Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kama warusi wangekua wanaondoka kama tunavyoambiwa na hizo media kwasasa RUSSIA ingekua imeindokewa na watu wengi sana MKUUWarusi hawataki kufa kwa upuuzi wa Mzee mmoja anayekaribia kufa[emoji23][emoji23][emoji23]
Trending in RU Google
How to leave Russia?
How to leave Russia during mobilization?
How to leave the country?
How to leave the country without any money?
Hatatumia NukeSwali ambalo najiuliza,akishaleta na hao 300k wa ziada wakichapwa atakuja na kisingizio gani?!
Huyu Babu anaweza rusha nukes akatuletea balaa kwa upuuzi wake
@Pietro unaona watu wanavyopigana kwa mahesabu MKUU[emoji635] What will Russia get after the referendum?
[emoji3503]Russia will add 5 to 6 million new citizens.
[emoji3503]In the future, when refugees begin to return, the total population of the new regions may grow to 8-9 million people.
The area of the liberated territories where the referendums will be held is about 113,000 square kilometers.
[emoji3503]In terms of area, this is larger than Bulgaria, Cuba or South Korea.
[emoji3503]The population is larger than Belgium, Belarus, Israel or Austria.
Pro Russia nimewablock wote, hivyo msihangaike quote
Mkuu jiangalie kwenye kioo tafadhaliPro Russia nimewablock wote, hivyo msihangaike quote
Ngojea nisubirie huo muitikio hapo kesho tuone itakuaje[emoji298][emoji298][emoji298]Sergey Markov: All mobilization agendas have already been delivered to all 300,000 today. They must report to military registration and enlistment offices tomorrow morning from 5:00 to 7:00 a.m[emoji298][emoji298][emoji298]
[emoji119][emoji119][emoji119]Putin anajua west wanavyopenda kuishi na wasivyopenda miji yao kuaribiwa ndio mahana anasema nuclera weapons ziko tayari apo hakuna NATO wala EU watakao tia mguu ukraine tena ndio bye bye iyo imetoka
Unaongozwa sana na mihemko MKUU hakuna sehem watu wametaka kuongozwa na RUSSIA ama UCHINAKama unasubiri new world order itakayoongozwa na Russia utasubiri Sana Kaka mpaka vitukuu vyako hawataiona. Kama alishindwa wakati wa USSR iliyokua na nguvu zaidi ndo ataweza kwa hii Russia ya Leo dhaifu!?. New order haiandikwi Kwa wingi wa silaha,Bali Uchumi na influence na kwenye hilo Russia kafeli atabaki kua chawa China,huoni hivi sasa mpaka majirani zake wanamkimbia Mfano mzuri ni Kazakhstan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Biden is Yelling
View attachment 2363840
"You cannot seize a nation's territory by force,"
Biden at UN General Assembly
Yes, you read that right...
Kabla hajaniblock, mimi nilishamuwahi kabla hajajipa jina la HIMARSNa mimi ni Pro Russia, naomba ni block mkuu
Pole MKUUPutin alikuwa ni Jasusi wa KGB na sio mwanajeshi.Waliotakiwa kupanga mikakati ya kivita ni majenerali wake na sio yeye.Yeye amekuwa mtu wa kulazimisha mambo na sio kufuata ushauri wa wanajeshi.Matokeo yake imetokea wanajeshi wake wengi kufa wakiwemo na hao majenerali.Hata hili la kuita reservists nalo atapigwa za uso[emoji848]
Kuongezea baada ya referundum ukivamia hiyo miji utakuwa umeivamia Russia hapi ndio ukraine na western wamepagawa.Kama warusi wangekua wanaondoka kama tunavyoambiwa na hizo media kwasasa RUSSIA ingekua imeindokewa na watu wengi sana MKUU
Kama unakumbuka MSM wakat wa SVO inaanza walisema wananchi wanaikimbia RUSSIA ila baada ya muda wakawa kimya namaisha yaka na yanaendelea
Pia baada ya referandum na wakati wa hii SVO inaendelea RUSSIA itakua ama ishakua na rasilimali watu zakutosha tokea UKRAINE
Acc na MSM walitangaza kwamba watu 2.5 wameingia RUSSIA kama wakimbizi wakitokea UKRAINE
Sasa naomba tu upige hesabu za watu walioikimbia RUSSIA wakat wa SVO inaendelea na waliikufa kwenye mapigano tuseme 200k kama mnavyosema na hawa waliokimbia leo je wanafikia watu 2.5 ambao RUSSIA imewavuna kutokea huko UKRAINE ambao watareplace nafas zahao walio kimbia nchi kama mnavyosema
Mwisho:-RUSSIA hakukurupuka na hii SVO alijipanga na alipiga mahesabu mengi sana MKUU tena kama haya yahao watu kukimbia mahesabu mepesi sana hata wewe ukiacha mahaba ukaongea fact unaweza kuyapiga MKUU
Acha tuupe muda nafas yake walau mpaka referandum ipite hem
Sent using Jamii Forums mobile app