Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

poleni sana ndugu zetu huko mlipo, binafsi kuna mtu alikuwa anataka nije huko ila kutokana na hii S.M.O kanieleza hali halisi ya huko gharama zilivyopanda na anafikiria kurudi huku kwa sasa.
Asante mkuu
Kwa sasa bora usubiri tu maana hata hela zimeshuka sana thamani
Hiyo hela bora uagize kitu huku kwa sasa maana utafaidika kidogo

Tumeambiwa na makampuni ya Gas na Umeme tutume namba za mita ili watume bills mpya yaani tulipe mara 3 au 2 na nusu ya kiwango cha zamani
Hali ngumu na watu wanasaka kazi za ziada hata 2 zingine ili kukidhi mahitaji
 
UTAFITI WANGU WA JUU JUU DHIDI YA PRO-NATO

Naona PRO-NATO Wengi akili zenu bado ni miyeyusho nimeona kuna Pro-NATO wapya wameibuka ila wengi wao nao Chenga tu, shida nini ndugu zangu au ndo mnathibitisha ile kauli ya waswahili ya kuwa "Ikiwa inacheza labda Yanga/Simba sc dhidi ya Ihefu halafu ukawa unaishibikia Ihefu kubishana fact za kisoka na shabiki wa yanga/Simba sc tegemea tu contents zako kutokuwa na mashiko ya kisoka. Na ndo kinachotokea kwa Pro-Russia(Yanga/Simba) dhidi ya PRO-WEST&USA(Ihefu).


NOTE: LEO NDO ZINAFANYIKA SHEREHE ZA KUYAKARIBISHA MAJIMBO MAPYA MANNE YA UKRAINE NCHINI URUSI, KARIBUNI SANA PRO-WEST&USA KUSHEREKEA MAFANIKIO YA "SMO" YA SUPER POWER[emoji635] [emoji635][emoji635][emoji635] CHINI YA KICHWA KIMOJA CHENYE AKILI KUBWA KUSHINDA VICHWA ZAIDI YA 30 VYA MABWANA WA RAINBOW[emoji304] CALL HIM GEN. VLADIMIR PUTIN.
 
Kazi: Malkia
 
Tukimalkzana na hii mikoa minne tunachukua mingine yani tunawaachia kiev ambako ni landlocked.. Nilikuwa namlaumu putin kwa kuwapiga ukraine slow now nimeanza kumuelewa putin vizuri uyu mtu ni genius yani anaenda taratibu wala hana haraka
Amechelewa sana. 2014 ukraine ilikuwa imelala , jeshi lilikuwa weak vibaya, mpaka crimea ikaenda. Sasa wameamshwa wenyewe.
Itakuwa rais baada ya vita hii ukraine wakajisahau tena wakalala

Lakin kama wataendelea kuimarisha jeahi lao sahau.
 
Ficha upumbavu,kama Russia Haumii kutokana na Hilo Bomba kubutuliwa analialia nini?

Ulaya watatafuta alternative tu,gesi haipo Russia pekee
Marekani anashangilia Sasa kwa kuwa amepata soko la uhakika kwa ges yake.., unategemea ulaya wafe kutokana na kukosa gesi ya urusi??

Utasubiri sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Amechelewa sana. 2014 ukraine ilikuwa imelala , jeshi lilikuwa weak vibaya, mpaka crimea ikaenda. Sasa wameamshwa wenyewe.
Itakuwa rais baada ya vita hii ukraine wakajisahau tena wakalala

Lakin kama wataendelea kuimarisha jeahi lao sahau.
Ukraine itakuwa vizuri kivita kama Israel, maana adui yuko karibu
 
Wanavyojifanya kuutangaza ushoga na kuweka kila sehemu haya ndio madhara yake
Shoga kila kona siku hizi mpaka watangazaji wa habari, wabunge na police hata mawaziri daa
 
View attachment 2371937

[emoji1016][emoji1016][emoji1016]U.S. Vice President Kamala Harris said the U.S. has a strong allied relationship with North Korea. Rumor has it that Kim Jong-un is a little shocked. [emoji1016][emoji1016][emoji1016]

Hawa watu wamechanganyikiwa[emoji23][emoji23]
 
