Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Naona watetezi wa demokrasia mnapingana sasa na demoghasia mnayo ihubiriMfumo wa panya road na putin ni ule ule utofauti unakuja kwenye vitendea kazi. Panya road wanakupora simu/mkoba wanakutishia nyembe, visu na bisibisi
Mimi sijasema nazuia anachofanya Putin, nimesema:, Putin ni muhuni kama walivyo panya road wanapora watu Mari zao na kuwatishia vitu vyenye ncha kali. Huu ni uhuni wa kishamba sana.
Yeye aendelee kufanya anachokifanya ila ni muhuni tu, hana tofauti na kibaka.
Then, Himars zinasubiri kumpunguzia homeless ma- jobless mtaani mtaani.
Wameshindwa wanajeshi wenye mafunzo, homeless na Cocainers wasio na ajira ndiyo waweze mziki wa Ukraine?. [emoji28]
Jaribu kuchekecha akili yako vizuri,utagundua uhusiano uliopo,
Urussi aliamua kutoa majeshi yake tu hapo kharkiv, imagine eneo ambalo Mrussi kalikuchukua for more than a month then ukraine aje alichukue for a week inaingia akilini na bila causalitie zozote za maana alizomsababishia mrussi. counteroffensive ni ile waliyofanya kule kherson then what did next happenedNafatilia mzozo huu nyuma ya pazia, tukiachana na maneno ya kujifariji Bongo Ukrainians hawana furaha ya kudumu.
Mara ya mwisho ilikuwa "tumechukua mita za mraba 8000" then... What next?... Hawaendelei na vita?... Wametosheka?
Nafikiri hali si nzuri maana wiki ile hatukupumua na mapichapicha ya YouTube Sasa hivi naona marudio tu hakuna jipya
Kama sijakosea wakati wa vita ya pili ama yakwanza walikufa wanajeshi zaidi ya 10M wa RUSSIANdani ya miaka 12 Marekani ilipoteza wanajeshi 7000 kutokana na Vita Afghanistan na Iraq
Ndani ya Miezi 7
Urusi kapoteza wanajeshi 55,000
Kaitisha kikosi kikubwa kuliko kilichohusika na uvamizi wa Iraq na Afghanstan
Watu mil 10 unawajua?? Dar nzima haijafika hao watu.Kama sijakosea wakati wa vita ya pili ama yakwanza walikufa wanajeshi zaidi ya 10M wa RUSSIA
Ila malengo yalifikiwa yaani hapa ikibidi hata PUT IN kufa atakufa tu maadam malengo ya RUSSIA yatafikiwa hakuna shida kwenye hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli sijajua na sijafatilia kuhusiana na mfumo unaozuiaHivi waungwana haya mabomu ya ukraine ( HIMARS ) yanayzuiliwa kila siku hapo zaporozhye nuclear plant na hapo darajani novaya kakhova mnayaona au???
maana sio kwa ufanisi huo tangu walipoanza kulishambulia hilo daraja na hapo zaporozhye mpaka leo duuuh ni muda mrefu na kila siku yanadunguliwa halafu pro nato mnajifanya hamyaoni haya.
Naomba mnijuze hiyo ndo S400 au ni ipi hiyo green rajab lee van cliff Bwana Utam Qibsyl Hammaz ??
Inahuzunisha kwa kweliWanajeshi wa Ukraine ndio wanajua kutumia drones tazama video mjeda anafagia handaki kilichomkuta atasimulia ahera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nililuwa na mpango wa kwenda kuishi U. K ila kwa akili za wazungu ambavyo wamezionesha acha niendelee kuishi huku huku madongo kuinama hawana akili kuku hao
Nafatilia mzozo huu nyuma ya pazia, tukiachana na maneno ya kujifariji Bongo Ukrainians hawana furaha ya kudumu.
Mara ya mwisho ilikuwa "tumechukua mita za mraba 8000" then... What next?... Hawaendelei na vita?... Wametosheka?
Nafikiri hali si nzuri maana wiki ile hatukupumua na mapichapicha ya YouTube Sasa hivi naona marudio tu hakuna jipya
Ajiongopea.Watu mil 10 unawajua?? Dar nzima haijafika hao watu.
Viongozi wa magharibi hamuwajui nyie ndio maana mnaambiwa muyafayilie haya mambo musikurupukeHahahaha....hivi nmnatoa wapi hizi HABARI ZA UONGO?!
EU hawatambui huo uchafuzi wa Putin kwenye hayo majimbo halafu watume observer?! Embu acheni hizi propaganda uchwara!
HIMARS oyee πHivi waungwana haya mabomu ya ukraine ( HIMARS ) yanayzuiliwa kila siku hapo zaporozhye nuclear plant na hapo darajani novaya kakhova mnayaona au???
maana sio kwa ufanisi huo tangu walipoanza kulishambulia hilo daraja na hapo zaporozhye mpaka leo duuuh ni muda mrefu na kila siku yanadunguliwa halafu pro nato mnajifanya hamyaoni haya.
Naomba mnijuze hiyo ndo S400 au ni ipi hiyo green rajab lee van cliff Bwana Utam Qibsyl Hammaz ??
Kwani ningekosa yote maisha. Ningejaribu tena na tena, karibia classmate wangu 20 wapo kule wangenifanyie wepesi kilaza wao na mie nikaoshe rungu watoto wa kizunguuWewe hata kwenye mchakato wa VISA ya U.K huwezi kupata.
Mkuu upo Dunia ya ngapi usiyefahamu kuwa Urusi ndio alianza kunyanganywa na maeneo kwa propaganda za west.Kama ambavyo USA+NATO wali samba ratings ardhi ya Urusi ndivyo hivyo Russia naye anatudisha ardhi yake.au hukusoma Historian.