Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


haya pumzika sasa tushakusikia
 
Nakumbuka vizuri sana Mkuu,acha tuupe muda utatuonyesha kama hiki ulichokisema kitakuwa sahihi.Kama kweli walipewa full support wataweza kuhold hayo majimbo kinyume cha hapo kuna mtihani mkubwa sana kwa Russia kuyakalia hayo maeneo.
 
Russia [emoji635] has occupied four region of Ukraine [emoji1255]

America [emoji631] has occupied four region Guantanamo bay Cuba [emoji1083] and 3 regions northern Syria [emoji1238]

Israel [emoji1134] has occupied 70% of Palestine land [emoji1193] and Goran height Syria

UK [emoji636] has occupied Faulkland island Argentina [emoji1033]

Who is going to teach who about the land grabbing?

Who is going to teach who about International law?
 
Safari hii US baby 🇺🇸🇺🇸 + NATO (muungano wa nchi dhaifu 30)+ EU (muungano wa nchi dhaifu 44) wameingia choo cha kike...

Putin kawadunda woote vitani, kawanyang'anya majimbo kisha akaenda kuwashinda pia kwenye kikao cha Umoja wao wa Mataifa! Ukisikia ubabe ndio huo sasa, unamtembezea kichapo adui ugenini hadi nyumbani kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…