Safiii kabisaaaView attachment 2382824
The head of Cyber Police Department of the National Police of Ukraine was killed in the early morning attacks on Kiev.
Haya ni matokeo ya kitendo cha ugaidiKuvunja daraja ni ugaidi na anaye vunja barabara,hospital, majengo ya makazi ya watu ni nani?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Pro Russia wanashangilia kupigwa miundombinu..,na magari ya kiraia yaliyokuwa yamepaki kwenye mitaa ya Kyiv,huko front line hawana hamu kabisa [emoji2][emoji2]Zelensky goo baba ,kwani nini basi wote si tunaingia 6 chini ya ardhi .Tunamarocket ,mabomu hatuna tu moyo .Mungu ni mwema Pro Russia watandale wamefurahi next week mafuta bei juu
Dunia gani unazungumzia Ndugu??!!! Russia lengo lake siyo kuishinda dunia....Lengo la Russia ni dhidi ya Ukraine na utawala wa kinazi na pia kuondoa mfumo mwovu wa West wa kuwa kiranja na kuinyonyasa dunia...Russia inaungwa mkono na mamilioni ya watu duniani -Afrika, America ya kusini, Asia, East Europe na kadhalika. Hata hapa Tanzania ikipigwa kura ya maoni zaidi ya asilimia 80 wataunga mkono Russia. Mabeberu na vyombo vyao vya habari ndio wanaosambaza kuwa eti anapambana na dunia. Yaani wao wanajifanya ndiyo dunia. Mabeberu na vikaragosi wao hovyo sana.Ni Ujinga kufikiri Putin ataishinda Dunia, ku violet sheria za kimataifa kuhusu usalama ni kujipalia makaa, kutamba kwamba katika vita hii hajafanya chochote cha kushangaza ni dalili ya vitisho vya woga.
Of course wao ndio wanajua lkn hiyo haizimi ukweli kwamba hicho wanachokipigania hawatakipata sababu hawataweza kushinda!?Wao ndo wanajua wanapigania nn.
Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu na kuwatisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.Ukraine inapita nyakati ngumu za moto na moshi, wakipita hapa na kuendelea na kazi ya kuyakomboa maeneo watakuwa ni binadamu wenye spirit ya kipekee ila hawana silaha.
Nakwambia huko front line urusi Hana hamu Tena ., anatembezewa mkong'oto hatari.., kahamishia hasira kwenye majengo ya raia huko Kyiv [emoji16]Tazameni ndugu zenu wanazikwa na raia wamekufa kama mende wamepulizwa rungu
Tazameni ndugu zenu wanazikwa na raia wamekufa kama mende wamepulizwa rungu
Jamaa Yuko frastrated sana.., uzuri ni kwamba akirusha hiyo nyukria wazee wa kazi wanaingia mazima mzigoni kumchakaza,Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu ili kutisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
Tutapaki tupande daladalaZelensky goo baba ,kwani nini basi wote si tunaingia 6 chini ya ardhi .Tunamarocket ,mabomu hatuna tu moyo .Mungu ni mwema Pro Russia watandale wamefurahi next week mafuta bei juu
Acha ushabiki ndugu wasema US hana haja ya kupoteza resources?Na Hawa wanaopigana na Russia ni wakina nani vileee[emoji848]
Urusi ni mwepesi sana tu,huo ndio ukweli mchungu..,ndio ma'ana kilanja wa dunia hambaye ni US kaona hakuna haja ya kupoteza resources ku-deal Naye, Ukraine tu anamtosha,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muda utaamua.Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu ili kutisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
Hawa mbwa hawakustaili hata kuzikwa, ni Bora wakaachwa huko mbugani wakawa chakula Cha fisiTazameni ndugu zenu wanazikwa na raia wamekufa kama mende wamepulizwa rungu
🤣🤣🤣 Urusi Hana silaha za kisasa,alafu anapiga kwa silaha za masafa mareeeefu😆😆Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu ili kutisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
OkWarusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu ili kutisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
😂Ila sio hali ya kawaida ishu km hii kutokea na hadi sasaUSA hajatoa tamko,kuna nn kinaendelea!?