Excellent . Hizi ndio zinahusika ktk mjadala huu .Doctoral School of International Relations and Regional Studies
- Political issues of international relations, global and regional development
- Modern history
- History of international relations and foreign policy
Nilichokuwa nataka kuwaonesha kuwa sisi siyo watoto wadogo. Maana kila mara walikuwa wanatuita watoto mara vijana wa siku hizi. So nimejaribu kuwaonesha kitu kidogo tu.Kinacho matter ni hoja sio tarehe ya kujiunga Jamiiforums. PhD humu ni nyingi na Kwa specialization tofautitofauti. Hizo ni degree confined katika eneo dogo sana .
🙂 🙂 🙂Kama hawa ndiyo wasomi wetu
wa PHD na level zao za mijadala ndiyo hizi acha nibaki na elimu yangu ya St.Kayumba inanitosha
Hapo sawa , nimependa hizo kozi ndio zinahusika na mjadala huu .Nilichokuwa nataka kuwaonesha kuwa sisi siyo watoto wadogo. Maana kila mara walikuwa wanatuita watoto mara vijana wa siku hizi. So nimejaribu kuwaonesha kitu kidogo tu.
Mbona unajisaliti Sasa, [emoji848]Russia is Ukraine’s biggest arms supplier
View attachment 2376846
Kumbe mchakato wa anexetion bado, nilijua umeshamalizika zamani.., ngoja tusubir hiyo signature, huenda ikapunguza kipigo wanachopewa asikari wa super pawer wa mchongo huko front line [emoji848][emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Only Putin's signature is left - then the 4 regions will be part of Russia.
Of course only according to Russian law - only Cuba and North Korea agreed so far - how ever - that will change the course of the military operation - because up to that moment RF can send even conscripts.
I guess RF will shift all they have nearby to secure the taken areas - and can so shift the experienced forces further to the front lines.
The movements will start in the coming hours.
It will now even be easier to shift whole formations in - without "selecting out" the conscripts
I think next step will be an ultimatum to Kiev "to leave the area" - which of course will be denied.
Then hell will break lose
Kiev will of course try to gain ground where ever they can. I even expect RF to retreat from some areas.
Especially in the Oskol area and Kherson[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
EU au NATO kama sio kimoja basi vyote vitatuachaHivi nini kinaendela Kati ya Germany na Poland? Tukumbuke Ile bomba' la gesi lipo lipuliwa,Poland walifurahi,na Leo,waziri America saini kuibana Germany iillipe war reparations. Najiuliza kuna nini?
[emoji845]JUST IN[emoji845]
[emoji845][emoji1200][emoji383][emoji629]The Polish Foreign Minister signed a note demanding reparations from Germany[emoji845]
Afadhali ya lugha ya mauzi kuliko matusi.Ni wapi Mag3 amekufanya hadi utumie lugha ya mauzi? Hivi umesoma majibizano yake na yule Idiot toddler anaejita Mulokozi.Mnapotaka kujifunza kwa walio wazidi kwa uelewa njooni na hoja za maana na siyo kuleta utoto utoto kwenye mijadala yenye kujenga afya ya akili.Sijui ni nani kawadanganyeni mnavyoflood comments zisizo na kichwa wala miguu mnapojibiwa kwa hoja nzito mnaishia kuleta lugha za kipuuzi.I miss my old Jambo Forums kwa kweli.
Hiki ndio tulikisema tangu mwanzo. Haijalishi Ukraine anaonewa au la ila suala la kukaza shingo dhidi ya urusi ni kuwacondemn raia wake wafe na kuiharibu nchi yake.Wenye akili sasa wanaona umuhimu wa Kutumia njia ya Amani na kwamba hakuna namna yoyote ile UKRAINE atatoboa.
Wale wajinga wajinga wa Kutoka NAKURU, KERICHO, KIBELA nk waache kelele zao, Pia kuna Chizi mmoja sijui anaitwa T Armata sijui nani aache ujinga.
