Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Daraja halija pigwa kwa kombora bali ni gari iliyobeba bomu kulipuka tuondolee utoto
Aisee kuna video kabisa mwamba kaipost kwenye ule uzi mwingine ikionesha kabisa makombora mawili yakitua kwenye daraja ngoja nimcheki aipost humu uone bila chenga kabisa
 
Anaeharibu miundo mbinu ya Ukraine hiyo operation?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Na Mimi nikukosoe,Kombora ni general term,inaweza kuwa inamaanisha Missile,grenade au rocket!Inategemeana na mtumiaji amemaanisha Nini!
Nenda kafuatilie kule Afghan na Iraq,Ukijua idadi ya Civilians alioua US basi utasema Russia ni muungwana sana!
Nenda Palestine,kaulize ni makombora mangapi Israel ameyashusha kwenye makazi ya watu ndio pengine hutamjudge sana Russia!
 
hii sasa ishakuwa vita kamili, mrusi awe tayari - kitendo cha kuua watu mitaani ni ugaidi kama ugaidi mwingine duniani...

Kitendo hiki ni kuidharau UN - atakipata anachokitafuta.
 
hii sasa ishakuwa vita kamili, mrusi awe tayari - kitendo cha kuua watu mitaani ni ugaidi kama ugaidi mwingine duniani...

Kitendo hiki ni kuidharau UN - atakipata anachokitafuta.
Putin amewabembeleza sana Sasa mkajiona vidume mkaanza kumchezea sharubu!
Sasa mnaanza kulialia ooh sijui UN,tulieni dawa iwaingie!
Si mlitaka amalize vita mapema?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zelensky was urgently evacuated to a secret bunker in western Ukraine according to media reports,

The President of Ukraine, amid rocket attacks on the capital and other major cities, was urgently taken out of Kiev and sent to one of the secret bomb shelters in western Ukraine[emoji845]

Walisema atiiiiii hatoki Kiyv sasa imekuaje tena anakimbia [emoji1]
 
Kwani mkuu hizo vita unazozungumza wewe zina mwingiliano na hii vita ya ukraine
 
Tunasubiri comedian ajirecord video akiwa kwenye handaki!
 
Endeleen kupiga raia wenzenu wanasonga mbele russia mnafeli sanq

Ukrainian Armed Forces hit 20 areas where invaders weapons were concentrated and 4 Russian air defence systems General Staff​

Ukrainska Pravda
Mon, October 10, 2022, 7:17 AMΒ·3 min read

OLHA HLUSHCHENKO β€” MONDAY, 10 OCTOBER 2022, 07:17
Over the past day, Ukrainian air forces have carried out 24 strikes, hitting 20 areas where Russian weapons and military equipment were concentrated, as well as 4 anti-aircraft missile systems belonging to the Russian forces.
Source: Morning report of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine as of 06.00 on 10 O
 
Kwani mkuu hizo vita unazozungumza wewe zina mwingiliano na hii vita ya ukraine
Ndio nasema ikishakuwa vita basi, civilian casualties is inevitable!Kinachotakiwa ni kuminimize hizo casualties,Kwa Hilo Russia kajitahidi sana!Tofauti na vita vya US ambavyo anafanya airstrikes halafu askari wa ardhini wanapita kufagia fagia tu!
 
We nae umetokea wapi? Daraja gani limeshambuliwa kwa makombora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…