kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Sidhani kama huyu super pawer wa mchongo atakuja kusahau hiki kipigo aisee [emoji848][emoji848]Super power akatoe vijana wake maana wanakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinyonge saaaaana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Ukraine hali ngumu sana . Thaw difference line is vulnerable after unsubscribe counter offensive. Way to ODDESSA very clear.. I love ODESSA
Mkuu usiwe na ubishi wa ajabu.Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.
Sielewi hiyo surveillance aircraft ya Russia ilishindwaje kuona air defence system zimekuwa activated wakati ni mojawapo ya kazi yake. Hata fighter jets tu zinakuwa na radar receivers kama hizo za Israel zilivyoweza tambua
Atakuwa ndio huyu kwenye hii video hadi damu za pua zinamtoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna colonel kadakwa huko
Ndiye yeyeAtakuwa ndio huyu kwenye hii video hadi damu za pua zinamtoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Hilo eneo hawezi kuliachia sababu ndio usalama wake ulipo, lakin Iran na vijana wake wa Hezbollah nao hawakati tamaa sababu wamedhamilia kulirejesha Hilo eneo kwa Syria.
Hiki kipigo wangekuwa wanapewa Ukraine hapa jukwaani pasingekalika..,kwa jinsi machawa wa dikiteta wa mchongo wanavyopenda kukuza Mambo,Tazama hii vijana wa Super power wanakimbia hovyo wanaangushiwa mabomu tu.