Technologia ya Urusi ni ya kawaida mno, sema anawashabiki wengiMkuu usiwe na ubishi wa ajabu.
1. Israel haina ubavu wa kutunishiana msuli na Urusi hata kwa jambo moja.
2. Air defences za urusi s400 ndio bora zaidi kuliko zozote zile mpk muda huu tunaoongea
3. Israel wanahitaji greenlight ya urusi ili wafanye mashambulizi yao kwenye ardhi ya syria. We ita kukubaliana au kuomba ruhusa it sounds the same to me. Km huwezi kufanya jambo lako mpk ufanye kwanza makubaliano na mtu mwingine kuhusu hilo jambo ni sawa na kuomba ruhusa tu.
Kuhusu hiyo ndege km huelewi ngoja nikueleweshe. Pale syria kuna mifumo inalinda anga la syria ya syria na ya urusi. Urusi ni ally wa syria. Ndege za urusi zinaposhuka kwenye base zake huko syria haziofii chochote maana mifumo inayoweza kuzishambulia ndege ni ya ally wao syria na ya kwao wenyewe warusi. Waisrael on the other hand ndege zao pale syria zinakuwa considered km ndege za adui. Ndege zao zilipoingia syria kwenda kushambulia automatically either s400 au s200 ya syria ingekuwa activated kulinda anga dhidi ya ndege za adui. S400 haikuwa activated kufuatia makubaliano ya pm wa israel na raisi wa urusi ila s200 za syria zikawaka.
Ilitakiwa kbl israel hajaenda kushambulia atoe taarifa kwa urusi ili waondoe ndege zao karibu na eneo la tukio na syria walitakiwa wahakikishe hakuna ndege za urusi angani wakati wakijaribu kushusha ndege za adui (israel). Hakuna aliyefanya alichotakiwa kufanya. Israel alichelewa kutoa taarifa kwa urusi kilichopelekea ndege yao kudunguliwa.
Ndege ya urusi ilikuwa ni ndege ya surveillance sio ndege vita (fighter). Ni lzm tu ingekuwa hit kwa sababu haijawa designed kujilinda na mashambulizi ya mifumo ya kulinda anga ya ardhini. Ni ndege tu ya kawaida.
Hawa wajinga kwakuji sifia wapo up sanaaaTukumbushane uteuzi wa waziri mkuu na jinsi ulivyoandikwa magazetini, cha ajabu wote wameondoka kwa kufukuzwa
View attachment 2349104
Gaidi wa Ukraine aongea kwa uchungu kuwa mashambulizi ya Russia yamekuwa makali Sana. Mashambulizi hayo yamepelekea yeye kukatwa mkono. View attachment 2349247
Ikibomoa uje unitag MKUUUkraine ina lengo la kuanza bomoa Kerch bridge
Kwakweli mstaarabu haswaNo Poppy wangu ni mstaarabu mara 10000 ya hawa washenzi imahine nimekaa nae 12yrs sijawahi fagia kinyesi chake tangu nilipo.fundisha sehemu yake maalum ya ku poop[emoji846]
Wazee wa price cap munasalimiwa na boss wenu anayewaweka mjini
Putin : We will not supply anything to anyone: neither gas, nor oil, nor coal - if it is unprofitable for us.
Mmmh!! Mmh!. Basi, basi, basi,yatosha.Kuna watu walilalamika Sana kuwa China ni muoga kashindwa kufanya chochote wakati wa ziara ya pelosi Taiwa,
Ila Kwa ninachokiona sasa kuwa China hakuogopa Ila ulikuwa ni mkakati maalumu wa Putin na Rais wa China
China walitengeneza mazingira Kama wanataka kuivamia Taiwan kijeshi na kuichukua, kitu ambacho marekani akaingia kwenye mtego wa China,
Marekani aliifanyia dharau kubwa Sana China mbele ya macho ya dunia na dunia nzima wanajua kuwa marekani ameifanyia nini uchina
Sasa Kwa hali inavyokwenda naanza kuona picha halisi ya hili tukio, kitendo cha Russia kusema anafunga bomba la gas hadi vikwazo viondolewe ndiyo mwanzo wa picha,
Najua Kwa jinsi walivyo vichwa ngumu west watakomaa kuliko Kula matapishi Yao, kitakacho fata ni wao kutafuta nishati mbadala Kwa kadri ya mahitaji ya nchi zao,
Ila watapata gas Ila tatizo litakuja kwenye gharama itakuwa bei juu kuliko Ile ya urusi
Kipindi hicho urusi inampa uchina gas bei ya chini sasa litakuja suala la kwenye bidhaa,
China na west watazalisha bidhaa zenye quality Sawa Ila kutokana na gharama za uzalishaji ulaya kuwa kubwa kuliko uchina wanapata gas ya bei ya chini na hata labour charge zake ziko chini maana yake China itazalisha bidhaa Bora kabisa kama ulaya Ila bei Yao itakuwa chini
Ukichukulia na mfumuko wa bei, kuyumba Kwa uchumi na ukosefu wa Ajira watu wengi watakumbilia bidhaa za China Kwenye unafuu wa bei, hapa ndipo lile jinamizi ambalo marekani alilokuwa analihisi kuhusu China ataliona live, maana ulaya na USA inaenda kuanguka kiuchumi
Kwenye millitary tunajua mchina hamuwezi mmarekani na pia tumeshasikia mmarekani akisema hataki Vita na urusi maana anajua hamuwezi, sasa kuna Vita nyingine inakuja marekani na uchina Nani mbabe Nani mbabe kwenye uchumi?????
