Ni kweli akili ninazo, na Jambo ili la kuwa na akili nalifahamu vizuri .
Je, kwani sio kweli Marekani inalazimisha Mambo ya ushoga?
Ngoja nikutafutie maana Nilisikia mwenyewe Aljazeera!Vikwazo gani tena Mkuu (maana EU mpk sasa wana package 6 za vikwazo dhidi ya Russia) kama Una link iweke nipitie
Nashukuru umekubali kwamba inawezekana.Mkuu Vinu hivyo vimekaa muda mrefu,sio kama generator ya kufanyika service mwezi mmoja tayari inakuwa hewani!Lazima vipitie series of tests maana hiyo ni nuclear!Lazima wacheki leakage na kama vimeshalika na kutu Ili visilete disaster!Bado kuanza kuzalisha control rods!
Zoezi hilo linachukua muda!Lakini pia hata ikiwezekana ni gharama kuliko gas hivyo inflation juu!Mbebaji wa hizo gharama ni mwananchi!
Tuvute subira tuone!
Na huwa inachukua 5 to 7 yrs kutengeneza Nuclear Reactor kwa mujibu wa NEA (Nuclear Energy Agency).Kuna nchi zilikuwa na Nyuklia power plant,baadae zikafunga!Kama France,ikazifunga!Kuzifungua ni shughuli ya miaka!
Au unataka turudi zama za nyuma zaidi za Kuni?
Yaani mfano Pale Roma,watu waanze kupambana kutafuta Kuni!!!Halafu pia Kwa Sasa tech ipo juu,mambo mengi ni gas!Na inapokosena hasa winter hii basi gharama ndio zinaenda ku sky rocket!
Thanx Kwa kuchukua muda kutulisha madini haya!Na huwa inachukua 5 to 7 yrs kutengeneza Nuclear Reactor kwa mujibu wa NEA (Nuclear Energy Agency).
Pili a word "Nuclear" is just a title, Uranium hiyo inayohitajika wanaitoa Russia, 20% ya Uranium wanayo imports EU wanatoa huko Urusi.
Hapa nakukumbusha hiyo Imports haijapigwa msasa wa demand. Je ikitokea ikawa driven na demand kwa matumizi hayo, Uranium wataitoa wapi?
Ok wana zile Green Energy Initiatives zao ambazo zina oppose Nuclear kama chanzo cha nishati ya umeme. Sababu wakizitaja kama hizi:- Nuclear waste, Nuclear proliferation, National security, Accidents & Cancer risk, kibaya zaidi Cost ake ni kubwa.
Je hapo watakula matapishi yao 😂 maana uku TZ na UG thousands miles kutoka kwao wanaona mradi wetu unawaharibia mazingira. Wameupiga stop 😊
Kwa kusherehesha hapo kwenye National Security wana wasiwasi inaweza kua target ya terrorism mithili kama Ukraine ambavyo wanafanya pale ZNPP. Strike moja tu mwanana inaangamiza kila kinachozunguka eneo hilo.
Ukirejea nyuma hadi hivi sasa kuna kama vinu 444 hivi ambavyo vinatoa about 11% ya world energy. Study zinaonesha ili ku'meet current and future demand ya energy zinahitajika plants up to 14,500.
Hiyo number ni too large na haiwezekani kwasababu hakuna maeneo feasible kuweka plants hizo. Nuclear plants zinahitaji kua karibu na vyanzo vya maji (hapa hasa tunaongelea vyanzo vya maji for cooling).
Zaidi ni kua hakuna enough locations ambazo ziko safe from droughts, flooding, hurricanes, earthquakes, au potential disasters zingine ambazo zinaweza ku- trigger a nuclear accident.
Even though yote hayo yatawezekana, bado tunarudi pale pale kama tuliposema awali. Fuel ya Nuclear reactors ni Uranium, One fifth ya EU's Uranium Imports inatoka Russia kama inavyojionesha below. Je huo mbadala wa chap watautoa wapi?
