadili na kwamba Urusi inapaswa kuhusika sana na nafasi yake ya kiroho kama ile ya kijiografia. Ili kuelewa maono ya Putin juu ya Urusi, maoni yake juu ya hali ya kiroho na masomo yake ya wanafikra wa Kikristo kama Ilyin, Solovyov na Berdyaev, lazima izingatiwe. CHANZO Imani ya Kirusi
 
Hii vita imesababisha njaa kali sana hapo Somalia na Kenya mamia ya watu wanakufa kila siku, mashirika ya misaada badala ya kuendelea kusaidia hasa somalia sababu shughuli za kilimo ni kama simesimama kwa muda mrefu sababu ya machafuko sasa yanapeleka misaada zaidi kwa wahanga wa vita Ukraine.

then kuna watu wameshiba uji JF wanashangilia vita na kukumbatia wasababishi wa vita kama vile wanagombania mabwana.

Yaani jitu zima linajua kusoma na kuandika, lina ama computer au simu au vyote, lina access ya internet, labda hata lina mke na watoto nyumbani, na wazazi wategemezi juu, liko JF linaandika "Urusi anasiraha ambazo hakuna nchi inazo", yaani utafikilia labda ni punguani labda, yaani.
 
members wana uwezo mkubwa wa kutofautisha baina ya pumba na mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi humu Wana mtindio wa ubongo mkuu,[emoji848]
 
Wewe ni Mtanzania wa wapi unaandika 'siraha'.....Umeandika hivyo Mara kadhaa humu...
 



Ngoja nikueleweshe kidogo.

Kwenye hizi big projects, nchi zinajitahidi Sana kuhakikisha kwamba makampuni ya nchi yake yananufaika.

Ndio maana unaona kwenye both projects za Nord Stream 1 and 2 makampuni ya Ulaya yanapata tender za construction services or maintenance.

Vilevile ukiangalia project ya gas kwenda China (Power of Siberia) utaona kampuni za China ndio zikinufaika (zikiongozwa na China National Petroleum na Stroygazconsulting Ltd Liability).

Point yangu Ni kwamba, utandazaji wa mabomba ya gas sio technology ambayo hipo exclusive kwa Europe, hata China anafanya hata Japan anafanya (Japan and Russia wana project ya gas)

Kwa hiyo tambua kwamba Technology sio ishu ya kufanya Russia ashindwe kusambaza mabomba ya gas.

Yes, Europe Ni soko zuri la gas, hii nakubali. Na vilevile, kupungua kwa gas volume inayoenda Europe ina impact kwenye Revenue za Gazprom, ndio maana Sasa wanatafuta alternative buyers wa gas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…