Kumbuka kuna collabo la urusi,China,Irani,Korea na OPEC, huu muungano ni hatari zaidi ya hatari yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ninachofanya Mimi naomba uzima tu ili nione watu wanakula matapishi Yao
Dikiteta anaonja joto ya jiwe [emoji12][emoji12]Kazi inaendelea hukoView attachment 2348881
Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji91][emoji91][emoji91]Siku ya jana tu wanajeshi 450 wa Russia wamekwenda na majiView attachment 2348883
Lazima mtu ashike adabu kwa kipigo hiki,Super power akatoe vijana wake maana wanakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alichukulia uvamizi kama mechi ya kirafiki [emoji848][emoji848]Hawa vijana wanaisha jamani mbona Putin hana huruma na jeshi lake
Nikikuua na kuwalipa wanao fidia kisha nikadunda mtaani nakuwa nimejidharirisha? Ndio maana linchi lenu halina akili linasumbuliwa na watotoSasa hii ya TURKEY mbna case tofauti MKUU jmaa waliingiza ndege vita kwenye taifa la watu ulitegemea nn
Kubwa kwa TURKEY kama wamelipa fidia ndio wamejidhalili
Maana wameingiliwa kwao na bado wanaonekana wamefanya makosa ikabidi walipe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama video hii mateka ni wengi sana wale wabishi wanauliwa yani jamaa atoe jeshi lake atalimalizia hapo
Dikiteta anaipatapata vizuri [emoji41]Mateka wengine ha wa leo hii jamaa huu mziki ni hatari sana COUNTER OFFENSIVE KIBOKO YAO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmh!! Mmh!. Basi, basi, basi,yatosha.Kuna watu walilalamika Sana kuwa China ni muoga kashindwa kufanya chochote wakati wa ziara ya pelosi Taiwa,
Ila Kwa ninachokiona sasa kuwa China hakuogopa Ila ulikuwa ni mkakati maalumu wa Putin na Rais wa China
China walitengeneza mazingira Kama wanataka kuivamia Taiwan kijeshi na kuichukua, kitu ambacho marekani akaingia kwenye mtego wa China,
Marekani aliifanyia dharau kubwa Sana China mbele ya macho ya dunia na dunia nzima wanajua kuwa marekani ameifanyia nini uchina
Sasa Kwa hali inavyokwenda naanza kuona picha halisi ya hili tukio, kitendo cha Russia kusema anafunga bomba la gas hadi vikwazo viondolewe ndiyo mwanzo wa picha,
Najua Kwa jinsi walivyo vichwa ngumu west watakomaa kuliko Kula matapishi Yao, kitakacho fata ni wao kutafuta nishati mbadala Kwa kadri ya mahitaji ya nchi zao,
Ila watapata gas Ila tatizo litakuja kwenye gharama itakuwa bei juu kuliko Ile ya urusi
Kipindi hicho urusi inampa uchina gas bei ya chini sasa litakuja suala la kwenye bidhaa,
China na west watazalisha bidhaa zenye quality Sawa Ila kutokana na gharama za uzalishaji ulaya kuwa kubwa kuliko uchina wanapata gas ya bei ya chini na hata labour charge zake ziko chini maana yake China itazalisha bidhaa Bora kabisa kama ulaya Ila bei Yao itakuwa chini
Ukichukulia na mfumuko wa bei, kuyumba Kwa uchumi na ukosefu wa Ajira watu wengi watakumbilia bidhaa za China Kwenye unafuu wa bei, hapa ndipo lile jinamizi ambalo marekani alilokuwa analihisi kuhusu China ataliona live, maana ulaya na USA inaenda kuanguka kiuchumi
Kwenye millitary tunajua mchina hamuwezi mmarekani na pia tumeshasikia mmarekani akisema hataki Vita na urusi maana anajua hamuwezi, sasa kuna Vita nyingine inakuja marekani na uchina Nani mbabe Nani mbabe kwenye uchumi?????
Kumbuka kuna collabo la urusi,China,Irani,Korea na OPEC, huu muungano ni hatari zaidi ya hatari yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ninachofanya Mimi naomba uzima tu ili nione watu wanakula matapishi Yao
Kama nawaona warusi wa buza wanavyopata uchungu sana moyoni kwa kipigo hiki [emoji848]Tazama video mpaka mwisho silaha tulizokamata baada ya warusi kukimbia maeneo wengine tumeua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]