Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Naachaje kumjua sasa mtu mpana kama yule vyeo vyote vyake. General wa US, Colonel wa France, Sergeant wa Germany, Corporal wa UK, Captain wa Canada, Lieutenant wa Spain. Chair wa NATO na branch Manager wa JF department ya Mapambio ya Collective west he he he.Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo drones
Ila leo mpaka kuona kitendo alichokifanya kwa IRAN ndugu Elensky natamani yule mchambuzi aje atoe tena neno hapa
Ila nasikitika siku skrin shot ile koment yake kwahio sita mtag sina ushahidi lkn maneno yake nayakumbuka haswaa
Ila bila yashaka ndugu Galip Vrl atakua kamjua[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Source?Mzee baada ya kushindwa kuchukua maamuzi mazito kama ya PUTIN.vijana wake wameamua kumfungia kwenye contena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].wanataka wafanye yao kwanza huko TaiwanView attachment 2366867
sijaelewaMzee baada ya kushindwa kuchukua maamuzi mazito kama ya PUTIN.vijana wake wameamua kumfungia kwenye contena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].wanataka wafanye yao kwanza huko TaiwanView attachment 2366867
Bora huyo monkey, kuliko dume zima unakaa kusubiria/kufurahia misaada kutoka kwa wanaume wenzio!You are one of those ungrateful monkeys
Haaa lakini inawezekana sio kweli mkuu watu wameamuwa kutuchangamsha tu.Mzee baada ya kushindwa kuchukua maamuzi mazito kama ya PUTIN.vijana wake wameamua kumfungia kwenye contena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].wanataka wafanye yao kwanza huko TaiwanView attachment 2366867
Hao washajua urusi anaenda kuichukua Ukraine yote wanatafuta namna ya kuongea nae ili yaisheDiplomatic solutions za nini tena 😂, si tulikubaliana kua Russia must be defeated in Ukraine ama? Hii change of tune inaashiria nini 😂😂😂
Haaa mkuu Wakati zinaingia mzigoni watu walizibeza sana lakini sasa hivi zipo zina wahenyesha mpaka wanakimbilia kufunga unalozi.Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo drones
Ila leo mpaka kuona kitendo alichokifanya kwa IRAN ndugu Elensky natamani yule mchambuzi aje atoe tena neno hapa
Ila nasikitika siku skrin shot ile koment yake kwahio sita mtag sina ushahidi lkn maneno yake nayakumbuka haswaa
Ila bila yashaka ndugu Galip Vrl atakua kamjua[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
As rumours of a military coup in China turns out to be false, here is how the claims of house arrest of Xi Jinping went viral.Mzee baada ya kushindwa kuchukua maamuzi mazito kama ya PUTIN.vijana wake wameamua kumfungia kwenye contena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].wanataka wafanye yao kwanza huko TaiwanView attachment 2366867
Acha uongo Russia kapoteza Askari 5000Ndani ya miaka 12 Marekani ilipoteza wanajeshi 7000 kutokana na Vita Afghanistan na Iraq
Ndani ya Miezi 7
Urusi kapoteza wanajeshi 55,000
Kaitisha kikosi kikubwa kuliko kilichohusika na uvamizi wa Iraq na Afghanstan
Tatizo nyie wasapoti NATO hamna information kwenye Top 5 nchi za Asia zipo 3 hamna west domination.Una wazimu
Hiyo habari ya level zenu nyinyi Vatniks. Maneno mengi mmetype na picha au footage hamna. Hivi unajua kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Russia ni kwamba walishaharibu Bayraktars za Ukraine nyingi kuliko idadi yote iliyowahi tengenezwa duniani?Hivi waungwana haya mabomu ya ukraine ( HIMARS ) yanayzuiliwa kila siku hapo zaporozhye nuclear plant na hapo darajani novaya kakhova mnayaona au???
maana sio kwa ufanisi huo tangu walipoanza kulishambulia hilo daraja na hapo zaporozhye mpaka leo duuuh ni muda mrefu na kila siku yanadunguliwa halafu pro nato mnajifanya hamyaoni haya.
Naomba mnijuze hiyo ndo S400 au ni ipi hiyo green rajab lee van cliff Bwana Utam Qibsyl Hammaz ??
The same way mazombi yanashinda mtandaoni kutukana wafadhili wa bajeti zao lakini uwezi sikia wakikata misaada kwa Mazombi.Hiki kitendo kwa wenye jicho pana watakuwa wamejifunza kitu kutoka kwa Comedian Zele. Namna alivyo mweupe na hajui lolote zaidi ya kukurupuka au kufata maamuzi ya maboss wake namna wanavyo mtuma.
Ukraine anatumia drones za Uturuki kushambulia troops za Urusi, ila huwezi kuta au kusikia Urusi kafukuza au kukata uhusiano na Uturuki kisa drones zao zinatumiwa na mpinzani wake. Huo ndio tunaita ukomavu wa kidplomasia.
Most current EU leaders na Comedian wao ni washenzi kiwango cha lami na ni kama wapo hapo kwa shughuli maalum ukitizama kiundani wanayo yafanya.
Despite uhasama wote alio nao US kwa China ama Russia hawajawahi kwenda chini kiasi cha kufungiana balozi kwenye nchi zao ila hizi pedophiles kwao ni jambo la kawaida. Wanajenga uhasama utafikiri vitoto vilivyo balekhe jana usiku.