Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa Sasa Dunia Ina vita Moja tu?!!!!

Kule Yemen wale wanakula na kushiba?

Hapo Somalia Wana amani?

Libya imetulia na kutawalika?

Central Afrique hapo mabwana vita wamesalimisha Siraha?

Kongo ya Mashariki Kuna amani?

Ethiopia Nako?

Myanmary na vifo vya walohingya?

Halafu Kuna msaga sumu mmoja yeye anaumia na vita ya Ulaya Mashariki iliyosababishwa na mashoga kwa kukaza fuvu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu hata hafahamu kwa nini enzi zile za Magunzi bei ya chakula ilikuwa chini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Kwa nini Sasa enzi za bi mkola bei ipo juu, yeye anawaza Urusi tu na special operation yake.

Inawezekana huyu hata wajuba wakimfilimba mkewe atasema na kuwalaani Warusi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bulgaria hii hii ambapo bunge la nchi hiyo lililopiga kura ya kumwondoa waziri mkuu kwa sababu yakutokuwa na Imani nae[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Ambapo Sasa wanatafuta mahusiano mapya na mazuri na Moscow.

Au Bulgaria Gani mnayoizungumzia humu?

Poland hawa waliowaambiwa Raia wao watumie Kuni kama upo Mpandamlowoka Tabora Tanzania.

Finland kwa kiasi Fulani wanategemea gas inayotoka Norway ila bado maisha yamepanda na gesi imezidi kuwa aghari maana Norway Haina kiwango kikubwa Cha hiyo gas.

Hapa tujadili athari ya kufunga Bomba la gas na athari zake kwenye viwanda vya hayo Mataifa.

Kiuchumi na kijamiii
 
We jamaa bhana

Israel hawalalamiki Iran kuuziwa silaha na urusi bali wanapinga urusi kuiuzia iran air defences zake sophisticated. Kuna tofauti hapo. Zipo silaha nyingi tu iran amenunua kutoka urusi na israel haijalalamika ila ilipofikia swala la s400 wamekuja juu.

Hili la uturuki kuzipiga silaha za russia hata haliitaji majibu ni vichekesho. Uturuki mwenyewe anaitaka s400 kwa udi na uvumba wakati anajua kuna patriot.

Nimejaribu kuangalia kila pahala mtandaoni kila jarida kila link niliyotembelea wanakubali kwenye air defence hakuna km s400 mpk ss.

Kwa nini air defence za urusi hazijafanikiwa kulilinda anga la syria!? Kwanza unatakiwa ujue urusi kapeleka s400 pale syria sio kulinda anga la syria kwa ajili ya syria bali kwa ajili yake mwenyewe (kulinda base na majeshi yake yaliyoko syria). urusi hakuanzisha no fly zone syria. Ndege za Israel zinaweza kuruka syria ila zitakapotaka kushambulia maslahi ya urusi ndipo s400 itakuwa activated ili kuintercept. Ktk makubaliano baina ya putin na pm wa israel ni pamoja na kureactivate kipengele kinachoweka red line ya umbali ambao waisrael wanaweza kushambulia kutoka base za urusi. Endapo watashambulia ndani ya umbali huo watakuwa wamevuka mstari mwekundu wa na hivyo air defences za urusi zitalazimika kujibu mapigo. Alaf pia tunaposema s400 ni bora hatumaanishi ipo effective kwa 100%. Bali ktk systems zote duniani hiyo ndio inayoongoza kwa ufanisi. Ina maana km yenyewe ina ufanisi wa asilimia 30 zingine zitakuwa chini ya hapo.

Ndio maana nasema hiyo incident wewe huijui vzr. Israel halaumiwi kwa kushindwa kutoa taarifa kuwa anaenda kushambulia syria bali analaumiwa kwa kushindwa kwa ndegevita zake zilizokuwa zinashambulia syria kutoa warning ya mapema kwa ndege ya urusi kuwa air defence za syria zimekuwa activated na zinafanya mashambulizi. In short waliitumia hiyo ndege ya urusi kama ngao. Ndio maana wanalaumiwa. Na ndio maana kukawepo na makubaliano baina ya urusi na israel juu ya umbali kutoka base za urusi ambapo israel ataruhusiwa kufanya mashambulio yake ndani ya syria.

