[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kazi inaendelea hukoView attachment 2348881
Tunawatonesha vidonda [emoji91][emoji91]Pantoon zinazidi kulipuliwa tunasema hakuna kuvusha silaha hata rungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si vibaya kuwakumbusha kipigo kinavyotembezwa huko field [emoji91][emoji91][emoji91]Tazameni hii video jamaa anaondesha kwenye map jindi jeshi la Ukraine linavyosonga mbele huko Kherson na maeneo mengine mpaka jana tarehe 6.
Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji2]Hii jana tazama video uone warusi walivyo kufa wanatia huruma sana Kherson inarudi soon
Kazi nzuri kutoka kwa comedian zelensiky [emoji91][emoji91][emoji91]Siku ya jana tu wanajeshi 450 wa Russia wamekwenda na majiView attachment 2348883
Huyu dikiteta kaamua kwa makusudi kuwatoa kafara vijana wa urusi [emoji848][emoji848]Super power akatoe vijana wake maana wanakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Semeni video game [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hawa vijana wanaisha jamani mbona Putin hana huruma na jeshi lake
Eti Hawa ni askari wa taifa linalojinasibu kuwa super pawer [emoji848][emoji848][emoji848]Tazama video hii mateka ni wengi sana wale wabishi wanauliwa yani jamaa atoe jeshi lake atalimalizia hapo
Urusi mandonga tu [emoji848][emoji848]Mateka wengine ha wa leo hii jamaa huu mziki ni hatari sana COUNTER OFFENSIVE KIBOKO YAO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wape vidonge vyao comred [emoji91][emoji1255]Tazama video mpaka mwisho silaha tulizokamata baada ya warusi kukimbia maeneo wengine tumeua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12][emoji2][emoji1787]Hahaha wazee wa Iskander, Ballistic na Supersonic missile wakishikwa wanakuwa wadogo sana.Wapige zile wanaita INTERCONTINENTAL MISSILE linafika marekani dakika 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakumbuka hicho kipindi endorgan nusu ajinyeeTunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
Afadhali umemkumbushaSasa hii ya TURKEY mbna case tofauti MKUU jmaa waliingiza ndege vita kwenye taifa la watu ulitegemea nn
Kubwa kwa TURKEY kama wamelipa fidia ndio wamejidhalili
Maana wameingiliwa kwao na bado wanaonekana wamefanya makosa ikabidi walipe
Sent using Jamii Forums mobile app