Watu wameona wazi URUSI anafanya mazoezi tu lkn inakoendea ataingia Full na hapo ndio msala huo.View attachment 2376516
Ahsante kwamara nyengine kwahii elimu nakumbuka mwanzoni uliwahi itoaAnyway hata hivyo mnajitahidi, mtu hajui halafu analazimisha anajua. EMP bomb (Electro-Magnetic Pulse) hii inaua electronics device zote zilizo in radius of detonation.
The top destructive bomb ni Nuclear mbishi wa hili jambo ni mpumbavu. Temperatures ya nuclear explosion inaweza reach those in the interior of the sun, about 100,000,000° Celsius, na ku-produce a brilliant fireball baada ya kua detonated. Yah anukuu vizuri hizo ni Celsius Mil 100 Sasa wapige hesabu sie body letu linahimili 35 to 40°C hiyo level unabakiza nini?
Hizi refractory metals (zile ambazo zina melting point above 1,900°C), mfano kama Tungsten ambayo ni among top ina Melting Point ya 3,420°C ikikumbwa na hilo dude tunapata nn kama sio mvuke?
Hapo ni kwenye explosion after detonation hatujazungumzia madhara ya radio actives zinazotokana na huo mzigo. Nimeona Umempa mfano mzuri wa Hiroshima vizazi na vizazi vinazaliwa na matatizo.
Kwa kukumbusha, zile just two bombs ziliondoka na Casualties takribani za watu 255,000. Huku katika hao 120k to 226k wakikadiriwa kufa papo hapo. Madhara ya vizazi vilivyofatia kwa wenye akili hawana haja ya kuhadithiwa.
Lile bomb lilikuwa na 25 kilo tons za TNT compared na hizi zilizopo leo, za sasa zipo more powerful takriban 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na Nagasaki. 100 Mega tons za TNT kama zilizo kwenye Tsar Bomba ni destructives than we can imagine, Nakosa hata maneno ya kuongea.
Halafu leo pimbi anakwambia unabonyeza tu kitufe shwaini shubamiti [emoji90][emoji90][emoji90].
Na si hivyo, after hiyo milipuko ikitokea haswa kwa mapigano ya hao wababe wawili, ule moshi utaenea angani na kutengeneza nuclear fog ambayo itazuia mionzi ya jua kufika ardhini. Means eneo lote hilo la global North litaingia katika Nuclear Winter ambayo in turn hakuna kiumbe kitakacho survive! Ndio maana wanaposema Vita ya nuclear haina mshindi watu wawe wanaelewa.
Kama yale maji yanayo kua contaminated kwenye machimbo ya dhahabu yako very dangerous vipi radiation zinazotokana na nuclear?
Baada ya WWII, simkumbuki jina ni nani ila alinukuliwa enzi hizo akisema kua "Sijui vita ya WWIII itapiganwa kwa silaha zipi isipokua na hakika vita ya WWIV itapiganwa kwa mawe na vijiti"
Sasa wa kuleta ushabiki wa kindergarten aendelee!
Upuuzi mwingi sana ase, eti EMP ni deadly kuliko Nuclear, WTF kwenye mind za hawa watu? EMP sio radio active na up to date hakuna known side effects kwa human zaidi ya ku'disable temporary au permanently electronics devices kulingana na Intensity yake.
Na EMP inaweza kua detonated chumbani isikufanye kitu zaidi ya kuharibu electronics devices baaask. Dah Tuna ushamba wa kise*** sana waswahili na hata kusema basi tujaribu kujifunza kabla ya kuwekeana hoja hatutaki.
Zaidi tutoane tongo tongo kidogo, kuna NEMP na EMP.
NEMP, Nuclear Electro-Magnetic Pulse. Hii hutokea as a result of Nuclear bomb detonation. Ina destructive character kama za normal EMP isipokua hii ni product ya Nuclear bomb.
