King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Usimuingize MUNGU kwenye Mambo ya kipumbavu.Jana nilitembelea Instagram Page iitwayo Ukraine Defence nikaona video moja ambayo wanajeshi wa Ukraine wanasali kwa kurudia Zaburi ya 91: 14-16. Nikajaribu kuwaza hivi wanajeshi wa Rusia wanamwomba Mungu kweli? Kama wanamwomba, wanamwomba ili awasaidie kuachieve nini? Ni vigumu sana Rusia kushinda vita dhidi ya Waukraine ambao wanapigana kwa ari huku wakimlilia Mungu machozi.
Huu ulimwengu unaendeshwa kibiashara, ndio maana wengine wanakufa/kuuliwa ili malengo ya upande fulani yatimieUrusi anayo sababu ya msingi sana kuivamia Ukraine,
Moja ni kulinda raia wa east Ukraine,ambao ki asili ni Warusi,
Pili ni kulinda mipaka yake dhidi ya NATO
Kwani NATO walishaanza kuijenga Ukraine kijeshi ili kuja kuivamia Urusi mbeleni..
Sasa unasemaje pale USA peke yake ilipoisingizia Iraq kua Ina silaha za maangamizi wakati Haina?
USA Iko mbali Sana na Iraq kimipaka lakini iliona kitisho Cha WMD wakati majirani wa Iraq akina Syria,Iran,Sound Arabia,Yemen na Israel hawakuona?
Je Iraq na silaha zake za WMD wangeishambulia USA kwa silaha hizo? Na kuwaacha majirani zake?
Sasa USA iliivamia Iraq na hawakukuta silaha hizo.
Je iliwahi kukemea hiyo vita?
Putin alishatahadharisha kua kama Ukraine wataendelea kuwa wabishi, OP itaenda kwenye level ya juu zaidi.Why NATO wakati ni Vita ya Ukraine pekee? Isitoshe Ukraine bado anatoa upinzani mkali sana kwa huyo supa pawa wa kuchora.....yaani kajimegea hivyo vijimbo baada ya miezi 7 tena hazibiti vyote kwa asilimia 100 .
Kama hii special operation ikiendelea mpaka mwakani hivyo itabidi iitwe 'vita kamili' sio 'operation' ( Kama mnavyoiita ) ?
Mkuu hawa watu ukiwaelewa hawatakuumiza kichwa, hawafuatilii chochote wao putin akiongea inatosha wanabeba hvyohvyo
View attachment 2374211
And here is the first "horseman of the Apocalypse" arrived in time: dollars began to be printed in the USA
Waliozingirwa POW wangapi na waliuawa wangapi . Maana hàdi thread zimeanzishwa za kuzingirana. Yaani umzingire mzingiraji ,
Tazama hii video uwaone ndugu zako wamezungukwa na magari yao wanaomba negotiations watoke ila Ukraine anataka wachague ku surrender au kufa.Mnakumbuka mlichowafanyia Azov pale kiwanda cha chuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]KULIKUA NA THREADS TANO ZA RUSSIA KAZIMGIRWA SIZIONI TENA VIPI MATEKA WANGAPI
Hujajibu maswali ya msingi, umepuyanga tu punguza mahaba!Sorry but
Umeamua mwenyewe kuwa mpumbavu so inabidi nikuite tu
Hivi unanzaje kuamulia nchi huru nchi za kushirikianazo
Ni sawa na Kenya itumamulie tusijiunge sadec kwa sababu ni tuko EAC, na ulivyo mpambavu ungekubali
Au enzi za Vita baridi pamoja na uchanga na umaskini wa nchi yetu mwalimu alikataa kupangiwa marafiki, lakini kwa akili zako hizi za ajabu ungekubali kupelekeshwa
Ww Kama ni baba naionea huruma familia yako, inaonyesha uko tayari kuachia familia kwa jirani yako tu kisa ni tajiri au Anna nguvu hata mke unaweza kunyanganywa we on
Hiyo inajumuisha crimea jiulize mwaka huu mtatoboa?Enyi Pro NATO naona mnajitekenya na kucheka,
Nawakumbusha tu "Russia hivi sasa anamiliki 15% ya eneo la Ukraine"
Naona hii asilImi 15 hamuielewi,Kwa ufupi tu ni kwamba Russia anamiliki eneo la Ukraine sawa na ukubwa wa nchi ya Ureno(Portugal).
Unasema mfilisiti namaanisha nini ndio ni Portugal nchi ya cristiano Ronaldo 😀😀
Wavamizi tutawatoa punde. Mpira ndio ulivyo hauchezwi katikati au Upande mmoja tu. Hata BRAZILI akicheza na Ihefu ,Ihefu anaweza pata kona faulo mpira wa kurusha nk . Redondo alifunga BRAZILI lakini kaishisha daraja BiasharaEndeleen kujifariji tunabeba maeneo hatua kwa hatua lyman hiyo imeshabebwa
View attachment 2374277
Kwa nini hizo silaha hazikupatiwa hizi nchi nyingine za Ulaya ambazo Hitler alizikarisha ndani ya muda mchache kabisa....???Ufaransa ilisalimu amri mapema sana kwa Ujerumani-Hitler....Wanadhani Ussr ilikuwa ni Russia tu wakati hata Ukraine ilishiriki kupigana na Hitler.
Hata msaada wa US kwa Ussr kupitia lend lease program hawaufahamu kabisa.
Isitoshe theluthi moja ya silaha za milipuko zilizotumiwa na Ussr kwenye Vita hivyo ilipatiwa na Marekani.
East ilikuwa ktk pressure zaid ya ku collapse. For the record tu ussr by then aliwatafuta us kusaidi effort za kumdhibit ujerumani.Kwa nini hizo silaha hazikupatiwa hizi nchi nyingine za Ulaya ambazo Hitler alizikarisha ndani ya muda mchache kabisa....???Ufaransa ilisalimu amri mapema sana kwa Ujerumani-Hitler....
Hilter alipoona West kamaliza ndo kurudi East...kakutana na Mwamba....
Nimeishia hapo "urusi anafanya operesheni wkt ukraine wako vitani"Putin alishatahadharisha kua kama Ukraine wataendelea kuwa wabishi, OP itaenda kwenye level ya juu zaidi.
Kumbuka op hii inapigwa kistaarabu.
Urusi haina shida na majimbo yanayokaliwa na WA Ukraine wengi wasio na asili ya Urusi.
Yeye Yuko interey na majimbo yenye raia wengi wenye asili ya Urusi.
Urusi anafanya operation wakati Ukraine wao wako vitani.
Huku wakipewa misaada ya maana sana ya silaha na inelijensia kutoka NATO na nchi nyingine za west.
Hali hii Ingekua ni USA siku nyingi angeshalipua nyukilia.
Nchi zote zilizokuwa vitani na Hitler zilinufaika na huo msaada hata China.Kwa nini hizo silaha hazikupatiwa hizi nchi nyingine za Ulaya ambazo Hitler alizikarisha ndani ya muda mchache kabisa....???Ufaransa ilisalimu amri mapema sana kwa Ujerumani-Hitler....
Hilter alipoona West kamaliza ndo kurudi East...kakutana na Mwamba....
Sahihi kabisa, hawa pro Russia wamekariri neno 'special operation' wakashikilia tu hapo hapo.Special OP zinakuwa carried out na sf units mara nyingi. Huwa hazitangazwi mpaka baadae sana hali ikitulia.
Hii ni convetional war