Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya mchambuzi wa zamu 🤣🤣🤣
 
Dawa ya mjinga ni wa kuwapuuza, achana nao hao Mkuu wasikupotezee muda.
 
Unaweza kutusaidia mchango wa Rusia KIELIMU KATIKA AFRICA. Kwa msingi wa kwamba siraha ya kwanza ya kukabiliana na nia ovu za wazungu ni kupata ukombozi wa kifikra?

Mkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.

Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.

Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.

Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
 
The Ukrainian telegram channel ZeRada writes:
At the moment, the situation in Kupyansk looks like this.

After two unsuccessful assaults using tanks, the Armed Forces of Ukraine began shelling the bridge across the Oskol River.

Most likely, intelligence has information that motorized columns of the RF Armed Forces are on the way, and the bridge must be destroyed so that the Russian tanks would not enter the city.

The idea of forcing Oskol and advancing further by the Armed Forces of Ukraine was abandoned
 
Kwani mkuu wewe mbwembwe za s300 na s400 bado unazisikia?
 

The operational situation on September 9, according to the French Ministry of Defense:

Northern Front - counteroffensive of the Armed Forces of Ukraine in the Kharkiv region

Eastern Front - the situation is relatively stable. Russian troops are concentrating their efforts in the area of Bakhmut and Donetsk

Southern Front - the continuation of the Ukrainian attack on Kherson.
Armed Forces remain active in this area
The IAEA maintains its presence at the Zaporozhye NPP122:41
 
Miji inazidi kukombolewa aisee bendera zinapandishwa hii counter offensive ni hatari kwa mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaupiga mwingi saaana mkuu
 

Ukrainian soldiers and the flag of the Syrian opposition
 

Hata ukipitia report hii inaonyesha wazi wazi kwamba waleta taarifa wako well organised na ni ma-professionals unlike Zelensky's Dad's Army wanao tuletea highly sensational news about Ukranian war - ajabu sana, niliwahi kuona picha za HIMARS system zikionyesha zina fyatua roketis za kwenda kushambulia Russian ammunition dump, kumbe picha hizo hazina uhusiano wowote na vita ya Ukraine, ilipigwa wakati wa mazoezi ya kijeshi Nchini Morocco - just imagine!! Wakaleta video clip nyingine eti ikionyesha HIMARS roketis zikifyatuliwa kwenda kuvunja madaraja yanayo pitisha zana za kivita za Urusi, kumbe video clip yenyewe ilipigwa kwenye majaribio ya silaha kwenye jimbo la Nevada nchini Merikani na sio Ukraine - you can imagine jinsi jeshi la Zelensky na wafadhila wao/USA wanavyo weza ku-manipulate habari za uongo na uzushi na kuzifanya zionekane ni za kweli kwamba jeshi la Urusi linapata cha MOTO, watashindwa vita next week !!!Uzuri sisi tumekwisha wajulia hulka zao hivyo hiyo haitupi shida hata kidogo, tunawachukulia kama walivyo, cha muhimu ni kwamba time will tell eventually - come December tutashuhudia mengi.
 
Niliwaambia Kharkiv ni mdomoni mwa Russia . Ukraine kapishwa ajae
 
Habari njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…