Then kuna normal EMP, Electro-Magnetic Pulse ambayo ndio hiyo tumeizungumzia. Ni non radio active na ina athiri sana electronic devices zote. EMP inaogopwa kwa character yake hiyo ya kuharibu ama ku' distort electronics hasa tukizingatia almost all modern equipment zina'rely kwenye electronics ili ziweze kufanya kazi.
EMP inazima Gari hasa hizi modern cars ambazo zina rely too much kwenye electronics, Gari za Zaman hapa zitapeta tu [emoji1787] modern military vehicles and equipments, electrical grid n.k I mean kila kitu kinachotegemea electronics kinakuwa takataka so kama strong EMP bomb ikiachiwa hasa mahala kulipo na "critical infrastructures" jamii ya eneo hilo itarudi zama za Stone age. Ila sio madhara kiafya kwa watu tofauti kabisa na Nukes.
@PietroWale Pro USA msikilizeni babu yenuView attachment 2376162
Hem acha tuone MKUUPersonal Analysis [emoji847]
Niko open kupokea mawazo ya wengine pia.
Ni kwamba kuna kitu nilikuwa nakiwaza, tukiangalia toka kutangazwa kwa referendum progress za kuchukua maeneo zaidi upande wa wa jeshi la Urusi na LPR/DPR people's militia ni kama umepungua hivi.
Na kitu ambacho tunakiona ni kama jeshi la Ukraine limeingia baadhi ya maeneo ambayo yapo ndani ya maeneo mapya ya Russia Federation. So swali langu likawa what's going on... Nini Russia anawaza? As we know ngumu sana ku'predict kila "move" wanayofanya hadi pale tukio litokee ndio twajua hivi na vile.
So, here my personal analysis au niseme thoughts zinazokuja akilini mwangu...
Najaribu kuvaa uhusika wa Upande wa Russia. Kwa yanayo endelea lau ningekuwa mie ningekua na plan zipi!
Turejee nyuma kidogo katika kuwaleta karibu na hiki nachokiwaza.
Wakati Russia anaingia Ukraine alitangaza hii kua ni SMO. Operation maana ake ikawa inamlazim kutumia limited force, limited equipments, to the extents of limiting military targets.
In context of SMO, kuna maswali mengi mie na wengine tumekua tukijiuliza mbona Russia hafanyi hivi mbona Russia hafanyi vile. Vitu ambavyo kwa baadhi wamekua wanavitafsiri kama Udhaifu hasa harakati zote zikipambwa na media katika mwonekano huo.
Lakini yote hayo kwa jicho pana binafsi naweza kusema ni kitanzi alichojiwekea mwenyewe. Hapa nikiwa na maama ya Frameworks of Special Military Operation.
Huko nadhani tumeelewana sasa turudi kwenye point yangu...!
Toka last week, kinchoendelea kwa Russia ni kama vile anataka kubadili mwelekeo wa kile ambacho wengi wanakiona. Its like soon tutashuhudia Russia akijivua ukimya aliofunika mikononi mwake mda mrefu.
Ni kwa mara ya kwanza majuzi kati tumeona Russia akizipiga critical infrastructure za Ukraine kisha akatulia kimyaaa. Then akatangaza referendum kufanyika katika hayo maeneo ma 4.
Ukiunganisha dot ya referendum na wao ku-withdrawal kutoka kwenye maeneo yaliopo kwenye mikoa yao mpya hiyo kwa jicho la ziada naona ni kama "bait" anayotengenezewa Ukraine. Inakuwa like let them in upate sababu ya kumpiga.
Referendum ikiwa ina imply kua hizo regions zitakuwa in Russia Federation na uwepo wa jeshi la Ukraine eneo hilo ukiwa una maanisha uvamizi katika ardhi ya Russia. So inakuwa kama 'trump' card kwa Russia ku'declare Kiev regime kama terrorist organization hivyo kubadili course ya SMO na kua defensive operation of Russian Territory ambayo Russia according to their constitution watajipa haki ya kutumia their full potential, their full power.
