Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umenifuraisha ulipotumia maneno kama tukimbie, Sisi Yan ni kama na wewe upo vitani kumbe bongo hapahapa
 
NWO ni nini?
Sehemu gani duniani wameshikwa mateka na hili genge la NWO?
Hasara za NWO ni zipi?
Watu wanaingia vipi katika NWO?
Russia na China wanazuia vipi sehemu nyingine za duniani kuingizwa kwenye hili "genge" la NWO?
 
Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.

Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.

Ni mimi muhanga wa TOZO.
 
Mtego waliyowekewa Ukraine ni wahatari wanajisifu wanakamata maeneo kumbe wanasubiriwa wajae wazingukwe na wauwawe au wajisalimishe Russia sio watu wazuri dah acha tuandae popcorn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2351708
Hahahaha nyie si ndo mlikua mnakesha humu mnasema Ukraine hawezi kukomboa hata mtaa Leo mnasema mtego!!!!

Mtego gani huo wanajeshi wanadakwa pamoja na vifaa vyao kutekwa. Kupitia hii counter offensive Ukraine amejipatia masilaha ya Bure kibao baada ya wanajeshi wa Urusi kukimbia na kuacha zana zao kuanzia air defenses,mizinga,maroketi,mabomu,nk.

Kweli comedian kiboko
 
Hahaha huo ndo ukweli mkuu.anavyo bumbuluka na kuanza kukaza kaskazini jamaa ndo wanaanza kherson sasView attachment 2351775
 
Tumia Google translate.hapo chini ni summary ya kilicho andikwa kwenye barua
 
Mamæ linakufa jitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…