View attachment 2359326
Asian countries kuongeza manunuzi ya Gas and Oil kutoka Urusi ambayo EU wanajitia kidole kuisusa ili kumfurahisha bwana wao sio wajinga au hawazioni hizo Options.
Tatizo tuna elim ndogo ya vile tunavyokesha tukivibwabwaja hapa. Yan kupunguza maelezo ni kua sisi wachangiaji tumekaa kisiasa zaidi, hakuna technicality yoyote ya hoja zetu.
#WinterIsComing
Na huwa inachukua 5 to 7 yrs kutengeneza Nuclear Reactor kwa mujibu wa NEA (Nuclear Energy Agency).
Pili a word "Nuclear" is just a title, Uranium hiyo inayohitajika wanaitoa Russia, 20% ya Uranium wanayo imports EU wanatoa huko Urusi.
Hapa nakukumbusha hiyo Imports haijapigwa msasa wa demand. Je ikitokea ikawa driven na demand kwa matumizi hayo, Uranium wataitoa wapi?
Ok wana zile Green Energy Initiatives zao ambazo zina oppose Nuclear kama chanzo cha nishati ya umeme. Sababu wakizitaja kama hizi:- Nuclear waste, Nuclear proliferation, National security, Accidents & Cancer risk, kibaya zaidi Cost ake ni kubwa.
Je hapo watakula matapishi yao [emoji23] maana uku TZ na UG thousands miles kutoka kwao wanaona mradi wetu unawaharibia mazingira. Wameupiga stop [emoji4]
Kwa kusherehesha hapo kwenye National Security wana wasiwasi inaweza kua target ya terrorism mithili kama Ukraine ambavyo wanafanya pale ZNPP. Strike moja tu mwanana inaangamiza kila kinachozunguka eneo hilo.
Ukirejea nyuma hadi hivi sasa kuna kama vinu 444 hivi ambavyo vinatoa about 11% ya world energy. Study zinaonesha ili ku'meet current and future demand ya energy zinahitajika plants up to 14,500.
Hiyo number ni too large na haiwezekani kwasababu hakuna maeneo feasible kuweka plants hizo. Nuclear plants zinahitaji kua karibu na vyanzo vya maji (hapa hasa tunaongelea vyanzo vya maji for cooling).
Zaidi ni kua hakuna enough locations ambazo ziko safe from droughts, flooding, hurricanes, earthquakes, au potential disasters zingine ambazo zinaweza ku- trigger a nuclear accident.
Even though yote hayo yatawezekana, bado tunarudi pale pale kama tuliposema awali. Fuel ya Nuclear reactors ni Uranium, One fifth ya EU's Uranium Imports inatoka Russia kama inavyojionesha below. Je huo mbadala wa chap watautoa wapi?
View attachment 2359326
Asian countries kuongeza manunuzi ya Gas and Oil kutoka Urusi ambayo EU wanajitia kidole kuisusa ili kumfurahisha bwana wao sio wajinga au hawazioni hizo Options.
Tatizo tuna elim ndogo ya vile tunavyokesha tukivibwabwaja hapa. Yan kupunguza maelezo ni kua sisi wachangiaji tumekaa kisiasa zaidi, hakuna technicality yoyote ya hoja zetu.
#WinterIsComing
Hivyo vinu vinaweza kufufuliwa Mkuu kama vilikua havijabomolewa. Hata Elon musk aliwashauri EU warudishe vinu vya nyuklia waachane na mambo Yao ya net-zero Kwa sasa
Elon Musk has called for a boost in Europe's nuclear-energy output amid fears of a gas shortage on the back of Russia's invasion of Ukraine.
Musk tweeted on Sunday evening that it's "extremely obvious" that Europe should restart dormant nuclear power plants and boost the output of those that are operational.
"This is critical to national and international security," wrote the CEO of Tesla. Tesla runs a clean energy business alongside its electric vehicle unit.