Huku zile limits walizo kua wamejiwekea awali kwa jina la SMO zikitoweka.
I guess soon tutaona deployment of modern equipments maeneo hayo na fighting gonna be fierce zaidi ya mwanzo.
Ni mtazamo wangu tu hadi kufikia Jmos nitarudi kuji-prove wrong ama right kwa kile kitakacho tokea.
Siku zote mda huwa ni mwalim mzuri.
Sisi tusiojua chimbuko au chanzo cha mgogoro huu ndio wahanga wakubwa sana wa Propaganda za kimagharibi zinazofanywa kupitia media mbalimbali mbali kama mitandao ya kijamii au vyombo kama aljazeera BBC CCN etc..
Ukisikiliza vizuri hizi media utagundua kuwa zinareport upande mmoja kama muhanga wa mgogoro(Ukraine) na upande wapili ni alieshindwa mapigano(Urusi) kitu ambacho sio kweli kwa jicho la haraka haraka
Kikubwa tunapaswa kujua sababu ya Urusi kuivamia Ukraine mwaka huu ni kutotekelezwa kwa 'The Minsk Agreement' ambapo lengo kuu la mkataba huo ulikuwa ni kusitisha mapigano kati ya wapiganaji wenye kuungwa mkono na Urusi wali Miji ya Donbas na majeshi ya serikali ya Ukraine(Kyiv) na ukizingati hiyo miji iliwekwa kama buffer zone ya future confrontation katika ya Urusi na maadui zake so Urusi kama sehem ya makubaliano alikuwana wajibu wakuwajibisha Kyiev kwa uvamizi kwasabab ya kushindwa kusimamia kile walichokubaliana Putin alikuwa pia mtazomo wa serikali yenye mfungamano na Nationalists wenye chuki kali dhidi ya Urusi ilionekana kutamani kuwa sehem ya NATO hivyo Urusi kama sehem ya Greates 5 powers hawakuwa na jinsi zaidi ya kuivamia kwamtindo huo wakimkakati huku lengo likiwa kuyanyakuwa majimbo yasiozidi mawili ila kwa bahati nzuri sasa wamepata faida ya majimbo mengine zaidi
Mwisho kabisa ningependa kumalizia kwakusema[emoji1427]
The Comedian doesn't know the country he is fighting with. No right thinking leader of a country fights with US, UK, China, France or Russia in conventional warfare and get away with it.
They set the International rules because of thier superior military power,
....They will pound your country to the last minute and test thier new ballistic missiles with no one coming to your rescue.
These P5 are the International Police and International Judge in International Politics. You fight them at your peril.
Inaonekana haujajua hii ishu ya international/ Sovereign debt inaoperate vipi
Peskov
Urusi haijui mipaka ya mikoa minne iliyochukua, hivyo itaongea na wananchi ili wajue mipaka ya mikoa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Masikini, nani wa kuwatetea mobilization, ona majenezaa yao yanasafirishwa.Massive Movement of Armor from Russia Into Ukraine
03 OCTOBER 2022
All weekend long, trainload after trainload of heavy armor, artillery, multiple launch rocket systems, troops, and supplies moved from Russia into Ukraine. Anyone saying Russia is running short of anything, doesn't know what they're talking about! Videos below . . .
The first brief video below shows at least four different trainloads of armor heading into Ukraine.
The second brief video also below shows more gear heading toward Odessa, Ukraine.
A keen eye will have seen in the video (not the photos of this story) that some of the tanks are the brand new "Armata" - Russia's state of the art war fighting armor.
These two videos are but a small sampling of what has actually been moving all weekend.
Based solely on the number of trains, Russia is now moving more troops and armor than they did for the initial build-up prior to the February 24 entry of Russian forces into Ukraine.
Clearly, a very major escalation in the Russian war effort is in progress. Things will only get worse for Ukraine; very, very, much, worse.