Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita alivyotegemea Russia ni saa 72

Hivi vita vinamtindua Malinda Russia vibaya sana

Ndio maana Georgia wanapiga jalamba kurudisha majimbo Yao waliyopoteza

Washausoma mchezo kwamba urusi Hana Tena Malinda ..,yanamtoka tu,
Dikiteta Putin alicalculate vibaya sana hii mnayoiita special military operation [emoji848]

Kibaya zaidi mikwara yake yote inapuuzwa tu
Wajanja wanamsubiri ajichanganye wamkaange mazima[emoji2]
 
Mwenzako Rais wa Iran Leo ameomba vikwazo dhidi yake viwe lifted ili arudi kwenye meza ya mazungumzo halafu ww unaongea ugoro[emoji38]
 
Wazungu wa Magharibi na Marekani hawawezi kujali sana au kurudishwa nyuma na effects za kiuchumi wanapotetea uhuru wa mzungu mwenzao. Wazungu wanyime vyote lakini siyo UHURU, hayo masuala ya gas/mafuta yapo ndani ya uwezo wao kabisa. Halafu watu hapa wanasahu kuwa nchi za magharibi wana option kadhaa ambazo wakitingwa sana wanaweza kuapply. Wazungu siyo punguani wamwache tu Mrusi awachape ndugu zao anavyotaka kisa tu ana potential resources.
 
Kweli kabisa, wazungu wako makini katika kusimamia wanachokiamini,
 
Mkuu, tangu miaka 70 kusudi la silaha hizo ni kutisha. Kama huna lakini adui yako anazo, umeshashindwa tayari kabla ya vita. (hii ni kweli kwa vita ya kawaida, ni tofauti katika vita kama Afghanistan..).
Silaha za nyuklia zinatengenzwa kama silaha za kijeshi lakini hali halisi ni silaha za kisiasa. Hapo ndipo sababu hazikutumiwa bado tangu 1945.
Hatari ya matumizi ni kubwa mno maana ukianza kwa bomu ndogo adui atajibu angalau kwa bomu ndogo. Utajibu tena?
Kwa sababu hakuna anayejua jinsi gani ya kutoka hapo, silaha hizi zimeendelea kama silaha za kisiasa, si za kijeshi.
 
Una Ushahidi wa madai yako!?
Unauliza kuhusu Iran, hujui kutafuta mwenyewe. Basi angalau usome mwenyewe, mfano taarifa rasmi ya Umoja wa Mataifa Presentation of the Secretary-General’s report on the situation of human rights in the Islamic Republic of Iran

"The death penalty continues to be imposed on the basis of charges not amounting to “most serious crimes” and in ways incompatible with fair trial standards. While 260 individuals were executed in 2020, at least 310 individuals were executed in 2021, including at least 14 women. This trend continued: between 1 January and 20 March 2022, at least 105 people were executed, many of whom belonging to minority groups."
"Excessive use of force constitutes the default response by the authorities to managing assemblies. Protests in Khuzestan in July 2021 and in Isfahan in November 2021 related to the water crisis were met with lethal force, with a number of individuals injured and at least five killed, including a minor. In May of this year, excessive force was used against protesters including in Khuzestan and Chaharmahal and Bakhtiari Provinces, following cuts in food subsidies. At least five people were confirmed killed as a result of direct firing by security forces. State responses to protests is often accompanied by State imposed internet disruptions, making access to information challenging."

" Civic and democratic space continued to be restricted with human rights defenders and civil society actors operating within a coercive environment where violations are committed with impunity.


In April and May of 2022, at least 55 individuals - teachers, lawyers, labour rights defenders, artists and academics were arrested during protests, many of whom are facing national security charges."


TAARIFA YA HRW:
"Iranian law denies freedom of religion to Baha’is and discriminates against them. Authorities continue to arrest and prosecute members of the Baha’i faith on vague national security charges and to close businesses owned by them. Iranian authorities also systematically refuse to allow Baha’is to register at public universities because of their faith.
The government also discriminates against other religious minorities, including Sunni Muslims, and restricts cultural and political activities among the country’s Azeri, Kurdish, Arab, and Baluch ethnic minorities. Minority activists are regularly arrested and prosecuted on vaguely defined national security charges in trials that grossly fall short of international standards."

"On June 30, a court in Bushehr convicted seven Christians who converted from Islam on the charge of propaganda against the state. According to the rights group Hrana, the charge stemmed from activities such as organizing “house churches” and being in contact with missionaries outside the country."

 
Najua kwamba zinatumika for deterence mkuu,lakini under extreme pressure,zinaweza kutumika as a first complete annihilation strike to an adversary as a tool of last resort.Tuliona kule Japan mkuu zikitumika,so tusiwe na any illusions,Russia can use them,hasa ikiona imebanwa sana and it is in the verge of being completely destroyed by the US and NATO.
 
wakati mchina na mmarekan wakipambana kuhusu semiconductors za sillicon, mjapan yy ameshamaliza tafiti kuhusu tech mpya kabisa inayotumia gallium oxide badala ya sillicon,sasa anajiandaa kuingia kwe production...anarejea kwe game kibabe baada ya kuzidiwa kete na mholanzi but this time yeye yuko ahead of everyone kwe game tena by miles
 
Mathanzua tena! Hajaelewa bado kwamba hakuna kitu kama "first complete annihilation strike". - Historia hajui, kule Japani 1945 haikuwa uangamizi kamili. Marekani waliangamiza mioji miwili na kutisha wanaweza kuendelea (ingawa walikuwa na mabomu 2 pekee). Uharibifu pamoja na tishio vilitosha kwa kubadilisha roho ya Japani wakasalimisha amri.
Putin anajua kama angeanza, roketi kwenye nyambizi pekee zinatosha kumaliza miji yote mikubwa ya Urusi. Halafu roketi zilizo tayari katika vituo vingi chini ya ardhi huko Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…