Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
πππUS na WESTERN wote wanafiq walio kubuhu suala pekee wanaloweza kulisimamia kiukwel nawasilipinge hata iweje ni USHOGA na USAGAJI hili hata aje YESU watalisimamia hvyo
War doctorine ya URUSI haijabadilika hadi leo. Still the same throw many soldiers on the front line.Kama sijakosea wakati wa vita ya pili ama yakwanza walikufa wanajeshi zaidi ya 10M wa RUSSIA
Ila malengo yalifikiwa yaani hapa ikibidi hata PUT IN kufa atakufa tu maadam malengo ya RUSSIA yatafikiwa hakuna shida kwenye hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
stupid AmericaAliyepiga pale Hiroshima na Nagasaki ni Nani?!?! Mbona huwa mnapata kigugumizi kumtaja?! Mtajeni ili aeleweke vizuri na fedheha kubwa aliyofanya kwa mauaji hayo ya kinyama...watu zaidi ya 200,000 walikufa na maelfu mengine wakaendelea kufa baadaye...na mpaka wanaendelea kufa na wengine wanazaliwa vilema....stupid America
Sema urraaaah [emoji635][emoji635] you can't do away with Russian gas[emoji51][emoji51]
[emoji844][emoji629][emoji1255][emoji635]π’οΈGermany cannot completely abandon Russian gas...
In the event of normalization in Ukraine, it will be necessary to resume economic cooperation with Russia-Prime Minister of Saxony Michael Kretschmer[emoji844] https://t.co/pFBIDqMDhO
Aliyesema Huyu hapa[emoji116][emoji116]
View attachment 2366658
Ni kweliukweli mtupu kaka yaani watu wamekuwa Bendera fata upepo
Hiki kitendo kwa wenye jicho pana watakuwa wamejifunza kitu kutoka kwa Comedian Zele. Namna alivyo mweupe na hajui lolote zaidi ya kukurupuka au kufata maamuzi ya maboss wake namna wanavyo mtuma.Hawa Kelele zao za HIMARS zimefunikwa na show ya kibabe inayopigwa na hizo drones za Iran Shahed-136. Kitendo kilichopelekea Zelensky kuondoa accreditation ya balozi ya Iran nchini hapo kwa machungu anayopata. Nayo inathibitisha namna gani zinawakamua vibaya.
Kama sijakosea(zingatia hili kwanza)Watu mil 10 unawajua?? Dar nzima haijafika hao watu.
Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo dronesHIMARS oyee [emoji23]
Sina hakika mdau, lakini kuhusu S-400 sijawahi kusikia zimekua deployed hapo Ukraine.
Kwenye kila data wanazotoa Russia MoD wanasema "Russia Air Defence" imefanya hivi na vile so kama ni S-series in action probably itakuwa ni S-300 hasa ukizongatia Russia anatumia silaha zake za kitambo mzigoni.
Hawa Kelele zao za HIMARS zimefunikwa na show ya kibabe inayopigwa na hizo drones za Iran Shahed-136. Kitendo kilichopelekea Zelensky kuondoa accreditation ya balozi ya Iran nchini hapo kwa machungu anayopata. Nayo inathibitisha namna gani zinawakamua vibaya.
I heard too kua Russia's Reconnaissance Aircraft itaingia mzigoni mda sio mrefu. Hii itakuwa ni kichomi kingine upande wa Ukraine. Taarifa zote zitakazokua obtained zitakuwa zinalishwa kwa hao Iranian/Russian Drones Operators na wao kutuma vifurushi kwa weledi sehem zinakohitajika [emoji4].
Inasikitisha sana asee[emoji22][emoji22][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nisaidie kuweka kituo mwisho wa maelezo haya ha ha ba. Mdau hiyo ishakuwa alama ya Taifa wanaipigania, wanailinda na wako radhi kwa lolote juu yake mvua inyeshe jua liwake [emoji3525].
LPRWar doctorine ya URUSI haijabadilika hadi leo. Still the same throw many soldiers on the front line.
Back in the day iliwasaidia, but in modern haitofanikiwa.