Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Jaribu kutumia akili.
Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako
Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.
Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.
Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.
Jamani acheni kuwapa sifa wasizostahili....unasema ana uelewa mdogo?!?!nionavyo Mimi watu wa Aina hiyo hawana kabisa uelewa wa masuala ya kimataifa...yaani hata ule mdogo hawana...ni zero..Jaribu kutumia akili.
Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako
Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.
Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.
Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.
Ungetumia akili ndogo tu akaweka mihemko na ushabiki pembeni ungeelewaJaribu kutumia akili.
Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako
Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.
Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.
Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.
Hakuna aliyeleta habari kwamba Urusi haina chakula. Wote wanajua Urusi bado kuna chakula tosha. Unadanganywa na propaganda au umeamua kusambaza propaganda.Walio leta hii habari ndio walio tuletea habari ya Urusi kubakiza chakula cha siku tatu.
Ndio walio tuambia kuwa Urusi imeajili mamuluki kutoka siyria lakini mpaka sasa ni miezi imepita hatujaona mupiganaji yeyote kutoka Siyria kwenye uwanja wa vita.
Ndio walituambia kuwa Urusi imeishiwa silaha na inaomba china lakini mpaka sasa hatujaona silaha yeyote ya kichina kwenye uwanja wa vita.
Ndio walituambia kuwa Putin ana umwa na ana karibia kufa.
Ili iweje..yanayotokea huko field yanajieleza...majimbo manne ya Ukraine Sasa ni Mali ya Russia...au mnabisha?!Ni jukumu lenu kuleta za Urusi
kaa kwa kutulia, unaonekana ni mgeni hapa jukwaani
Jibu hoja acha mihemkokaa kwa kutulia, unaonekana ni mgeni hapa jukwaani.
Hao ambao hawatumii nguvu kutatua matatizo ndio waloivamia LIBYA unaona sasa hv LIBYA ilivyonaamani nausalama eeehUrusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
Endelea kupakuliwa (Misaada ya ARV na vyandarua) na wazungu, akili zikikukaa vizuri utaelewa.
Ongeza uwezo wako was kujibu hoja, ndEndelea kupakuliwa (Misaada ya ARV na vyandarua) na wazungu, akili zikikukaa vizuri utaelewa.
Mali ya Urusi? Kwa sababu Bwana Putin anaandika jina kwenye karatasi?? Unachekesha.Ili iweje..yanayotokea huko field yanajieleza...majimbo manne ya Ukraine Sasa ni Mali ya Russia...au mnabisha?!
Hence Afghanistan kujulikana kama graveyard of empiresAsante umejitahidi kujibu kiutu safari hii. Hata hivyo, historia yako ina mapengo makubwa.
Azimio la kupunguza jeshi la Urusi lilikubaliwa na kamati kuu ya chama cha kikomunisti tayari tarehe 13 Novemba 1985, si 1989.
Mwaka 1986 hakuna aliyewaza kwamba Jeshi Jekundu litaondoka pia Ulaya MAshariki siku moja.
Warusi walipanga hatua za mwisho vizuri zaidi kuliko Marekani.
Hata hivyo, waliamua kuondoka kwa sababu waliona hawawezi kushinda, wanapoteza askari wengi mno na vita inaleta upinzani ndani ya Urusi na koloni zake (=jamhuri za USSR).
Kwa kifupi: waliacha kwa sababu gharama za vita zilikuwa kubwa mno. Vivyo hivyo sababu ya Marekani kuondoka...
Mashoga mnatusumbua mno.Ongeza uwezo wako was kujibu hoja, nd
Kwa hiyo kile tunachoona baharini ni nini mkuu,sio ges Ile [emoji848]Nani anaathirika kiuchumi kutokana na kubomoa bomba ambako hakuna gesi inayosafirishwa? Maana tangu wiki hakuna m³ iliyopita??
Labda ile ya kuepukana na kulipishwa kwa kuvunja mikataba . . ?
Kwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?Kwa hiyo wewe unaakili Sana Warusi hizi vita wameanza kupigana kabla ya mababu zako kuwepo
[emoji1255][emoji635]The Russian crew destroyed the APU tank with an accurate shot.
The footage shows how the Ukrainian armored vehicle T-64BV detonates ammunition.
The video is published by the Russian Defense Ministry.
Subscribe to @Sputnik
Huna akili bhana, kawaambie wapumbavu wenzako.Ukiwa na mtindo wa ubongo huwezi elewa kwamba soli ya kiatu inaweza kuwa na mchanganyiko wa rubber material ambayo ni flexible. Au wewe ndio wale mnavaa viatu vina soli ya mbao?
Ukitazama hiyo barabara, vipande vya nyama vinaonekana kwenye trails. Ila hii na kwa mwenye critical thinking tu, tia maji tia maji hawezi ona.
Na aliyekwambia kifaru kinasaga ni nani? Kifaru kimetengenezwa kisiwe kina-suck in foreign materials. Kinatakiwa kipite na kukanyaga vitu, sio kuvibeba na kuviingiza kwenye gear maana vitaiharibu. Hiyo sio mashine ya kusaga. Being run over by a tank ni kitu kinajulikana kabisa maana dereva ndani ana uoni mdogo hasa kwa vitu vya karibu. Endelea kujifunza
Tatizo ushoga unakula akili zenu. Nenda kasome kwanza Geopolitics ndio uje kujadili hapa.Kwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?
Ndo maana nasema Hawa viongozi wenye fikra za kizamani na kikomunist na kijamaa hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu wa kisasa na kistaarabu,
Inabidi waondoke au waondolewe kwa gharama yoyote
Kwa hiyo wewe unajua mbinu za kisasa kuliko wao?Acha kujiaibishaKwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?
Ndo maana nasema Hawa viongozi wenye fikra za kizamani na kikomunist na kijamaa hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu wa kisasa na kistaarabu,
Inabidi waondoke au waondolewe kwa gharama yoyote