Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro-NATO na Mabwana wenu wa west na USA hivi huwa mnajisikiaje mkiona Warusi wanafurika namna hii kwenye sherehe za taifa lao kwa lengo la kusikiliza hotuba ya Rais wao kipenzi Vladimir Putin hasa katika kipindi hiki cha operation ambapo mlitamani warusi waichukie serikali yao.

Huwa mnajisikiaje Wakuu?


PICHA: Maelfu ya raia wa Urusi walio jitokeza kwenye hafla ya kitaifa ya kuyapokea majimbo mapya nchini Urusi.
 
Ha ha haa.🇷🇺💪
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
 
Ha ha haa.[emoji635][emoji123]
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Russia anajiamini sana WHY.? ANA DAWA YAO ANAWAVUTA BARIDI LIKIANZA ANAWADAKA KM PANZI
 
Ha ha haa.🇷🇺💪
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Hawawezi kupeleka kwa haraka, italeta taharuki, ndio maana wanaenda taratibu; wakienda kwa haraka vita ya dunia inaweza kutokea, ambapo kila nchi mshirika atakuwa karibu na mwenzake
 
Hawawezi kepeleka kwa haraka, italeta taharuki, ndio maana wanaenda taratibu; wakienda kwa haraka vita ya dunia inaweza kutokea, ambapo kila nchi mshirika atakuwa karibu na mwenzake
Vita ya Dunia si ndo safi!
Ili kummaliza Mrusi.
NATO ni jeshi kubwa hapa chini ya jua .
NATO ni nchi zaidi ya 29 wanasubiri Nini kukipiga kinnchi kimoja kimasikini Cha Urusi?
 
Eti Russia ilimpiga Hitler single-handed! Kasomeni tena historia.
Wanadhani Ussr ilikuwa ni Russia tu wakati hata Ukraine ilishiriki kupigana na Hitler.

Hata msaada wa US kwa Ussr kupitia lend lease program hawaufahamu kabisa.

Isitoshe theluthi moja ya silaha za milipuko zilizotumiwa na Ussr kwenye Vita hivyo ilipatiwa na Marekani.
 
Vita ya Dunia si ndo safi!
Ili kummaliza Mrusi.
NATO ni jeshi kubwa hapa chini ya jua .
NATO ni nchi zaidi ya 29 wanasubiri Nini kukipiga kinnchi kimoja kimasikini Cha Urusi?
Ulimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamia
 
Ha ha haa.🇷🇺💪
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Why NATO wakati ni Vita ya Ukraine pekee? Isitoshe Ukraine bado anatoa upinzani mkali sana kwa huyo supa pawa wa kuchora.....yaani kajimegea hivyo vijimbo baada ya miezi 7 tena hazibiti vyote kwa asilimia 100 .

Kama hii special operation ikiendelea mpaka mwakani hivyo itabidi iitwe 'vita kamili' sio 'operation' ( Kama mnavyoiita ) ?
 
Pole sana,unakumbuka shuka kumekucha.
 
Ulimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamia
Urusi anayo sababu ya msingi sana kuivamia Ukraine,
Moja ni kulinda raia wa east Ukraine,ambao ki asili ni Warusi,

Pili ni kulinda mipaka yake dhidi ya NATO
Kwani NATO walishaanza kuijenga Ukraine kijeshi ili kuja kuivamia Urusi mbeleni..

Sasa unasemaje pale USA peke yake ilipoisingizia Iraq kua Ina silaha za maangamizi wakati Haina?
USA Iko mbali Sana na Iraq kimipaka lakini iliona kitisho Cha WMD wakati majirani wa Iraq akina Syria,Iran,Sound Arabia,Yemen na Israel hawakuona?
Je Iraq na silaha zake za WMD wangeishambulia USA kwa silaha hizo? Na kuwaacha majirani zake?
Sasa USA iliivamia Iraq na hawakukuta silaha hizo.
Je iliwahi kukemea hiyo vita?
 
Nikuulize swali. Kabla ya USSR kulikuwa na nchi iitwayo Ukraine!? Je Ukraine imezaliwa mwaka gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…