Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

To summarize:

1. The Russian army will receive an average of about 2,000 volunteers from the region.

2. 300 thousand mobilized.

3. A certain number of foreign volunteers who will receive Russian citizenship after a year of service in the Russian army.

4. A certain number of volunteers from among the prisoners.

In total, the Russian army will receive from 500 to 600 thousand people. This means that on the front it will increase by 3 times and not only compensate for the current double advantage against the Ukrainian army, but it will be almost twice as large.

This will allow the Russian army to launch an offensive quickly and end the war more quickly.

Also, the entire Russian army, which from the beginning has been spec. military operations remaining on the borders of the Russian Federation will be moved to the new borders, that is, the borders of the Novorossiv Oblast.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.

Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.

Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.

Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.

Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
 
Hivi unaakili kweli?habari kama hiyo source sky news?
Wewe mrusi wa Buza source nyingine hii hapa:
Masalkheir, natumai umekuwa na siku yenye utulivu. Muda mfupi ujao, Dunia Yetu Leo Jioni itakuwa hewani na haya ndio yaliyomo:

🇷🇺Idadi kubwa ya raia wa Urusi wamekimbia kukata tiketi za kuondoka nchini humo leo baada ya rais Vladmir Putin kutangaza amri ya kutayarisha wanajeshi wa akiba kwa ajili ya vita nchini Ukraine.

🇷🇺Katibu mkuu wa jumuiya ya NATO amesema hatua ya Putin inachochea zaidi mzozo huo huku afisa wa juu nchini Marekani akisema Washington inachukulia kwa uzito kitisho cha Putin kuhusu matumizi ya nyuklia.

Source😀w
Sikiliza Dw kiswahili saa 12 jioni!
 
Watarejea when reallty prevails, but at a cost
 
1.Donbass na maeneo mengine ambayo hayakuwa kwenye mpango huo yatahamia Russia

2. Ukraine haijaingia NATO
3. Denazification imefikia asilimia 65% kukamilisha baada ya kukata kichwa cha Nazis walizokuwa AZov na kwenye mahandaki huko Mariopol.
4.Demilitarization hiyo imefanikiwa kwa asilimia 80. Kwa Sasa Russia ana demilitarize EU kwa kuunguza silaha wanazopeleka Ukraine . Si ulisikia EU wakilalamika kuwa stock Yao ya silaha inapungua na kasi ya kurudishwa silaha hizo ni Karibu na sifuri?

Leta hoja nyingine hapa ifanyiwe kazi.
 
ondoa Nuke out of the equation, haitakuja kutumika na yeyote, labda tactical nuke,......

pia hilo neno mashoga limefanya mchango wako uonekane wa kitoto, umeongea mambo ya msingi sana tho!
Inaelekea wewe Ndugu ni mtu makini kwenye mijadala tofauti na. Wengi kwenye kambi yako....lakini hata tactical nuclear pia ni nuclear hata Kama matumizi yake ni kwenye battle field zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…