Ilikuwa hivi. Waisrael wametuma ndege zao zikafanye mashambulio syria na hilo eneo wanalokwenda kulishambulia liko karibu na kambi ya urusi. Sasa wakati wao wanafanya mashambulia yao hayo upande wa pili ndege ya surveillance ya urusi ilikuwa inadescend kwa ajili ya kutua kwenye kambi hiyo ya urusi. Air defences za syria za wakati huo zilipoona kuna ndegevita za israel zinataka kufanya mashambulizi eneo hilo zikawa activated kurespond. Ilitakiwa sasa zile ndegevita za israel zitoe warning kwa ile ndege ya urusi mapema ili iondoke mahali hapo maana ile ni ndege ya surveillance tu isije ikashushwa. Waisrael wakachelewa kutoa warning na s200 ya syria ilipoanza kufanya yake ikajikuta imeishusha hiyo ndege ya urusi. Kumbuka hii ilikiwa ndege ya surveillance tu so lzm ingekuwa hit

Baada ya tukio urusi akailaumu israel kwa kushindwa kutoa warning kwa ndege yao mapema hadi ikashushwa na syria akalaumiwa kwa kushindwa kuhakikisha hakuna ndege ya urusi karibu kbl hawajaattempt kudungua ndege za israel.

Nashindwa kuelewa incidence ya namna hii inaprove vipi kwamba israel ni babe kiasi cha kuitunishia misuli urusi licha ya syria tu bali popote pale duniani.
 
Bora ulivyomjibu.

Mimi natabia ya kwamba nikishakueleza Jambo halafu naona hutaki kuelewa, uwaga napenda kukaa kimya.

Nilipoona tu anataja kwamba Bulgaria haina shida ya gas ya Russia, nikaona najadiliana na mtu mjinga. Bulgaria wenyewe wanasema kwamba wanahitaji gas ya Russia, lakini yeye huku TZ anasema Bulgaria haina huitaji wa hiyo Gas. Sasa huyo si ni mtu mpumbavu tu.

Hapo juu, nilimshauri kwamba awe anapenda kusoma credible sources kuhusu dunia inakwendaje, lakini naona kama hajanielewa.
 
Mkuu ukibishana watu wasio na majukumu ,utaumia maana jamaa anaongea utumbo uliooza
 
Mkuu umeongea vyema Sana.... "Ndege ya Russia ilitumika kama ngao"

Tatizo lililopo hapa ni kwamba huyo jamaa hawezi kukuelewa. Ni kama unapigia mbuzi gitaa.
 
Hebu ufafanuz Zaid hapo mkuu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe toa aibu huku ,mfumuko wa bei unazaa njaa,yaan watu wanahamia kwenye inferior goods,now ngano na mfuta iko juu,watu wanahamia kushindia viporo,na mihogo ya kuchemsha,hiyo ndio njaa maana kama we ni mkristo yuko nabii mmoja alimwambia mlinzi mmoja kibubu cha ngano kitauzwa kwa dinari mbili,akimaanisha njaa italikumba taifa. Bei za vitu zikipanda hiyo ni njaa .
 
Hivi unalijua njaa?

Unajua ukubwa wa neno baa la njaa?

Ina maana ukiacha kunywa kahawa kwa sababu ya kupanda bei badala yake ukahamia kwenye chai, tutasema kahawa hakuna?!

Kuhamia kwenye inferior goods ni kwa sababu ya economic scale of preference na opportunity cost.

Huwezi kusema Kuna njaa kisa mtu amehamua ale magimbi badala ya ngano[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pantoon zinazidi kulipuliwa tunasema hakuna kuvusha silaha hata rungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazameni hii video jamaa anaondesha kwenye map jindi jeshi la Ukraine linavyosonga mbele huko Kherson na maeneo mengine mpaka jana tarehe 6.

 
Hii jana tazama video uone warusi walivyo kufa wanatia huruma sana Kherson inarudi soon

 


Bwana mdogo, usipende kudandia gari kwa Mbele.

Unaposema "...Bei ya vitu kupanda hiyo ni njaa.." hapa inaonyesha ulivyo na akili ndogo.

What if that inflation is due to more money supply/printing...? Je, utasema kuna njaa hapo?

Mmejaa na maujinga humo vichwani mwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…