kwa kujipa moyo hujambo crimea since 2014 then mlirudisha hata 1 cm, keep calm and believe the processHimars dont deed referendums.
go zelensky go. double their pain double the Fun.
Crimea is missing you
Amewapigaje mkuuSafari hii US baby πΊπΈπΊπΈ + NATO (muungano wa nchi dhaifu 30)+ EU (muungano wa nchi dhaifu 44) wameingia choo cha kike...
Putin kawadunda woote vitani, kawanyang'anya majimbo kisha akaenda kuwashinda pia kwenye kikao cha Umoja wao wa Mataifa! Ukisikia ubabe ndio huo sasa, unamchapa adui ugenini hadi nyumbani kwake!
Endelea kuteseka tu mkuuπππππππAmewapigaje mkuu
Lini umeanza utabiri [emoji16]Niliingia humu nikidhani watetezi wa dikteta Putin ni watu wanaofuatilia matukio kwa mapana yake, kumbe hawana hata tofauti na hawa vibozo wa kwetu ambao huvua bongo zao na kuziacha kabatini watu wanapokuwa kwenye mijadala mizito.
Kuna kitu kinaitwa kukurupuka na uzuri wa Marekani, taifa la wahamiaji, ni kwamba hawakurupuki hovyo hata pale papara zinapozidi. Watatoa onyo halafu watakaa kimya kama vile hawapo lakini ikifika siku ya siku hutajua umepigwa na nini kutoka wapi.
Juzi tu nimeaga ili mpate nafasi ya kutafakari kitu gani kilifuatia after the antelope danced herself lame before the main dance! Kwa mbali namkumbuka Sadam wa Iraq akibweka utadhani dunia nzima ingeungua moto kama wa kuthubutu angetokea!
Kama kawaida historia haina aibu; itajirudia na safari hii Sadam hayupo tena lakini yupo pacha wake, Vladimir Putin. Huko USA rafiki yake Putin, Donald Trump ana chezeshwa huku mizizi yote ikikatwa taratibu na mwisho wa siku ni anguko la kishindo, puuu!
Lakini Trump ni wa kwao, wanaweza kumsetiri kwa namna wanayoijua lakini huyu limbukeni ha ha haaa! Tusubiri yale yale yalompata Sadam Hussein aliyeapa kuligeuza jangwa la Iraq kuwa bahari la moto kuwateketeza hao big brother wa dunia!
Eti Russia ilimpiga Hitler single-handed! Kasomeni tena historia.
Putin anapelekewa moto, mpaka January Ukraine ataichukua Moscowhahahahaha. nacheka kama mazuri daaah. ila hii vitaaa acha tu.
Safari hii US baby [emoji631][emoji631] + NATO (muungano wa nchi dhaifu 30)+ EU (muungano wa nchi dhaifu 44) wameingia choo cha kike...
Putin kawadunda woote vitani, kawanyang'anya majimbo kisha akaenda kuwashinda pia kwenye kikao cha Umoja wao wa Mataifa! Ukisikia ubabe ndio huo sasa, unamchapa adui ugenini hadi nyumbani kwake!
Kama bado mpaka muda huu hujaelewa amewapigaje then huu mdahalo si size yakoAmewapigaje mkuu
Wewe pia wamekuelewa wala huwaumizi kichwa. Hufuatilii chochote, wewe Western MSM zikisema unabeba hivyohivyo.Mkuu hawa watu ukiwaelewa hawatakuumiza kichwa, hawafuatilii chochote wao putin akiongea inatosha wanabeba hvyohvyo
Ile propaganda ya warusi wanakimbia mobilization baada ya huu mkusanyiko ilikufa kifo cha mende [emoji16]Pro-NATO na Mabwana wenu wa west na USA hivi huwa mnajisikiaje mkiona Warusi wanafurika namna hii kwenye sherehe za taifa lao kwa lengo la kusikiliza hotuba ya Rais wao kipenzi Vladimir Putin hasa katika kipindi hiki cha operation ambapo mlitamani warusi waichukie serikali yao.
Huwa mnajisikiaje Wakuu?
PICHA: Maelfu ya raia wa Urusi walio jitokeza kwenye hafla ya kitaifa ya kuyapokea majimbo mapya nchini Urusi.View attachment 2374212
Mkuu ukiwa na utimamu wa akili na ukafanya reasoning kwa usahihi huwez kuwasupport West, Tatizo hawa ndugu zetu wanadhani huu ni ushabiki wa mpira.Wewe pia wamekuelewa wala huwaumizi kichwa. Hufuatilii chochote, wewe Western MSM zikisema unabeba hivyohivyo.
Nyani haoni...
Half time 1 : 1
Ulimwengu unakuaje umestaarabika wkt Mwanaume anaoa Mwanaume mwenzake?Ulimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamia
Hiyo kwao hao ndio ustaarabu wenyeweUlimwengu unakuaje umestaarabika wkt Mwanaume anaoa Mwanaume mwenzake?
Mkuu unaikumbuka hii kauli ya kibabe
"i want to tell ukraine and their masters in Europe and USA that pples of Donbass, Zaporozhye an Kherson Are our peoples forever and ever"
Mdaa huu hawaamini wanachokiona walidhani Russia wanatania kumbe ni more than serious, no turning back all goals of SMO Must be achieved.
Wanazi wanaoongozwa na Rais Myahudi zelensky , hawa wapumbav pro invaders ukikaa na kuangalia takataka wanazoandika humu mpaka kinyaaWanazi huwa wanaua mashoga. Inawezekanaje Ukraine wawe Wanazi na mashoga??!
"Putin kawadunda wote vitani"Safari hii US baby [emoji631][emoji631] + NATO (muungano wa nchi dhaifu 30)+ EU (muungano wa nchi dhaifu 44) wameingia choo cha kike...
Putin kawadunda woote vitani, kawanyang'anya majimbo kisha akaenda kuwashinda pia kwenye kikao cha Umoja wao wa Mataifa! Ukisikia ubabe ndio huo sasa, unamchapa adui ugenini hadi nyumbani kwake!
Tangu SMO inaanza Putin alikuwa na kibarua kigumu. Unafikiri kuanzisha operesheni ya kijeshi tena kwenye nchi ya ulaya wakati collective west wapo against ni suala jepesi!? Ubobezi na akili tu ndio mpk sasa hivi unaona anatoboa.Putin anakibarua kigumu sana mbele yake, alipotoka kuna mwanga anakokwenda kuna giza nene.
Ukraine anapewa msaada wa silaha, Russia inaendelea kupunguza silaha zake ghalani.
Huko mbele NATO wataingia vitani na Russia, Nadhani kwa sasa inamlazimu Putin kutotumia silaha za kisasa kwa sababu huko mbele zitahitajika kwa wingi kupambana na NATO.
Pamoja na Russia kwa sasa kuchanganya matumizi ya silaha za kizamani na kisasa naona shida iko kwa wanajeshi wake wanamuangusha sana Putin.
Labda kama kwa sasa anatumia mgambo ili baadae atumie wanajeshi kamili kupambana na NATO.
Hayo majimbo 4 ya Ukraine ambayo Russia wamejimilikisha sioni umiliki wake ukidumu, sioni Ukraine akimaliza vita bila kuyakomboa hayo majimbo.
Putin achange karata zake upya vita itatoka Ukraine itaingia Urusi.
Endelea kuteseka tu Mkuu πππππππ"Putin kawadunda wote vitani"
How?
Technicaly hakuna nchi husika imepeleka wanajeshi wake ukraine officialy.
Zaidi ya kusaidia silaha tu. So far wanaozitumia ni jeshi la ukraine.