Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Maskini, wanabaki peke yao kwenye uwanja. Hata wakijaribu kumchafusha Katibu Mkuu wa UM anayefanya tu kazi yake na kukumbusha misingi ya sheria ya kimataifa iko namna gani.▪️Russian Foreign Ministry: We consider the fact that the UN Secretary General has become an instrument of propaganda and pressure on member states to be unacceptable. The UN Secretary General's attacks on the right of the peoples of the DPR, LPR, Kherson and Zaporozhye regions to self-determination are an example of blatant double standards
▪️The UN Secretary General's statement on referendums was not designed to insult Russia. It was simply the duty of his role as Secretary General, Antonio Guterres' office replied
UN ni takataka tu we BudaMaskini, wanabaki peke yao kwenye uwanja. Hata wakijaribu kumchafusha Katibu Mkuu wa UM anayefanya tu kazi yake na kukumbusha misingi ya sheria ya kimataifa iko namna gani.
Tuone Putin anaweza kununua wangapi watakaotambua wizi wa maeneo hayo.
Kwa hiyo raia wa mikoa hii uliyotaja kwa huo mfano wako wakishangilia kujiunga Kenya,Tanzania ikubali na iendelee na maisha na ramani ya Tanzania ibadirike? Mbona hujawafikiria wale ambao hawashangilii? Kwamba hao raia ni wote wanafurahia au umeonyeshwa sehemu tu ya wale wanaofurahia?Kenya ije Tz, Ichukue Arusha, Manyara, Klm na Tanga iseme ni mali ya Kenya halafu raia wa hiyo mikoa washangilie na kufurahia. Ukraine itulie, iendelee na mpango wa kujiunga NATO, raia wa hayo maeneo si wazalendo kwa Ukraine bali kwa Urusi, kuyapigania hayo maeneo yawe yake ni kutolitendea haki jeshi la Ukraine.
But sometimes Bear stand pup in his two feet so he can join to dance and immediately after the dance, antelope will be on the dinner table.Sishangai hata kidogo vipofu wanapoamua kuongozana, but wait a minute, remember that story of the antelope who danced herself lame before the main dance? Muda si mrefu dansi itafunguliwa rasmi watu wajimwage uwanjani kusakata rumba...masikini antelope!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jidanganye na Counter fire zenu.Mkuu,hii ni faraja ya muda tu Kwa pro Russia, lakini ukweli ni kwamba kinakuja kilio na kusaga meno
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee huo ni mji gani?? Upo ndani ya yale majimbo manne???Miji inarudi wao wanapambana na referendums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliondoka lini hayo maeneo na kwa sababu zipi??Walevi WA gongo hao, we subiri uzuri kipigo bado kinaendelea na soon Ukrainians forces watakuwa hapo palipofanyika huo ujinga wa referendum za mchongo utaona nyumbu zinavyopoteana