Elon Musk says Europe should restart its dormant nuclear power stations amid fears the Russian invasion of Ukraine will trigger a gas-supply shortage
Hivi huko nyuma waliishije? Kwamba wamekuwa wakitegemea gesi ya Russia kutoka karne na karne? Acheni kupangia watu maisha yao,wamefanya maamuzi hayo wakijua kabisa kuna Winter itakuja,ni mazingira waliozaliwa nayo.Yani tulioko huku Bongo kwenye joto kali tunawafundisha waliozaliwa kwenye baridi jinsi ya kusurvive [emoji848]Humjui Putin,alikuwa anasubiri winter,aminye Nord stream 1,halafu awaambie kama mnataka gas,ni ninyi wenyewe kuchagua!
Na hapo Bado Wana vi akiba,subiri mzigo uanze kukata!Wataonza kupigana vikumbo,nani amsikilize Marekani wakati Kwake hali mbaya!Wakikaa vibaya maandamano!
Kama Italy ndio hawataki kabisa serikali Yao kujihusisha na sanctions dhidi ya Russia ila serikali imekomaa,winter ikikaza wanaingia Barabarani!
Winter hii inaenda kuangauka na serikali kadhaa huko Ulaya!
Ungekuwa umepitia Uzi,Hilo limeshasemwa!Ni hivi,Kwa Italy wananchi hawataki kabisa habari za sanctions dhidi ya Russia!Jana nilikuwa naangalia wanavyohojiwa,Kuna jamaa mmoja akasema biashara ya mgahawa alianzisha babu yake miaka ya 1950, akasema biashara hiyo haijawahi kufungwa ila Kwa hali iivyo ya gharama ya umeme basi anaelekea kufunga!Akailaumu serikali yake Kwa kuiingiza nchi kwenye vita isiyowahusu!Katika wote waliohojiwa hakuna anayeunga mkono uamuzi wa serikali!Na hapo winter ndio inanyemelea,it means cost zitaenda juu zaidi!Hivi huko nyuma waliishije? Kwamba wamekuwa wakitegemea gesi ya Russia kutoka karne na karne? Acheni kupangia watu maisha yao,wamefanya maamuzi hayo wakijua kabisa kuna Winter itakuja,ni mazingira waliozaliwa nayo.Yani tulioko huku Bongo kwenye joto kali tunawafundisha waliozaliwa kwenye baridi jinsi ya kusurvive [emoji848]
Burkina FasoHata wakirudisha vinu vya nyuklia reactors watatolea wapi???
😂😂 Putin kafanya watu kuwa mazombi.Hivi huko nyuma waliishije? Kwamba wamekuwa wakitegemea gesi ya Russia kutoka karne na karne? Acheni kupangia watu maisha yao,wamefanya maamuzi hayo wakijua kabisa kuna Winter itakuja,ni mazingira waliozaliwa nayo.Yani tulioko huku Bongo kwenye joto kali tunawafundisha waliozaliwa kwenye baridi jinsi ya kusurvive [emoji848]
Burkina Faso
Acha uwongo mtu mzimaTanzania pekee tunatumia tani zaidi ya hizo ambazo Urusi anataka kugawa kwa nchi zinazoendelea. Hilo ni Sawa na tone kwenye Bahari. Ukigawa hizo tani kwa nchi 54 za Afrika kila nchi itapata tani 5600 ambazo zinatosha kwenye plantation za bakhresa au Mo peke yake.
Magharibi wanatusaidia kwenye Afya,miundombinu,nk. Mfano mzuri Kijazi interchange ni msaada wa Japan,New salender bridge ni fedha za Korea kusini. Bado hatujagusa kwenye Afya na Elimu ambapo Marekani na Uingereza wanatoa misaada mikubwa Sana. Budget ya Afya Tu Marekani anachangia zaidi ya Nusu,hiyo Urusi anachangia kiasi gani zaidi ya kutuuzia masilaha tu?!