Warusi wanaikimbia nchi kwa mamia kukwepa 'mobilisation' alafu unadai ni low level.... propaganda zimekujaa.
Kuna post nimeiweka kwenye uzi huu ukrasa wa 3676. Post ile Ina majibu yote ya maswali mengi mnayouliza kama mkiamua kutulia kuisoma. Mfano ni kipande hiki cha post hiyo.
====
In the meantime, the Western press and other media are constructing the narrative that millions of Russian men are supposedly trying to flee the country in order to avoid mobilization. Naturally, they are ignoring the fact that the Russian Ministry of Defense registered nearly 900,000 requests for joining the armed forces, with many regions and federal subjects in the country providing several times more troops than they’re required to. The most prominent example of this is Chechnya, which overshot its mobilization quota by over 250%. And yet, the Western media keep insisting that there’s supposed “widespread opposition to Putin’s war”. In reality, the fact that the Russian police arrested several hundred protesters in a country of approximately 150 million shows just how truly “widespread” the opposition to mobilization is.
 

Refer CUBA crisis kama mahaba bhs yamekuzidi
 
Msianze kulia lia. Tunaposema mobilization.
View attachment 2372175
Kuna hawa vijana wa NATO humu JF wanaoshabikia hovyo suala la hii vita uko ukraine...lakini kuna vichwa kama rais wa finland yule mzee.Sauli Niinisto...alishasem kwa muktaadha ulivyo pale ukraine "Russia has gone all In" na ni swahiba mkubwa sana wa putin na jinsi anavyomfahamu putin hajawahi na hatowez kurudi nyuma.

Na ndio maan nchi za west wanahimiza raia wao waoondoke urusi...sababu wanajua there is no way vile US wanaendelea kumpa kiburi cha silaha zelinsky alafu mrusi akubali kushindwa...hivyo kwa namna yoyote ile Vita Kamili lazima vipiganwe ata kama itakuwa ni all west members against putin yeye hatojali.

Ngoma bado mbichi hii...kwa proNATO wa humu JF wanaodhani putin atakubali kushindwa kirahisi kama wadhaniavyo wao...i feel Sorry for them!!!

Na kuna watu wanaamin kwamba hii vita ilikuwa haina faida kwa Russia...Nawahurumia hawajui wanalosema, MAANA WOTE TUPO TZ HAPA ILA TUNAFUATILIA TU HII SITUATION YA UKO UKRAINE KWA UKARIBU KUPITIA INTERNET, SOCIAL MEDIA, NA VYOMBO VYA HABARI(Japo vingi/vikubwa/Maarufu ni vya West hivyo hutoa takwimu ambazo si halisi katika hii vita ya uko Ukraine). LAKINI KATIKA HALI YA KAWAIDA NI NANI AMBAYE ATAKUBALI KUPELEKA MAJESHI YAKE VITANI NA RESOURCES ZAKE PIA NA KUKUBALI HADI APEWE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA TAIFA LAKE...ILIHALI ANALOFANYA HALINA MANUFAA NAYE???....hivyo nasisitiza ni bora mtu aseme tu hajui hii vita ina maana gani kwa russia kuliko kunena asiyoyajua nyuma ya pazia.

Wapo waliosema kuwa mbon Russia ina wanajeshi 900,000 na walioenda vitani kule ukraine ni wachache(almost 150,000) tokea vita ilipoanza FEB na hivi sasa anatumia partial Mobilization ambayo pia sio active recruited army....kiukweli Vita ni mbinu, Amini NAWAAMBIA WATUMISHI HEWA WA NATO HUMU HII VITA NDO IMEANZA NA WAKATI HUOHUO BAADHI YA NATO MEMBERS WAMESHAGOMA KUTOA TENA SILAHA ZA KIVITA KWA UKRAINE KAMA SEHEMU YA MSAADA, WATCH-ON!!!

Kwa PROFILE HII ya putin ni mtu ambaye amehudumu katika masuala ga kiusalama kwa muda mrefu anzia jeshini, KGB( Kama Jasusi), Kamati kuu ya ulinzi wa nchi(Russia National Security Council) tokea enzi za SovietUnion hadi kuwa Rais wa russia katika vipindi viwili tofauti hivyo anafahamu vyema siasa za Magharibi.



Ngoja tuone huu mtanange utafikia wapi...
 
Unahisi altenative ni RAHISI hivyo??
 
Israel ilitengenezwa na Russia. Wengine wanaingia kichwa kichwa tu. Ugomvi wa Israel na Iran is a Hox.

Kuna mtu anatafutwa, madhara ya WWII.
Nikipata muda nitatoa darasa.
Conspiracy theories hizo,

Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…