Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuliaam sindano ipenye we buda
 
Afu Bado kuna makolo humu yanachekelea EU na Mabwana zao US
 
Acha porojo, lete ushahidi wa kiongozi mkuu wa iran kuiba uchaguzi
 
Biden amwonya Putin juu ya kutumia nyuklia
Mr Biden was then asked what the consequences would be for Mr Putin if such a line was crossed.

"You think I would tell you if I knew exactly what it would be? Of course, I'm not gonna tell you. It'll be consequential," Mr Biden responded.

"They'll become more of a pariah in the world than they ever have been. And depending on the extent of what they do will determine what response would occur.
Cnn
 
Putin genius!! Hakika aliandaa tego kigenius alianza vita kwenye februari ili asubiri winter ijayo.
Kwa bahati mbaya aliwapa hao wa Ulaya muda kutafuta vyanzo vingine.
Kwa bahati mbaya si vile kwamba "bado Wana viakiba", hao watu wabaya walimpuuza genius na kuongeza akiba.
Tutaona! Kama winter inataka kumsaidia Putin itakuwa kali zaidi, hapa gesi itakuwa haba. Kama winter ni ya kawaida, watapita tu.
 

Biden ni moja ya viongozi dhaifu na waoga.View attachment 2359553
 
Acha porojo, lete ushahidi wa kiongozi mkuu wa iran kuiba uchaguzi
Porojo gani? Uliuliza kuhusu udikteta, nimelta ushahidi. Cjui wewe mtu wa aina gani, ila kama u Mwislamu Sunni usingefurahia kuishi chini ya dikteta huyu, ukiwa Mkriso usingefurahia, ukiwa Atheisti usinge furahi hata kidogo, ukiwa Mshia mwelekeo wa Khoja usingefurahi - - -
Kuiba uchaguzi ana mbinu mzuri: anamkagua kila mgombea. Anamzuia yeyote ambaye hampendi. Mfano mdogo: Disqualification of Iran's presidential contenders sparks debate
Katika uchaguzi wa rais ni watu zaidi ya 500 waliojaza fomu ya kugombea. Aliteua 7 aliokubali. Katika kura ya Wabunge na halmashauri za miji idadi ya waliokataliwa ni kubwa zaidi. Iran disqualifies thousands from running for parliament

"Iran disqualifies thousands from running for parliament"​

Kama mbinu huo hautoshi, mfano kama mgombea aliyekubaliwa anaanza kusema kisichopendwa, anazidi kugushi. Ona mfano uchaguzi mwaka 2009. Mgombea wa mwaka ule Bwana Mousavi alifungwa ndani, hadi leo haruhusiwi kutoka katika nyumba yake. Milioni walipinga matokeo yaliyotangazwa wakapigwa wengi kuuawa.
 

Na yule bibi aliyekufa UK unamweka kundi gani??
 
I dont understand this logic, its okay for kremlin to use long range, various weapons againsts ukraine. But its not okay for ukraine to use same kind of weapon from NATO to deffend themselves.
I mean who cares what are those weapons from?

ukraine was supposed to play sitting ducks, while russians suppose roll over them without any resistance?
 
Biden ni moja ya viongozi dhaifu na waoga.View attachment 2359553
Kweli mdhaifu! Anatuma tu Himars na picha za satelaiti kuhusu jeshi la Kirusi - akiamini hatua hizo dhaifu zinatosha kumfukuza genius Putin! Bila shaka ungefurahi kama Biden angekuwa dume kabisa na kutuma wanajeshi??
Basi anaonyesha udhaifu!!! (au labda ni hekima fulani??)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…