😄😄 hii OP imefanya tuzijue vzr akili za wazungu,hakika wale Ni vichaa waliochangamka tuNililuwa na mpango wa kwenda kuishi U. K ila kwa akili za wazungu ambavyo wamezionesha acha niendelee kuishi huku huku madongo kuinama hawana akili kuku hao
Unawaitaje ni wa-ukraine wkt tayari wameshajiunga na Russia?Nawaza tu Russia akishayatambua maeneo aliyotwaa kwamba ni sehem ya Nchi yake........ ivi si mobilization si itawahusu Raia wa hayo maeneo? Yaan wa Ukraine watalazimika kupigana dhidi ya wa ukraine wenzao, hii episode naisubiri sana nione itakuaje
😃😃 Wapumbavu wameshikwa akili, wana ua uchumi wa nchi yao wanateseka.. Hamna kitu wale nilikuwa nawaona wana maana kumbe taka taka, wazungu wenye akili na Russia, hao wa Ukraine toka wameuza nao akili zao wamekuwa upinde wa mvua😄😄 hii OP imefanya tuzijue vzr akili za wazungu,hakika wale Ni vichaa waliochangamka tu
Wale ni Russian, hata lugha yao ndio maana wa Ukrainian walikuwa kama wana watenga flaniUnawaitaje ni wa-ukraine wkt tayari wameshajiunga na Russia?
😄😄😄 Nimeona Kuna sehemu wazungu wameambiwa waanze kujisaidia kwny mifuko mkuu,mambo yashakua Ni magumu.😃😃 Wapumbavu wameshikwa akili, wana ua uchumi wa nchi yao wanateseka.. Hamna kitu wale nilikuwa nawaona wana maana kumbe taka taka, wazungu wenye akili na Russia, hao wa Ukraine toka wameuza nao akili zao wamekuwa upinde wa mvua
Ni kweli mkuu,na Wala hawajawahi kujiona Kama niwa-ukraine na Serikali ya Ukraine imeanza kuwaua tangu 2014 huko.Wale ni Russian, hata lugha yao ndio maana wa Ukrainian walikuwa kama wana watenga flani
Putin siyo mhuni na hawezi na Wala hatakuwa mhuni...Putin ni hero...Putin ni shujaa...Putin ni tough...Putin ni Patriot ...ni mzalendo...ameamua kupambana na wahuni na washenzi wa West kwa Maana ya USA na mbwa Koko wengine wote wa west na mabeberu wote.....Putin ni mwamba na mwokozi ....ni kiboko Cha mabeberu....WEST waliandaa kuiangamiza Russia kwa kutumia Ukraine lakini akawawahi na ndiyo maana wanapiga kelele.Mfumo wa panya road na putin ni ule ule utofauti unakuja kwenye vitendea kazi. Panya road wanakupora simu/mkoba wanakutishia nyembe, visu na bisibisi
Mimi sijasema nazuia anachofanya Putin, nimesema:, Putin ni muhuni kama walivyo panya road wanapora watu Mari zao na kuwatishia vitu vyenye ncha kali. Huu ni uhuni wa kishamba sana.
Yeye aendelee kufanya anachokifanya ila ni muhuni tu, hana tofauti na kibaka.
Then, Himars zinasubiri kumpunguzia homeless ma- jobless mtaani mtaani.
Wameshindwa wanajeshi wenye mafunzo, homeless na Cocainers wasio na ajira ndiyo waweze mziki wa Ukraine?. 😅
ni swala la muda tubila counteroffensive sasa hivi wananchi wa kharkhiv wangekua wanapigishwa kura kwanguvu kuhalalisha wizi wa ardhi ya nchi yao
Matamshi ya viongozi wa Russia, utafikiri ni vijana wanaocheza kamali kwenye gulio..,Hawa maneno yanawatoka tu bila kushirikisha ubongo,tumepoteza askari wachache km 5000 hvi na special op inaenda vzuri kabisa km ilvyopangwa, ila tunamobilize askari 300,000
Hali ilivyokuwa nchini Georgia miaka 14 iliyopita na Hali ilivyo hivi Sasa [emoji848]Warusi wanakwenda kuwa qakimbiazi wanakimbia mobilization Putin kichaa sana hii vita hatoboi
Ule msafara wote ulifywekwa,hakubaki hata nzi..,Cha ajabu ukiwauliza warusi wa kibaigwa malengo ya ule msafara wanaishia kujikanyaga tu,ni km ule msafara wa vifaru wa zaidi ya km 40 uliokua unaelekea kyiv
Hii inahusiana vipi na hii mada mkuuHali ilivyokuwa nchini Georgia miaka 14 iliyopita na Hali ilivyo hivi Sasa [emoji848]View attachment 2366757
Aliyepiga pale Hiroshima na Nagasaki ni Nani?!?! Mbona huwa mnapata kigugumizi kumtaja?! Mtajeni ili aeleweke vizuri na fedheha kubwa aliyofanya kwa mauaji hayo ya kinyama...watu zaidi ya 200,000 walikufa na maelfu mengine wakaendelea kufa baadaye...na mpaka wanaendelea kufa na wengine wanazaliwa vilema....stupid AmericaNasoma comments zao mmoja kasema madhara ya mionzi ya Nuclear inachukua miaka elfu kumi kwisha,utadhani hata alishashuhudia hata Nuclear yenyewe ikipigwa.Pale tu Nagasaki na Hiroshima hakuna tena Radioactive ya kutishia na bomu lilipigwa 1945 sasa hiyo miaka 10,000 sijui kaitoa wapi?
Econometrician muelewesha huyu mwenzio .. Yeye bado ana madai ya zamani kuwa west walitaka kuihujumu Urusi... Hana taarifa kuwa Urusi uwa ina update madai kadili muda unavyokwenda.Putin siyo mhuni na hawezi na Wala hatakuwa mhuni...Putin ni hero...Putin ni shujaa...Putin ni tough...Putin ni Patriot ...ni mzalendo...ameamua kupambana na wahuni na washenzi wa West kwa Maana ya USA na mbwa Koko wengine wote wa west na mabeberu wote.....Putin ni mwamba na mwokozi ....ni kiboko Cha mabeberu....WEST waliandaa kuiangamiza Russia kwa kutumia Ukraine lakini akawawahi na ndiyo maana wanapiga kelele.
..