MkuuHelicopter ya Russia imetunguliwa,[emoji625] Kharkiv
For sure hapo nimekuelewa kama bado S300 inawasumbua hvo basi urusi haijaanza kufanya kitu bado.HIMARS oyee [emoji23]
Sina hakika mdau, lakini kuhusu S-400 sijawahi kusikia zimekua deployed hapo Ukraine.
Kwenye kila data wanazotoa Russia MoD wanasema "Russia Air Defence" imefanya hivi na vile so kama ni S-series in action probably itakuwa ni S-300 hasa ukizingatia Russia anatumia silaha zake za kitambo mzigoni.
Hawa Kelele zao za HIMARS zimefunikwa na show ya kibabe inayopigwa na hizo drones za Iran Shahed-136. Kitendo kilichopelekea Zelensky kuondoa accreditation ya balozi ya Iran nchini hapo kwa machungu anayopata. Nayo inathibitisha namna gani zinawakamua vibaya.
I heard too kua Russia's Reconnaissance Aircraft itaingia mzigoni mda sio mrefu. Hii itakuwa ni kichomi kingine upande wa Ukraine. Taarifa zote zitakazokua obtained zitakuwa zinalishwa kwa hao Iranian/Russian Drones Operators na wao kutuma vifurushi kwa weledi sehem zinakohitajika [emoji4].
Mchambuzi wetu anamalizia kujichua mkuu,he'll be back.Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo drones
Ila leo mpaka kuona kitendo alichokifanya kwa IRAN ndugu Elensky natamani yule mchambuzi aje atoe tena neno hapa
Ila nasikitika siku skrin shot ile koment yake kwahio sita mtag sina ushahidi lkn maneno yake nayakumbuka haswaa
Ila bila yashaka ndugu Galip Vrl atakua kamjua[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia kila siku anatoa briefings na jamaa yenu Jesus humu huwa analeta taarifa. Hapa ni June Russia ilisema imeharibu TB2 100 wakati Ukraine ilizokuwa imenunua hadi vita inaanza hazifiki 30. Na hapo kuna nyingine ambazo mara nyingi tu Russia ilisema imeharibu hatujumlishi kwenye hiyo "at least" 100.Bayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?
Maneno kitu simple
abdulqadirj soma hapa. Urusi wanadai wameharibu zaidi ya 100 ambazo hazijawahi kumilikiwa na Ukraine. Ukraine ilipokea drones nyingine 50 baada ya hii taarifa.Russia kila siku anatoa briefings na jamaa yenu Jesus humu huwa analeta taarifa. Hapa ni June Russia ilisema imeharibu TB2 100 wakati Ukraine ilizokuwa imenunua hadi vita inaanza hazifiki 30. Na hapo kuna nyingine ambazo mara nyingi tu Russia ilisema imeharibu hatujumlishi kwenye hiyo "at least" 100.
Ukraine haijawahi kufikisha TB2 100 hadi sasa. Hizo 100 plus nyingine zinazoharibiwa zilitoka wapiView attachment 2367095
[emoji23][emoji16][emoji23] dah!Naachaje kumjua sasa mtu mpana kama yule vyeo vyote vyake. General wa US, Colonel wa France, Sergeant wa Germany, Corporal wa UK, Captain wa Canada, Lieutenant wa Spain. Chair wa NATO na branch Manager wa JF department ya Mapambio ya Collective west he he he.
Kwenye hizo bold ndipo Pro West huwa wako chap kwa haraka kuhamisha magoli.Key Notes za Lavrov leo [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji779]️"The Future of the World Order Being Decided Today" - Russian FM Lavrov
[emoji635]'s top diplomat has stressed it's either one dominant nation, or the route Moscow is taking to end a world of blackmail, intimidation and undesirables. Here's a recap of Sergey Lavrov's speech to the UNGA so far:
[emoji625] Instead of dialogue & compromise, there is disinformation, crude dramatisation & provocation.
[emoji625] West undermines trust in intl justice.
[emoji625] Unipolar world serves "golden billion" at expense of Asia, Africa and Latin America - this is going to end.
[emoji625] Washington creates geopolitical process to retain its dominance - thinks it's "Lord God on Earth".
[emoji625] We all remember Yugoslavia, Iraq, and Libya - far from US shores where hundreds of thousands died.
[emoji625] Name one country US entered by force and life became better.
[emoji625]Illegal sanctions are political blackmail - deny civilians essential goods.
UNGA Updates
Kwenye hizo bold ndipo Pro West huwa wako chap kwa haraka kuhamisha magoli.
Naona jamaa anajifariji ila ukweli hata wewe unaujua achana nayeye"We finished up with Russian professional army, and now its time to defeat unprofessional" Mkuu wa majeshi ya Ukraine, Jenerali Valerii ZaluzhnyView attachment 2367113
Zamu ya hao wauza baa waliookotwa uko Vladivostok na kufundishwa kwa wiki chache
Unajua anazo ngapi ?Hivi baada ya hii vita Russia atabaki na ndege kweli,maana kila siku zinapopolewa km mbayuwayu
[emoji298]️Ukraine shoots down 4 Russian aircraft.
Ukrainian forces have recently shot down two Russian Su-30 jets, one Su-25 and one Su-34, the General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its evening briefing on Sept. 24.
Wanafunzi wa form 2 bhana,wanatusumbua humu JF SanaMkuu
Ukifungua hiyo Twitter wameandika hivi
what is claimed to be a Ka-52 attack helicopter..
Waleta habari wasema ni "claimed to be"... Sasa wewe unapataje legitimacy ya kusema kwamba Ni Russia helicopter
Embu saa zingine jitahidi kuwa na akili hata kidogo